Prof. Kennedy kutenguliwa siku moja baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Wizara nyeti ya Mambo ya Nje kuna shida katika "Vetting" za Viongozi?

Hili andiko sio langu lakini nimelipenda....

Juzi Mhe.Rais @samia_suluhu_hassan alimteua Prof.Kennedy Gaston kuwa Katibu Mkuu wizara ya mambo ya nje (anayeshughulikia ushirikiano wa Afrika Mashariki). Ijumaa tar.1 akaapishwa huko Zanzibar. Jumamosi akarudi nyumbani Dsm. Jana jumapili akaenda kanisani kutoa shukrani kwa kuteuliwa. Lakini jana usiku akafurushwa na kupelekwa ofisi ya Naibu Mwanasheria Mkuu wa serikali. Yani ameondolewa kwenye nafasi hata hajaingia ofisini.

Kwahiyo Prof.Kennedy ndiye Katibu Mkuu ambaye amedumu kwa kipindi kifupi sana maana ametenguliwa kabla hata hajaingia ofisini. Wizara ya mambo ya nje inaingia kwenye historia ya kuwa na Katibu Mkuu ambaye haijui ofisi. Kwa kuwa tayari alishaapa, jina lake litakuwepo kwenye orodha ya Makatibu wakuu wa wizara. Lakini "tenure" yake itakua siku moja, maana aliapishwa September 1 na kufurushwa September 3 bila kuingia ofisini.

Anyway, nadhani timu ya Rais inayoshughulika na "vetting" za viongozi haifanyi kazi yake ipasavyo. Huwezi kumteua Katibu Mkuu wa wizara nyeti kama ya Foreign kwa kubahatisha. Kama walikua hawana uhakika nae wasingemteua. Bora nafasi ingebaki "vacant" kuliko kumteua mtu leo na kumuondoa kesho.

Inaonekana hakuna umakini kwenye teuzi. Maafisa wanaomsaidia mama wanapiga ramli. Na hii si mara ya kwanza. Kuna jamaa mmoja aliwahi kuteuliwa DED na DAS kwa wakati mmoja. Ikaleta gumzo hadi yakafanyika mabadiliko. Timu ya "vetting" imsaidie Rais vizuri. Iache kufanya betting. Taarifa ya Ikulu haipaswi kuwa ya kubahatisha, inapaswa iwe firm and legitimate. Isiwe kama taarifa ya vicoba vya Mburahati. Fanyeni vetting sio betting.!
Taarifa ya Ikulu haipaswi kuwa ya kubahatisha, inapaswa iwe firm and legitimate. Isiwe kama taarifa ya vicoba vya Mburahati. Fanyeni vetting sio betting.![emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.Anyway, nadhani timu ya Rais inayoshughulika na "vetting" za viongozi haifanyi kazi yake ipasavyo. Huwezi kumteua Katibu Mkuu wa wizara nyeti kama ya Foreign kwa kubahatisha. Kama walikua hawana uhakika nae wasingemteua. Bora nafasi ingebaki "vacant" kuliko kumteua mtu leo na kumuondoa kesho.

Inaonekana hakuna umakini kwenye teuzi. Maafisa wanaomsaidia mama wanapuga ramli. Na hii si mara ya kwanza. Kuna jamaa mmoja aliwahi kuteuliwa DED na DAS kwa wakati mmoja. Ikaleta gumzo hadi yakafanyika mabadiliko. Timu ya "vetting" imsaidie Rais vizuri. Iache kufanya betting. Taarifa ya Ikulu haipaswi kuwa ya kubahatisha, inapaswa iwe firm and legitimate. Isiwe kama taarifa ya vicoba vya Mburahati. Fanyeni vetting sio betting.!

Malisa JG
Naunga mkono hoja, ila tusimlaumu mteuzi kwa makosa ya kukoseshwa na wasaidizi wake Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda
P
 
Juzi Mhe. Rais Rais alimteua Prof. Kennedy Gaston kuwa Katibu Mkuu wizara ya mambo ya nje (anayeshughulikia ushirikiano wa Afrika Mashariki). Ijumaa tar. 1 akaapishwa huko Zanzibar. Jumamosi akarudi nyumbani Dsm. Jana jumapili akaenda kanisani kutoa shukrani kwa kuteuliwa lakini jana usiku akafurushwa na kupelekwa ofisi ya Naibu Mwanasheria Mkuu wa serikali. Yaani ameondolewa kwenye nafasi hata hajaingia ofisini.

Kwahiyo Prof. Kennedy ndiye Katibu Mkuu ambaye amedumu kwa kipindi kifupi sana maana ametenguliwa kabla hata hajaingia ofisini. Wizara ya mambo ya nje inaingia kwenye historia ya kuwa na Katibu Mkuu ambaye haijui ofisi. Kwa kuwa tayari alishaapa, jina lake litakuwepo kwenye orodha ya Makatibu wakuu wa wizara. Lakini "tenure" yake itakua siku moja, maana aliapishwa September 1 na kufurushwa September 3 bila kuingia ofisini.

Anyway, nadhani timu ya Rais inayoshughulika na "vetting" za viongozi haifanyi kazi yake ipasavyo. Huwezi kumteua Katibu Mkuu wa wizara nyeti kama ya Foreign kwa kubahatisha. Kama walikua hawana uhakika nae wasingemteua. Bora nafasi ingebaki "vacant" kuliko kumteua mtu leo na kumuondoa kesho.

Inaonekana hakuna umakini kwenye teuzi. Maafisa wanaomsaidia mama wanapuga ramli. Na hii si mara ya kwanza. Kuna jamaa mmoja aliwahi kuteuliwa DED na DAS kwa wakati mmoja. Ikaleta gumzo hadi yakafanyika mabadiliko. Timu ya "vetting" imsaidie Rais vizuri. Iache kufanya betting. Taarifa ya Ikulu haipaswi kuwa ya kubahatisha, inapaswa iwe firm and legitimate. Isiwe kama taarifa ya vicoba vya Mburahati. Fanyeni vetting sio betting.!

Malisa JG
Mkuu tumesoma Kwa kukopy na kupaste, what do you expect the, these are the proceeds.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Asante sana kwa bandiko lako hili. Hili bandiko uliliweka jukwaani 23 Juni 2021. Kuna maneno muhimu Sana umeyaandika. Bahati mbaya, hukutaka kututajia muda halisi Toka tarehe hiyo ya 23 Juni 2021 ni avumiliwe mpaka lini. Bila muda halisi ushauri wako huu utaonekana ni kama hututakii mema watanzania wala haumtakii mema Mama.

Kwa hiyo, kama una Nia njema toa muda wa ukomo wa uvumilivu. Na upendekeze, nini tufanye kwa staha kuonyesha kuchoka kuvumilia. Asante.
 
muda wa uvumilivu ni ule muda prescribed kwenye katiba yetu ambao ni miaka 5, hivyo tumpe mpaka 2025, then ndipo tunaweza kuamua aendelee au apumzishwe.
P
 
Juzi Mhe. Rais Rais alimteua Prof. Kennedy Gaston kuwa Katibu Mkuu wizara ya mambo ya nje (anayeshughulikia ushirikiano wa Afrika Mashariki). Ijumaa tar. 1 akaapishwa huko Zanzibar. Jumamosi akarudi nyumbani Dsm. Jana jumapili akaenda kanisani kutoa shukrani kwa kuteuliwa lakini jana usiku akafurushwa na kupelekwa ofisi ya Naibu Mwanasheria Mkuu wa serikali. Yaani ameondolewa kwenye nafasi hata hajaingia ofisini.

Kwahiyo Prof. Kennedy ndiye Katibu Mkuu ambaye amedumu kwa kipindi kifupi sana maana ametenguliwa kabla hata hajaingia ofisini. Wizara ya mambo ya nje inaingia kwenye historia ya kuwa na Katibu Mkuu ambaye haijui ofisi. Kwa kuwa tayari alishaapa, jina lake litakuwepo kwenye orodha ya Makatibu wakuu wa wizara. Lakini "tenure" yake itakua siku moja, maana aliapishwa September 1 na kufurushwa September 3 bila kuingia ofisini.

Anyway, nadhani timu ya Rais inayoshughulika na "vetting" za viongozi haifanyi kazi yake ipasavyo. Huwezi kumteua Katibu Mkuu wa wizara nyeti kama ya Foreign kwa kubahatisha. Kama walikua hawana uhakika nae wasingemteua. Bora nafasi ingebaki "vacant" kuliko kumteua mtu leo na kumuondoa kesho.

Inaonekana hakuna umakini kwenye teuzi. Maafisa wanaomsaidia mama wanapuga ramli. Na hii si mara ya kwanza. Kuna jamaa mmoja aliwahi kuteuliwa DED na DAS kwa wakati mmoja. Ikaleta gumzo hadi yakafanyika mabadiliko. Timu ya "vetting" imsaidie Rais vizuri. Iache kufanya betting. Taarifa ya Ikulu haipaswi kuwa ya kubahatisha, inapaswa iwe firm and legitimate. Isiwe kama taarifa ya vicoba vya Mburahati. Fanyeni vetting sio betting.!

Malisa JG
Vetting zinafanywa na Vijana wa lumumba
 
Rekodi ya mtu aliyekaa muda mfupi sana baada ya kuapishwa bado inashikiliwa na yule aliyeteuliwa Naibu Waziri akashindwa kuapa.
sasa si yule si hakuapa maana yake alikua hajaanza kuitumikia ofisi..kiongozi anatambulika baada ya kuapishwa ndio maana unakuta kwenye kuapa anaenda na usafiri wake ila akimaliza tu ndio anakuta dereva wake anamsubiri
 
Post imekaa kichochezi
Screenshot_20230928-094535_1.jpg
 
Mleta uzi hebu jaribu kutafuta taarifa zinazohusu TISS hata kwa juu juu tu. Sio unaandika habari kama upo kwenye jukwaa la Utani, burudani na Vichekesho. Muda mwingine jaribu kutuliza akili yako na upost vitu vyenye tija.
 
Back
Top Bottom