..sikubaliani na madai yake kwamba Tz haina uwezo au fedha za kuwekezs ktk bandari.
..kama tuliweza kukusanya fedha na kujenga mji mkuu mpya tusiouhitaji, na kununua midege inayotutia hasara, basi hatushindwi kukata shauri kuwekeza bandari.
..Dp / Dubai hawatengenezi cranes au mitambo mikubwa inayotumika bandarini. Mitambo hiyo inaundwa na nchi mbalimbali ambako Tanzania inaweza kwenda kununua.
..Hii habari kwamba hatuna uwezo na ni lazima tusalimishe kila kilichoko ktk bandari zetu kwa Dp World ni udanganyifu.