Profesa Assad: Hakuna bandari inayouzwa, ni uelewa mdogo wa watu

Profesa Assad: Hakuna bandari inayouzwa, ni uelewa mdogo wa watu

Yaani kusema tu shivji ni mchumia tumbo nimekuona TAKATAKA.

NA SINA HAJA YA KUENDELEA KUSOMA TAKATAKA ZAKO.
We shughulika na hoja za Assad, achana na comment ya mtoa mada. Kama shivji siyo mchumia tumbo kwako bali assad, basi kwa wengine assad ni shujaa na huyo shivji wako ni mchumia tumbo tu
 
Hii bandari unaisapoti au kuipinga tokana na Mungu wa jamii gani unayemuabudu 🤣
Aisee umeongea lijambo likuuuubwa kwa uchache sana ndg....nimependa hii, hatz hujamaliza pumzi zako.
Hata hivyo assad ni jamii za wale wazee wetu wanaotumia taaluma zao zaidi kuliko kumuabudu....rekodi zake zipo wazi.
 
With due respect Prof atulie!...Angle hii sio yake!
Shivji kashaongea..
Ndo keshaongea sasa na watanzania tunaendelea kumuelewa! Mnasemaje?!!!!!! Shivj ni nani kwetu watanzania?!!!
 
Mambo ya afya tuwaachie madaktari, mambo ya uchumi tuwaachie wachumi, mambo ya fedha tuwaachie wanamahesabu, mambo ya sheria waachie wanasheria.

Renowned lawyers like Professor shivji walishaongea, wewe ni nani katika sheria?
Tibaijuka kasomea sheria lini ??
Mbona ndiye Bingwa huko kwenu kwa Sasa na mfano wa ujasiri kwenu??

John Heche, Mbowe, Msigwa Kuna lolote wanajua kuhusu sheria?? Mbona ndio mouthpieces Wa KUAMINIKA anga hizo kuhusu DPW???

Hoja yako ni Mufilisi
Wenye IQ nzuri Watakupuuza
 
Wala siyo Chadema peke yao, hata sisi CCM Chama kubwa kwa kweli hili suala la bandari linatufedhehesha sana. Halifai na hatulitaki sema tu ni uchama chama unatusimbua.
Hakuna mwanaCCM anaepinga uwwkezaji wa bandariii. Ukiona anapinga wewe tambua huyo atakuwa nyumbuu. Uwekezaji huu wa bandariii ni tunu kubwa kwa taifa, halafu unasema kuna mwanaCCM eti kaona fedhehaaa??
 
Kwahiyo tulipata uhuru tukiwa hatuwezi kujiendesha wenyewe sasa tumewapata watu wenye akili watulee!

Huu ni ujinga, miaka yote tumeshindwa kusomesha watu wetu leo tuwe vibarua wa wageni na tunalichekelea jambo hilo!

Tutakuja ingia mkataba na waarabu watuendeshee bunge letu maana nalo limetushinda tunaliendesha kama wafugaji wako mnadani.
Kama Zanzibar tulivyoingizwa kwenye mkataba wa Muungano, Leo Tunaekewa Rais na Baraza la uwakilishi na Tanganyika. Mkuki kwa nguruwe tu
 
Points Muhimu kwenye mahojiano ya Profesa Assad pale Channel Ten kwenye kipindi cha Dira ya Uchumi

[emoji1485] Hakuna Bandari Inayouzwa, ni uelewa mbaya tu wa watu. (Sikiliza zaidi)

[emoji1485] Ukomo hauwekwi kwenye IGA, bali kwenye mikataba ya chini (Projects Agreements). (Sikiliza Zaidi)

Profesa Assad ametoa majibu mazuri kabisa, na huyu ndio Profesa wa kweli sasa, sio wale wengine akina Tibaijuka na Shivji, wachumia tumbo tu, Sikilizeni nondo kutoka kwa Prof.

View attachment 2712096
View attachment 2712097
View attachment 2712098
View attachment 2712099

Huyu ni Prof njaa vile vile. Anatafuta ka mwanya hapo ili afikiriwe mahali pa kujikinga njaa! Kama halioni hili tatizo nasi huyu ni Prof uchwara!
 
Ofisi ya CAG ina wataalamu wa fani mbalimbali na yeye kama yeye analetewa taarifa na wafanyakazi wa chini yake. Huyo yeye kama yeye hawezi kuingia ofisi zote kukagua
He is a former CAG looking for a spot light! He is just another opportunist .
 
Points Muhimu kwenye mahojiano ya Profesa Assad pale Channel Ten kwenye kipindi cha Dira ya Uchumi

👉🏾 Hakuna Bandari Inayouzwa, ni uelewa mbaya tu wa watu. (Sikiliza zaidi)

👉🏾 Ukomo hauwekwi kwenye IGA, bali kwenye mikataba ya chini (Projects Agreements). (Sikiliza Zaidi)

Profesa Assad ametoa majibu mazuri kabisa, na huyu ndio Profesa wa kweli sasa, sio wale wengine akina Tibaijuka na Shivji, wachumia tumbo tu, Sikilizeni nondo kutoka kwa Prof.

View attachment 2712096
View attachment 2712097
View attachment 2712098
View attachment 2712099
Kuitwa profesa si kwamba unajua au kuweza
ku-outsmart kila mtu.Hivi,shule ya msingi alijifunza maana na miundo ya sentensi kweli?Neno kuuza linapotumiwa na Watanzania atulie na alielewe.Kwa mfano,mtu akimwambia..."tulipofika New York,Jamal aliniuza"...!Ameelewa maana yake?
 
With due respect Prof atulie!...Angle hii sio yake!
Shivji kashaongea..
Kwani kila anachoongea Shivji kinakuwa sahihi ? Mbona kwenye sakta la Muungano kajikanyaga ,? Mara aongee hichi mara aongee kile?
 
Points Muhimu kwenye mahojiano ya Profesa Assad pale Channel Ten kwenye kipindi cha Dira ya Uchumi

[emoji1485] Hakuna Bandari Inayouzwa, ni uelewa mbaya tu wa watu. (Sikiliza zaidi)

[emoji1485] Ukomo hauwekwi kwenye IGA, bali kwenye mikataba ya chini (Projects Agreements). (Sikiliza Zaidi)

Profesa Assad ametoa majibu mazuri kabisa, na huyu ndio Profesa wa kweli sasa, sio wale wengine akina Tibaijuka na Shivji, wachumia tumbo tu, Sikilizeni nondo kutoka kwa Prof.

View attachment 2712096
View attachment 2712097
View attachment 2712098
View attachment 2712099

Huyu Prof Assaad ana akili za chooni, ni bora aendelee na fani yake ya uhasibu, mambo ya sheria awaachie akina Prof Shivji na magwiji wengine wa sheria! Njaa mbaya sana, hapo anatafua kipooza tumbo huyu!
 
Yaani kusema tu shivji ni mchumia tumbo nimekuona TAKATAKA.

NA SINA HAJA YA KUENDELEA KUSOMA TAKATAKA ZAKO.
Mnamuamini Sana Shivji kuwa siyo mchumia tumbo ila kumbukeni amesavaivu tawala zote akiwa mtumishi wa umma kuanzia nyerere hadi jiwe(from entrance to retirement), kuanzia maujamaa ya nyerere, mavita ya Uganda hadi nchi kufilisika, ubinafsishaji wa mkapa, nk! Waliokosoa serikali kweli kweli waliondolewa pale yuudii kwa zengwe au directly
 
Na huu mkataba kwa sehemu kubwa wanaoupinga ni Wakristo na ndio waliofungua ht kesi kule Mbeya.
Huku Waislam nao wanaunga mkono na kuna mawakili waislam wanataka kufungua kesi...
Maadam mmeligeuza suala la DpWorid kuwa ni la kidini basi muda si mrefu mtagawana fito za nchi yenu!! Nchi hii ndiko inakoelekea.
Ccm na Samia hamtakwepa lawama hiyo!
 
Swala limewasilishwa mahakamani. Tusubiri uamuzi wa mahakama.

Tunataka Mahakama iamue bila shinikizo la nje.
La sivyo tutamwamini Azizi Ki. Na kuzidharau Mahakama zetu.
 
Points Muhimu kwenye mahojiano ya Profesa Assad pale Channel Ten kwenye kipindi cha Dira ya Uchumi

👉🏾 Hakuna Bandari Inayouzwa, ni uelewa mbaya tu wa watu. (Sikiliza zaidi)

👉🏾 Ukomo hauwekwi kwenye IGA, bali kwenye mikataba ya chini (Projects Agreements). (Sikiliza Zaidi)

Profesa Assad ametoa majibu mazuri kabisa, na huyu ndio Profesa wa kweli sasa, sio wale wengine akina Tibaijuka na Shivji, wachumia tumbo tu, Sikilizeni nondo kutoka kwa Prof.

View attachment 2712096
View attachment 2712097
View attachment 2712098
View attachment 2712099
Profesa ni vyema ayaseme yeye, sisi hapa tumewaelimisha sana kwenye hilo, wanjifanya wametia loki.

Siwashangai, ikiwa mtu kishajikubali yeye ni kondoo atamfata nani zaidi ya mchungaji wake?
 
kwani ndio msahafu kuwa ukiwa mkaguzi ndio unajua kila kitu, ona sasa alivyojiweka uchi kumbe kichwani ni mgonjwa, mfundisheni sio kila kitu lazima uongee, vingine vina mipaka, waache wengine pia waseme. hata TLS waliandika yeye anakwenda kichwa kichwa kwenye media,
Basi wewe ndio unajua kila kitu yeye hajui
 
Back
Top Bottom