Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
🤣🤣🤣🤣🤣 tunawaombea wote. Sasa nawe hela umemjazia mwenzio ndio umdai!! Sio vizuri.Hizo baraka zielekezeni kwenye familia zenu, kuna mwingine aliniagiza vitu hela ikapelea akaomba nimjazie atanipa kesho yake, kwa sasa ni mwezi wa pili unakatika ananizungusha zungusha tu sijui ndio anataka anilipe kivingine?