Profesa Assad: Hakuna bandari inayouzwa, ni uelewa mdogo wa watu

Profesa Assad: Hakuna bandari inayouzwa, ni uelewa mdogo wa watu

Akishasema Shivji, Mh. Warioba na kidogo Butiku hiyo itakuwa imekwisha. Yaani kwenye issue za Sheria nimsikilize Prof. Assard badala ya Prof. Shivji? Huo utakuwa uzuzu usio kiwango.
Huu ni uwekezaji sio sheria tu kwani land act ya 1997 inasemaje .
 
..Tundu Lissu amesema mkataba haukuandaliwa msikitini, hivyo tuachane na ushabiki wa Kidini.

..kwa upande wangu nawaamini hoja za Prof.Shivji, na Prof.Lipumba kuhusu Dp World zina mashiko kuliko za Prof.Assad.
Kwa kuwa kasema usichotaka kusikia.
 
Basi wewe ndio unajua kila kitu yeye hajui
Assad ndio hajui maana ya kuuza bandari ; na hii inatokana na ushabiki. Kuuza ni kupokea fedha in exchange for something that the buyer wants.
Sio siri tena kuwa SAMIA NA GENGE LAKE wamepokea fedha nyingi kutoka DpWorld in exchange kwa huo mkataba mbovu! Sasa huko kama sio kuuza Bandari zetu ni nini?
 
Mambo ya afya tuwaachie madaktari, mambo ya uchumi tuwaachie wachumi, mambo ya fedha tuwaachie wanamahesabu, mambo ya sheria waachie wanasheria.

Renowned lawyers like Professor shivji walishaongea, wewe ni nani katika sheria?
Wapi Shivji alisema "bandari inauzwa"?

Unauliza Assad ni nani? Hauelewi au ndiyo upo kwenye loki ya ukondoo?
 
Assad ndio hajui maana ya kuuza bandari ; na hii inatokana na ushabiki. Kuuza ni kupokea fedha in exchange for something that the buyer wants.
Sio siri tena kuwa SAMIA NA GENGE LAKE wamepokea fedha nyingi kutoka DpWorld in exchange kwa huo mkataba mbovu! Sasa huko kama sio kuuza Bandari zetu ni nini?
Prof kaongea vizuri sana na credibility yake inambeba vilivyo hana historia mbovu na kwa hili yuko very right.
 
Wapi Shivji alisema "bandari inauzwa"?

Unauliza Assad ni nani? Hauelewi au ndiyo upo kwenye loki ya ukondoo?
Inaelekea huelewi msingi wa wananchi kusema Bandari inauzwa!!
Ccm na Samia wamehongwa fedha nyingi na DpWorld ili kutekeleza huo mkataba wa kifisadi na huko ndio kuuza bandari zetu. Najua utabisha kwa hulka yako!
 
Huyo Assad anajua chochote kuhusu Sheria?

Mambo ya sheria tuwaachie wanasheria , Asivamie fani

Shivji havamii fani ya uhasibu, siyo sahihi kwa mhasibu kuvamia fani ya sheria
Hivi unaweza kuwa mchumi wa kiwango cha Assad usielewe sheria za uchumi?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Prof kaongea vizuri sana na credibility yake inambeba vilivyo hana historia mbovu na kwa hili yuko very right.
Nadhani humfahamu Assad na historia yake akiwa mjumbe wa bodi na mwenyekiti wa Audit committee ya Nssf!
He has no credibility.
You are fascinated by people’s titles and not their content!
 
Kwahiyo tulipata uhuru tukiwa hatuwezi kujiendesha wenyewe sasa tumewapata watu wenye akili watulee!

Huu ni ujinga, miaka yote tumeshindwa kusomesha watu wetu leo tuwe vibarua wa wageni na tunalichekelea jambo hilo!

Tutakuja ingia mkataba na waarabu watuendeshee bunge letu maana nalo limetushinda tunaliendesha kama wafugaji wako mnadani.
Assad kasema wazi, ni wezi.
 
Kaongea pumba kabisa, njaa jamani mbaya sana! Mambo ya sheria awaachie akina Prof Shivji, yeye ajikite kwenye uhasibu wake!
Kaongea vizuri na credibility yake ni nzuri huyo Shivji alisema nini kuhusu ubinafsishaji wa mabenki na muda ukamuumbua kama sio mtaalamu wa uchumi na uwekezaji akae pembeni.
 
Wale waliwakilisha mawazo ya wengi bila kuangalia udini..kuna mwingine anaongozwa na falsafa ya upumbavu...maana kwenye ujinga alishatoka.
Ndio mnavyodanganywa huko hivyo sio? heshimuni na maoni ya watu wengine,msijione kua ni nyinyi pekee yenu tu ndio mna uhuru wa maoni.
 
Ni kweli kabisa hakuna palipoandikwa inauzwa lakini pia hakuna palipoandikwa inakodishwa wala kupangishwa hivyo basi.

Kama haiuzwi
Kama haikodishwi
Kama haipangishwi

Maana yake ni moja tu inatolewa bure...

Zaidi Assad naye anataka kugeuka mchumia tumbo.

Maana yeye anazungumzia bandari moja tu wakati IGA inasema bandari zote Tanzania na miundombinu yake.

Mwambie kachelewa kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaandika kijuha, kama kawaida ya ujinga wako. Ulitaka mkataba wa maendeleo uandike mambo ya upangishaji?

Kondoo hata ukiwa kwenye kundi la mbuzi unajulikana tu.
 
Back
Top Bottom