Punguzeni kuomba, wote tunafanya kazi Kipato sawa

Hizo baraka zielekezeni kwenye familia zenu, kuna mwingine aliniagiza vitu hela ikapelea akaomba nimjazie atanipa kesho yake, kwa sasa ni mwezi wa pili unakatika ananizungusha zungusha tu sijui ndio anataka anilipe kivingine?
🀣🀣🀣🀣🀣 tunawaombea wote. Sasa nawe hela umemjazia mwenzio ndio umdai!! Sio vizuri.
 
Babu Dah Nimecheka Sasa mwanangu ukimnunulia Chai ya 2000 mwenzio unapungukiwa nini

Umenikumbusha miaka nafanya field Asee muda wa breakfast naenda kujificha kuondoa jau, maana nilikuwaga sipendi ofa ofa za kisng
 
Huo ndo uwanaume, sio kuomba Kila Muda, wanaume Hawana Tabia ya Kuomba Hawa jinsia ya Ke.... Ebana wanaomba mpaka kero.
 
Ujamaa unatuponza sana
 
Mara nyingi hii hutokea kwa akina dada, kwahiyo inategemea na msimamo wako,ukijilegeza basi kazi kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…