Profesa Assad: Hakuna bandari inayouzwa, ni uelewa mdogo wa watu

Profesa Assad: Hakuna bandari inayouzwa, ni uelewa mdogo wa watu

Ni rahisi kuwamezesha watanzania chuki wakaikubali kwa mikono miwili kuliko mambo mema,ambayo wataona ni jambo baya sana.
#Natureyao!
 
Hayo ni sawa na maprofesa wa miamba wanapoenda kuzungumzia mambo ya sheria
 
Mambo ya afya tuwaachie madaktari, mambo ya uchumi tuwaachie wachumi, mambo ya fedha tuwaachie wanamahesabu, mambo ya sheria waachie wanasheria.

Renowned lawyers like Professor shivji walishaongea, wewe ni nani katika sheria?
Maswala ya uchimi magumu sana, kuna watu hawaja wahi kuagiza mzigo nje na kujua mbivu na mbichi za bandarini lkn kama ni kuunga mkono basi ni kwa nguvu zote na kama ni kupinga ni kwa nguvu zote.
Pia bongo wengi ni waoga sana, hata ktk Maisha yetu watu tunaogopa kukopa hela kujiongezea mtaji
 
Mjadala imeharibiwa. Shida upande ule ukitoaga Rais kila Jambo linakuwa na mtazamo wa dini.

Na hili limesababisha wao kutoa Marais wa hivyo daima.

They can't argue but imposing religious feelings in each and everything.
Huyu alikua rafiki yangu sana ila Kwa hili kavuruga nadhani Sasa anatamani uteuzi
 
Hayo ni sawa na maprofesa wa miamba wanapoenda kuzungumzia mambo ya sheria
Huyo ni CAG, jaribu kutafuta uelewa mpana wa kazi alizofanya kabla hujaponda maoni yake kwa kigezo kuwa yanayofautiana na fikra zako.

Huyo anakagua kila taasisi na uelewa wake kwenye masuala ya kiuchumi haumzuii kuwa na uelewa kwenye masuala ya uwekezaji pale TPA.

Watu wangu wanateketea kwa kukosa maarifa - Biblia.
 
Ifike hatua watu wakubali kuwa kuna mambo mengine Hayasafishiki.
 
Mambo ya afya tuwaachie madaktari, mambo ya uchumi tuwaachie wachumi, mambo ya fedha tuwaachie wanamahesabu, mambo ya sheria waachie wanasheria.

Renowned lawyers like Professor shivji walishaongea, wewe ni nani katika sheria?
Hakika
 
Ujumbe wake ni muhimu, unajua kwanini Magu alimkataa?. Unajua kwanini Magu alikuwa akiwakataa wasomi wenye akili huru?. aliishi na wasiwasi wa kufunikwa na uwezo wao haswa intelligence yao.
Siyo kweli, Mzee alikuwa Mega Brain. Hakutaka ujinga na upigaji. Pia alichezea sharubu za wenye dunia Yao.
 
Back
Top Bottom