mazagazagatza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 208
- 224
Swali moja tu...je,hujawahi kuchanjwa tangu uzaliwe?Mkuu naweza kukubaliana na wewe, lakini kwenye mstari wa mwisho hapana. Kweli Mungu katuumba na immunity, lakini kama unadhani immunity tuliyoumbwa nayo inatosha, Je kwa nini tunaugua na wewe mwenzetu hujawahi kabisa kuchanjwa? Nadhani tusitumie kigezo cha immunity tuliyoumbwa nayo kutosha bali tubaki na hoja ya chanjo ya corona
Serikali inajiridhisha kwa kutumia nini? Hawa madakitari wetu wanafanya nini kama chanjo tunatoa nje? Baadhi ya magonjwa unaambiwa uende India, UK na kwingineko,sasa tuna madakitari gani? Tuna engineers hapa nchini lakini kutwa kucha barabara zetu zinachongwa na wachina.Kwanza nilitamani sana huyu mtu anayejiita Askofu akamatwe na vyombo vya dola kisha ahojiwe kuhusu tabia yake ya kwenda kanisani na kwenda kuwadanganya Watanzani kua chanjo si salama wakati anajua kabisa kua kila chanjo inayotolewa na serikali imejiridhisha...
Inawezekana kumpuuza gwajima ikawezekana lakini itapendeza zaidi hoja na maswali yake pia yangejibiwa ili watanzania wanaoamini hoja zake waelewe vizuriKwanza nilitamani sana huyu mtu anayejiita Askofu akamatwe na vyombo vya dola kisha ahojiwe kuhusu tabia yake ya kwenda kanisani na kwenda kuwadanganya Watanzani kua chanjo si salama wakati anajua kabisa kua kila chanjo inayotolewa na serikali imejiridhisha...
Hatumpuuzi sasa, kwenye swala la corona kila mmoja ni mtalaam, sote tumejifunza corona.Kwanza nilitamani sana huyu mtu anayejiita Askofu akamatwe na vyombo vya dola kisha ahojiwe kuhusu tabia yake ya kwenda kanisani na kwenda kuwadanganya Watanzani kua chanjo si salama wakati anajua kabisa kua kila chanjo inayotolewa na serikali imejiridhisha...
That was my question...kama ulinisoma vyema!Swali moja tu...je,hujawahi kuchanjwa tangu uzaliwe?
Jibu kaa nalo tu. Silihitaji.
angeshindwa kumfufua aliyempa ubunge kwa wizi?Anafufua wafu tu ndiyo sayansi yake.
CCM kumejaa matapeli tupuAnasema tusichanje anataka tumuombe Mungu, wakati yule bosi wa maombi alishaondoka na Gwajima bado hajamfufua mpaka leo, mimi namuona Gwajima kama kichaa fulani.
CCM ni kusanyiko la matapeli tupuEnyi wana Kawe wenzangu huyu askofu Gwajima anatupeleka wapi naina kama anatupoteza?
Tuchanje au tusichanje?!
Hiyari yako inaanzia kwenye hiyari ya mwenzako vinginevyo ni lazima!
Mungu ni mwema wakati wote.
Gwajima asikilizwe, ajibiwe kwa hoja, kumpuuza Gwajima ni Upuuzi.Kwanza nilitamani sana huyu mtu anayejiita Askofu akamatwe na vyombo vya dola kisha ahojiwe kuhusu tabia yake ya kwenda kanisani na kwenda kuwadanganya Watanzani kua chanjo si salama wakati anajua kabisa kua kila chanjo inayotolewa na serikali imejiridhisha...