Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani makamanda wanapinga uwekezaji...Sasa makamanda uchwara wataanza kumchukia huyu jamaa🤣
Haka nako kanapotoshaaHuyu ni mtaalamu wa finance mambo ya sheria amwachie Prof Issa Shivji.
Hakuna kinachoitwa kuwaachia wataalamu.mambo ya afya tuwaachie madaktari, mambo ya uchumi tuwaachie wachumi, mambo ya fedha tuwaachie wanamahesabu, mambo ya sheria waachie wanasheria.
renowned lawyers like Professor shivji walishaongea, wewe ni nani katika sheria?
shida ya profesa wako, bado anawaza kuteuliwa kuwa C.A.G, ndio maana kasoma upepo wa mama na makada mmejaa, hamna kitu humo.Hakuna kinachoitwa kuwaachia wataalamu.
Utaalamu huongezea kwenye msingi uliojengwa na akili ya kawaida (common sense).
Wapo madaktari, wachumi, wahasibu, wahandisi na wanasheria wasio na akili ya kawaida na wapuuzi vile vile.
Kwa hiyo, hoja lazima ziwe na skeleton ya logic and facts halafu wataalamu hao waongeze flesh.
ana hasira za kutenguliwa hana lolote, hasira haijaisha badoNawaza hii issue ya Bandari kama Rais angekuwa Magufuli halafu Assad ndio akapewa nafasi kutoa maoni yake sijui yangekuwa hayo hayo au kungekuwa na mabadiliko?
kaamua kuomba forum fasta, apige filimbi, mwambie wakala wa DPW kamsikia kesho atateuliwaKaona Dr. Dau kavutwa, kaona isiwe tabu
i second you mkuu, very brilliant idea, tunachelewesha na watanganyika wenzetu walioshika madaraka kwa tamaa za matumbo yao na familia yao, we need only one traore maisha tutafika mbali kwa kweli..sikubaliani na madai yake kwamba Tz haina uwezo au fedha za kuwekezs ktk bandari.
..kama tuliweza kukusanya fedha na kujenga mji mkuu mpya tusiouhitaji, na kununua midege inayotutia hasara, basi hatushindwi kukata shauri kuwekeza bandari.
..Dp / Dubai hawatengenezi cranes au mitambo mikubwa inayotumika bandarini. Mitambo hiyo inaundwa na nchi mbalimbali ambako Tanzania inaweza kwenda kununua.
..Hii habari kwamba hatuna uwezo na ni lazima tusalimishe kila kilichoko ktk bandari zetu kwa Dp World ni udanganyifu.
Nani kakwambia Shivji ni mwanasheria? Yule ni mjamaa uchwaraWith due respect Prof atulie!...Angle hii sio yake!
Shivji kashaongea..
Shivji sio mwanasheria hajui chochote kuhusu uwekezaji! Kanakomalia theories za karl maxmambo ya afya tuwaachie madaktari, mambo ya uchumi tuwaachie wachumi, mambo ya fedha tuwaachie wanamahesabu, mambo ya sheria waachie wanasheria.
renowned lawyers like Professor shivji walishaongea, wewe ni nani katika sheria?