Profesa Janabi: Aliyewaambia Watu wawe Wanakunywa Maji Lita 5 kwa Siku kawadanganya sana

Profesa Janabi: Aliyewaambia Watu wawe Wanakunywa Maji Lita 5 kwa Siku kawadanganya sana

Janabi kazingua hapo.
Hakuna popote Watu wameambiwa Wangwe maji lita tano.

Mtu anakunywa maji kutokana na umri, jinsia na uzito wake.
Wastani ni lita 2-3 kwa Watu wazima.
Huyu prof huwa naona anataka kuua watu kwa stress tu

Ni complicator, kesho atatuambia tusike matunda na mboga mboga kwa wingi

Keshokutwa atatwambia tukwichi kwichi mara moja kwa mwezi na ni kimoja tu, kwa afya ya moyo(atapigwa na wanaume woote, wanawake watamchoma moto🤣🤣
 
"Unatakiwa kunywa Maji pale tu Mwili wako ukikuambia au ukijisikia kuwa una Kiu.

Na hata kama usiposikia Kiu na kutokunywa Maji bado Afya yako itakuwa imara.

Huwa nashangaa mno kuwaona na kuwasikia Watu wakisema kuwa Mwanadamu kwa Siku anatakiwa Kunywa Maji Lita 5 hii si sahihi na wengi wanaokunywa Maji ya Ujazo huo hujikuta wakiwa wameibua Magonjwa mengine Miilini mwao" amesema Profesa Mwenye Akili Nyingi Janabi muda mfupi tu uliopita alipokuwa Mubashara ( Live ) ITV na Radio One katika Kipindi nilichokisahau Jina ila Mtangazaji Miongozaji wake Julieth Robert kutokana na Urembo wake na Sauti yake tamu sijamsahau.

Haya sasa endeleeni tu Kufakamia Mimaji Lita 5 na Kubeba Michupa yenu hovyo barabarani kama Wendawazimu mkijidanganya kuwa mnaimarisha Afya zenu wakati akina GENTAMYCINE tunaokunywa Glasi Tatu ( 3 ) tu za Maji tunaendelea kuwa Werevu (Intelligents) na Afya zetu Kuimarika kila Uchao na Kuonekana bado ni Vijana wakati sasa tunaelekea Saa 12 Jioni.

Kazi Kwenu.
Wewe matako elimu yako hata nusu haufikii ya proffeser kaa kwa kutulia
 
Usisikilize sana ma Dr wwe kwanza sikiliza mwili wako unataka kupokea nini kwa wakati huo,kama mwili unataka maji upe maji,kama mwili unataka chai upe chai, kama mwili unataka juice upe juice, kama mwili unataka kupumzika upumzishe!!
Kama mwili unataka ganja upe, kama mwili unataka kamnyweso upe
 
Jina lake ndiyo tatizo!
Bora angeitwa Proffesor Meshack Janabi ushauri wake ungekuwa wa kitaalamu zaidi.
Ila mvaa kobazi hawezi toa ushauri wa maana hata kama ni msomi aliyebobea kwenye taaluma yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu si ndy Dr wa mwendazake? Au nimechanganya madesa?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom