mazagazagatza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 208
- 224
Swali moja tu...je,hujawahi kuchanjwa tangu uzaliwe?Mkuu naweza kukubaliana na wewe, lakini kwenye mstari wa mwisho hapana. Kweli Mungu katuumba na immunity, lakini kama unadhani immunity tuliyoumbwa nayo inatosha, Je kwa nini tunaugua na wewe mwenzetu hujawahi kabisa kuchanjwa? Nadhani tusitumie kigezo cha immunity tuliyoumbwa nayo kutosha bali tubaki na hoja ya chanjo ya corona
Jibu kaa nalo tu. Silihitaji.