Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Hayo mabwawa kujengwa kwa Kila kijiji n muhimu sana unaweza ukajenga lakwako private wakaja viongoz wakakuweka ndan wanakwambia unakausha mto ukisema uingize mipira mton uvute maji pia n kosa nchi hii kilimo kiko nyuma viongoz ndohao
Ni kweli kabisa mkuu dhana ya serikali za mitaa/Halmashauri imeanza kutoeleweka kabisa kipindi hiki. Pia bahati mbaya Sana awamu ya tano ilikuja na panga kali na kuzichinjilia mbali Halmashauri zote za wilaya kwa kuzipora vyanzo vyake vya mapato, hivyo zikawa tegemezi na omba omba kwa serikali kuu. Imagine Halmashauri inasubiri Rais aitembelee na kutamka natoa milioni 500 mjenge soko au stend au mnunue ambulance kweli???Nchi hii takribani asilimia 70 ya watu wake wanafanya kazi kwenye kilimo na wanaishi vijijini lakini huoni jitihada za kueleweka za watawala kwenye hiyo sekta. Utapunguzaje umaskini, umachinga uliokithiri na bodaboda kama huwekezi serious kwenye Kilimo!
Suala la Rais na mawaziri kuzunguka mikoani linashabikiwa na raia wengi tu na wanaona huo ndio uchapakazi.Kuna watu hawataki kabisa kusikia kazi za Rais na mawaziri ni za ofisini zaidi na sio kuzunguka vijijini au mitaani, hawaelewi kwa nini kuna watendaji wa kata, Halmashauri, DED , mkuu wa wilaya na mkoa au majukumu yao ni yapi ndio maana unaweza kukuta waziri anakagua tiketi za mabasi stendi au anatatua mgogoro wa shamba kijijini! Huwezi kuendesha nchi ya watu milioni 60 kwa namna hii na ikasonga mbele.
Hahahaaaa Sasa imagine huyu anapata wapi muda wa kukaa wizarani na kupanga Sera vipaumbele vya wizara? Kupanga mapendekezo ya sheria/kanuni mpya zinazoendana na mazingira etcHahaaa!!mfano waziri wa maji kila siku yuko ziarani tu, kupiga mikwara kwa miaka zaidi ya sita sasa, lakini matatizo ni yale yale tu, kila anaporudi tena eneo lile anakutana na tatizo lile lile tena!!!
Nimesema kuwa wazo la kilimo cha umwagiliaji ni la siku nyingi. Tuuache kujipa ujiko eti wametowa hapa!! Tatizo liko kwenye kutekeleza.Siyo kila msomi anaweza kuyafanyia kazi mawazo yake wengi mpaka wapate nguvu kutoka upande mwingine.
Tuna mambo mengi yapo humu ambayo hao hao jamaa zako wanayatwaa hapa JF na kwenda kuyafanyia kazi huko unapopajua.
Hawa watu wanaofanya kazi serikali za mitaa/Halmashauri wanalipwa. Kuwalipa watu ambao hawafanyi kazi wanazopaswa kufanya ni tatizo lingine kubwa zaidi, ina maana juu ya kukosekana tija na ufanisi katika utendaji pesa za walipakodi zinapotea bure tu. Vicious cycle .Ni kweli kabisa mkuu dhana ya serikali za mitaa/Halmashauri imeanza kutoeleweka kabisa kipindi hiki. Pia bahati mbaya Sana awamu ya tano ilikuja na panga kali na kuzichinjilia mbali Halmashauri zote za wilaya kwa kuzipora vyanzo vyake vya mapato, hivyo zikawa tegemezi na omba omba kwa serikali kuu. Imagine Halmashauri inasubiri Rais aitembelee na kutamka natoa milioni 500 mjenge soko au stend au mnunue ambulance kweli???
Prof ASSAD alisema 60% ya watawala wetu wana uwezo duniInawezekana sehemu kubwa ya nchi yetu watu wake wana uwezo mdogo sana kiakili na kufikiri kwa logic.
Ha ha ha ha jamaa alikuwa anafoka kama jiwe mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyu jamaa ni political orator alianza kujiona ni President material
Bila kuondoa ccm tuzidi kukwama jamaa wamefika mwisho kufikiri hawawezi kututoa hapaHahaaa!!mfano waziri wa maji kila siku yuko ziarani tu, kupiga mikwara kwa miaka zaidi ya sita sasa, lakini matatizo ni yale yale tu, kila anaporudi tena eneo lile anakutana na tatizo lile lile tena!!!
Uko sahihi mkoloni alikuwa mzuri Sana kwenye Rural economicsMkoloni aliijenga nchi yetu kupitia kilimo tu sisi tumeshindwa nn
Pesa ipo kwenye kilimo soko la uhakika lipoUko sahihi mkoloni alikuwa mzuri Sana kwenye Rural economics
Tanzania hadi Leo pesa Za kigeni zinategemea kilimo cha pamba, kahawa, chai Na karafuu yaliyoletwa na wachumi WA kikoloni
Wakati WA mkoloni MA tulipopata uhuru matajiri walikuwa Wakulima WA vijijini inawezekana.Sema wengi serikalini wapi
Makabila Matajiri nI yatokayo Porini kunakolimwa hayo mazao
What a loss!Nilikodi heka 5, nikanunua mbili..jumla zilikuwa saba...yaani mvua hakuna...uzuri mbegu nilikuwa sijanunua, haya mambo yakutegemea mvua sio kabisa
Ikitokea chama cha siasa kikakomaa na hoja ya kilimo na wakulima, kitaing'oa CCM mapema asubuhi.