Profesa Assad: Hakuna bandari inayouzwa, ni uelewa mdogo wa watu

Profesa Assad: Hakuna bandari inayouzwa, ni uelewa mdogo wa watu

Tatizo lako mwandishi wa hii makala hujasoma, ungesoma usingeandika hayo yote.

Sisi tuliofanya kazi na huyo Assad, tunamheshimu sana lakini pia tunamjua mno. Hakuna mtu mdini na anayependa kufanya upendeleo unaoshahibiana na mambo ya kidini kama Prof Assad.

Any academician wa udsm atakwambia hayo. Having known that, Biasness yake kwenye huu mjadala haiwezi kumpa clearance yeyote ya kuchangia hoja ya maana na akasikilizwa.

Tatizo lenu hamjasoma, hamuwajui watu, hamtaki kujua context ya maoni yao ila mnapenda sana ku-draw conclusion na kufanya reference zisizo na ulazima wala maana.
 
Mambo ya afya tuwaachie madaktari, mambo ya uchumi tuwaachie wachumi, mambo ya fedha tuwaachie wanamahesabu, mambo ya sheria waachie wanasheria.

Renowned lawyers like Professor shivji walishaongea, wewe ni nani katika sheria?

Assad anatafuta teuzi tu
Njaa mbaya sana
Kama sio kichaa tusemeje sasa?
Anasema mambo matatu:
1. Technologies
2. Uwezo wa wafanyakazi
3. Ujinga mwingine - mtaji

Hivi kama taifa tuna uwezo wa kujenga projects kubwa nchini za mabilioni

Je, kuwekeza katika Technology Bandarini ndiyo Leo tushindwe?

Kuwapeleka watu wetu kupata hiyo Elimu ndiyo tushindwe?

Kwani hao wanaokuja walisoma hizo kozi Mbinguni
Vyuo si vipo hapa hapa duniani?

Hizi 10% zitatumaliza
Fikiria mtu mzima kama huyu badala ashauri tuwekeze katika hivyo vitu
Eti Yeye anakuja na njaa zake!

Nguvu kubwa inayotumika katika hili Jambo
hata yule mjinga wa mwisho atashtuka kwamba hapa kuna kitu nyuma ya pazia!

Ndiyo maana walikuwa wameficha hizo documents bila mzalendo kuvujisha
Tungejuaje?

Kwanza huyu Assad ni wa wapi?
Sio Zanzibar kweli?
 
..wanaoshambulia wenzao kwa misingi ya udini wapo kila upande.

..nadhani Lissu ametoa kauli ambayo imefunga malumbano ya udini-udini.

..Lissu ametoa dondoo zifuatazo:

1. Hakuna Uislamu wowote ktk mkataba na Dp World.

2. Mkataba wa Dp World ni mbovu na wa kifisadi, haijalishi Rais ni Muislamu, Mkristo, au Mpagani.
 
Huyu ni mtaalamu wa finance mambo ya sheria amwachie Prof Issa Shivji.
Shvji ni mtaalamu wa Sheria za ndoa sio Sheria za mikataba ya kimataifa.

Kwa angle hiyo anaweza kuzidiwa hata na mchumi maana nae anakua na subject za Sheria kwenye kozi zake.

Halafu huyu jamaa awamu iliyopita alikua amepotea kabisa, na hata ikitokea kulazima kuibuka basi ni kijiumauma tu.

Kwenye Sheria ndani ya Tanzania hii wataalamu ni WAWILI tu. " Mwamba" Lissu na " Mwamba" Othman Massoud, hawaogopi wala kutetereka kusema wanachokiamini kwenye Sheria.
 
Kwani huyo mtindo wake wa kuwaza si uleule wa waswahili wakazi wa pwani. Kupenda dili na dezo dezo tu. Anazungumza mikataba itakayoingia wakati wasomi wenzake wanaona ule mkataba 'concession' serikali ya samia wameipa serikali ya Dubai.

Huo mkataba ndio wenzake wameona yeye anajidai huo mkataba sio neno. Neno ni mikataba itakayoingiwa na kampuni ya DPW au zingine zitakazoletwa na dubai. Yaani kazi zote za ujenzi na uendeshaji bandari zote nchini lazima kazi wapewe dubai. Mkataba wa kibebetu na kikoloni kabisa.

Huyu ni Professor mpinga maendeleo tu, kibaraka wa mwendo wa usaliti wa samia kwa umma wa watanzania.
 
Ni kweli kabisa hakuna palipoandikwa inauzwa lakini pia hakuna palipoandikwa inakodishwa wala kupangishwa hivyo basi..
Mkuu Mshana Jr kwamba bandari inatolewa bure umepigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la kuzika juhudi zote za watetezi wa mkataba wa IGA, wenye vifungu batili.

Hata msomi Assad (Prof wa uchumi) anautetea kwa sababu ya kitoto, kuwa hatuna uwezo wa kuendesha bandari kwa faida, hivyo kutumia uwekezaji ndio jibu, la! Kama mwanaume hana uwezo wa kumpa mkewe mimba basi amtoe mkewe kwa mwenye uwezo, aluu INAFIKIRISHA
 
Mambo ya afya tuwaachie madaktari, mambo ya uchumi tuwaachie wachumi, mambo ya fedha tuwaachie wanamahesabu, mambo ya sheria waachie wanasheria.

Renowned lawyers like Professor shivji walishaongea, wewe ni nani katika sheria?
Kwa hiyo akina Mbowe pia wakae kimya?
Assad amesoma Accounts and Finance, ambapo ni lazima wasome business law
 
WAwekezaji waliotangulia wametusaidia nini mpaka sasa zaidi ya kutuambia changamotochangamoto kila kukicha?
Hata unavyo comment hapa JF, ni kwa sababu ya wawekezaji...mitandao inayotoa intaneti ni ya wawekezaji wa nje
 
Huyo Assad anajua chochote kuhusu Sheria?

Mambo ya sheria tuwaachie wanasheria , Asivamie fani

Shivji havamii fani ya uhasibu, siyo sahihi kwa mhasibu kuvamia fani ya sheria
Mkaguzi Mkuu lazima awe amesoma accounting, finance nq Businesses Law

By the way, Mbowe anavyo comment, yeye kasomea sheria?
 
Points Muhimu kwenye mahojiano ya Profesa Assad pale Channel Ten kwenye kipindi cha Dira ya Uchumi

[emoji1485] Hakuna Bandari Inayouzwa, ni uelewa mbaya tu wa watu. (Sikiliza zaidi...
Samia akiona hivi lazima Alambe uteuzi
 
Hizo IGA ni siri

Kwenye moja ya clip zake, Lissu kasema(nilivyomuelewa)kuwa kulingana na mkataba, ukomo wa mkataba ni pale shughuli za bandari zitapoisha(maji yakauke, n.k) au muda wa ukomo watachokubaliana kwenye IGA uishe, mikataba ambayo kasema (yaani hizo IGA) itakuwa ni mikataba midogo ya siri.
Kumbe kuna wengi Sana hamjui kitu aisee yaani IGA iwe Siri tena? na HGA itakuwaje?
 
Asad ana njaa sana. Tangu jiwe amtumbue kwa uonevu Asad hajawahi kuachwa salama na mahitaji ya tumbo.
Asad ni wa kuuunga mkono upumbavu huu? Kama siyo njaa nini??
 
Kwahiyo tulipata uhuru tukiwa hatuwezi kujiendesha wenyewe sasa tumewapata watu wenye akili watulee!

Huu ni ujinga, miaka yote tumeshindwa kusomesha watu wetu leo tuwe vibarua wa wageni na tunalichekelea jambo hilo!

Tutakuja ingia mkataba na waarabu watuendeshee bunge letu maana nalo limetushinda tunaliendesha kama wafugaji wako mnadani.
Waafrika hawana akili, pia wana culture mbovu, hata wasome kwa namna gani, hilo linafahamika na kila mtu, hata South Afrika wameendelea sababu ya wale wazungu, Kenya, Zimbabwe, Zambia kote huko hali ni moja
 
Points Muhimu kwenye mahojiano ya Profesa Assad pale Channel Ten kwenye kipindi cha Dira ya Uchumi

👉🏾 Hakuna Bandari Inayouzwa, ni uelewa mbaya tu wa watu. (Sikiliza zaidi)

👉🏾 Ukomo hauwekwi kwenye IGA, bali kwenye mikataba ya chini (Projects Agreements). (Sikiliza Zaidi)

Profesa Assad ametoa majibu mazuri kabisa, na huyu ndio Profesa wa kweli sasa, sio wale wengine akina Tibaijuka na Shivji, wachumia tumbo tu, Sikilizeni nondo kutoka kwa Prof.

View attachment 2712096
View attachment 2712097
View attachment 2712098
View attachment 2712099
Kwa mara ya kwanza Mimi na Prof. Assad tumeelewana!
 
Back
Top Bottom