Shivji sio mwanasheria hajui chochote kuhusu uwekezaji! Kanakomalia theories za karl maxmambo ya afya tuwaachie madaktari, mambo ya uchumi tuwaachie wachumi, mambo ya fedha tuwaachie wanamahesabu, mambo ya sheria waachie wanasheria.
renowned lawyers like Professor shivji walishaongea, wewe ni nani katika sheria?

Ona sasa unabishana na aliyekuwa mdhibiti na mkaguzi wa mahesabu ya serikali yaani mashirika yote anajua kwa undani hali ya fedha ya serikali kuliko hata wewe ila sasa unambishia π..sikubaliani na madai yake kwamba Tz haina uwezo au fedha za kuwekezs ktk bandari.
..kama tuliweza kukusanya fedha na kujenga mji mkuu mpya tusiouhitaji, na kununua midege inayotutia hasara, basi hatushindwi kukata shauri kuwekeza bandari.
..Dp / Dubai hawatengenezi cranes au mitambo mikubwa inayotumika bandarini. Mitambo hiyo inaundwa na nchi mbalimbali ambako Tanzania inaweza kwenda kununua.
..Hii habari kwamba hatuna uwezo na ni lazima tusalimishe kila kilichoko ktk bandari zetu kwa Dp World ni udanganyifu.
Ten
*Hivi IGA imesainiwa kati ya Tanzania na DP World au Tanzania na Dubai?Sasa makamanda uchwara wataanza kumchukia huyu jamaaπ€£
Profesa Tibaijuka ambae si Mwanasheria alipoongea kwa kupinga vipengele vya sheria tulimuunga mkono kwa kuwa aliongea tuliyoyapenda kuyasikiaMambo ya afya tuwaachie madaktari, mambo ya uchumi tuwaachie wachumi, mambo ya fedha tuwaachie wanamahesabu, mambo ya sheria waachie wanasheria.
Renowned lawyers like Professor shivji walishaongea, wewe ni nani katika sheria?
Kahojiwa kimkakati.Source: Channel Ten π π π π
Huyo ni nguli wa uchumi anajuwa anachoongea.Mambo ya afya tuwaachie madaktari, mambo ya uchumi tuwaachie wachumi, mambo ya fedha tuwaachie wanamahesabu, mambo ya sheria waachie wanasheria.
Renowned lawyers like Professor shivji walishaongea, wewe ni nani katika sheria?
Yaani mtu ni profesa wa uchumi anajikuta ndio profesa wa kila kitu; afya, Sheria, elimu nkMambo ya afya tuwaachie madaktari, mambo ya uchumi tuwaachie wachumi, mambo ya fedha tuwaachie wanamahesabu, mambo ya sheria waachie wanasheria.
Renowned lawyers like Professor shivji walishaongea, wewe ni nani katika sheria?
Kahojiwa kimkakati.
Ni uelewa tu mdogo ndio unaokusumbua.Kitu nawapendea waislamu ni kusimama na maamuzi yoyote ya muislamu mwenzao, no mater what!
Uko sahihi.Ni uelewa tu mdogo ndio unaokusumbua.