mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
WakopajiJamani jamani. Watu wa maana wanaondoka. Tunabakiwa na .....
R.I.P Prof Honest Ngowi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WakopajiJamani jamani. Watu wa maana wanaondoka. Tunabakiwa na .....
R.I.P Prof Honest Ngowi
Halafu utakuta mtu kama wewe pia unapinga SGRJuzi nimetoka Mbeya aisee hayo matenka ya mafuta niyokutana nayo barabarani in one day ni zaidi ya mia tano!! Nikajiuliza hivi lile Bomba la mafuta la TAZARA na reli ya TAZARA vina kazi gani?? Na hapo ni njia ya Dar to Mbeya only..
Afadhali,itoke sheria,makonteina,na mizigo mikubwa ,isafirishwe kwa njia ya reli.Juzi nimetoka Mbeya aisee hayo matenka ya mafuta niyokutana nayo barabarani in one day ni zaidi ya mia tano!! Nikajiuliza hivi lile Bomba la mafuta la TAZARA na reli ya TAZARA vina kazi gani?? Na hapo ni njia ya Dar to Mbeya only..
Kwa kweli yaan [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]bado mdogo sana
Pole sana kwa Familia yake, pole kwa Wanataaluma Wote, pole kwa Taasisi za Elimu ya Juu zote nchini ( hasa hasa Chuo Kikuu cha Mzumbe ), na pole nyingi mno kwa Watanzania kwa huyu Mwamba wa Tasnia ya Uchumi nchini Tanzania.Habari Wote.
Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Lughano Kusiluka anasikitika kutangaza kifo cha Prof. Honest Ngowi na Dereva wake, waliofariki asubuhi ya leo kwa ajali ya gari wakiwa njiani kuja Kampasi Kuu Morogoro.
Tunaomba muwe watulivu wakati Menejiementi inaendelea kufuatilia taarifa kamili ya tukio hili, na kuweka taratibu zingine. Taarifa zaidi zitatolewa rasmi na taratibu zingine za kuwahifadhi wenzetu.
Bwana alitoa na Bwana Ametwaa jina la Bwana lihimidiwe. Poleni Wote kwa msiba huu mzito.
Imetokewa na,
Ofisi ya Mawasiliano
Profesa Honest Ngowi wa Chuo Kikuu Mzumbe amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea asubuhi ya leo eneo la Mlandizi, Kibaha mkoani Pwani. Lori iliacha njia na kuilalia gari ya Ngowi. Alitoka kwenye ajali akiwa majeruhi, amefariki akiwa hospitali.
Pia soma > Dkt. Honest Ngowi aichambua sekta ya gesi na kukiri Serikali imejipanga
=======
Professor Honest Prosper Ngowi (PhD Economics) alikuwa mkuu wa idara ya kozi fupi, utafiti na ushauri chuo kikuu cha Mzumbe kampasi ya Dar es Salaam. Pia ni muanzilishi wa kampuni ya ushauri ya ANO. Katika maisha yake amekuwa mtafiti, mshauri na kuchapisha machapisho ya kitaaluma zaidi ya 60, tafiti zaidi ya 70 pia makala zaidi ya 250 kwenye magazeti.
Prof. Ngowi amebobea kwenye uchumi wa maendeleo na biashara hasa kwenye uchumi mkubwa, biashara ya kimataifa, uwekezaji wa kigeni, ujasiriamali, uchumi wa mafuta na gesi na mengineyo. Prof. Ngowi pia amefanya kazi kama msahihishaji wa nje kwenye vyuo mbalimbali ikiwemo chuo kikuu cha Makerere, Udsm, North West University(Afrika kusini) na vingine vingi.
Cocastic quote zako zinanipa genye. Sorry lakiniAhsante kwa ufafanuzi.
Kwahiyo hata malipo yako ilikua bado kupewa, sivyo? Watanzania mnachekesha sana.Daaah, Mungu wangu..nimelia kwa uchungu sana,
Jana mchana tu nimetoka kwake kutibia Mifugo yake.
Rest in peace Prof😭
Kuna watu wenye taaluma kubwa kama hizi,wakiwa hai,hatupati habari zao,sisi wananchi wa kawaida.Tungeomba hapa JF,kuwe na platform,ya kutufahamisha ,Watu muhimu kama hawa,wako wapi,na tutawapata vipi,ili kutupa ushauri wa kuchanganyua changamoto tulizo nazo.
Kuna watu wenye taaluma kubwa kama hizi,wakiwa hai,hatupati habari zao,sisi wananchi wa kawaida.Tungeomba hapa JF,kuwe na platform,ya kutufahamisha ,Watu muhimu kama hawa,wako wapi,na tutawapata vipi,ili kutupa ushauri wa kuchanganyua changamoto tulizo nazo.
Acha shobo mtt wa kiume, unaropoka kama umemeza shaha**Kwahiyo hata malipo yako ilikua bado kupewa, sivyo? Watanzania mnachekesha sana.
watu wa muhimu wanakwenda tunabaki na akina Prof paramaganda .Jamani jamani. Watu wa maana wanaondoka. Tunabakiwa na .....
R.I.P Prof Honest Ngowi
Kulikua na haja gani kuja kulia lia hapa kwamba ulimfanyia marehemu kazi? Ili iweje? Tukuonee huruma au? Kijana wa hovyo sana wewe.Acha shobo mtt wa kiume, unaropoka kama umemeza shaha**
Mmefukuza madereva wazuri kwa sababu za kipuuzi za vyeti fake mara sijui dereva naye awe form four wakati mbunge ni darasa la saba, pumbavu kabisa.
Qualification ya driver ni driving license na siyo hawa waliokosa ajira kwenye soko la ajira na kukimbilia udereva, kuendesha Passo yako ni tofauti kabisa na professional driving.
Ukiwa unasafiri jihadhari sana na hizi plate namba za STL, DFP na SU, hakuna madereva humo siku hizi ndio mitambo ya kupeleka watu kuzimu.