Hujasaidia kitu. kama umeona mada haijakupendeza jiweke kando sio lazima kila mada uchangie kama umekuudhi mada hii samahani leongo ni kusaidiana katika mambo ya kiafya ndio lengo la jukwaa hili. sio kubezana
Mbona nimekusaidia kwa namna moja japo hujang'amua, tatizo la kujichua ubongo unahusika, hata wewe ukizoeshwa kulala taa imewaka kwa miaka mingi, itafika kipindi huwezi kulala bila taa kuwashwa.
 
Hongera kwa kuacha huo mchezo mchafu mkuu. Wewe endelea kufanya mazoezi, kula vizuri, kupunguza uzito na kujisomea mambo ya maana. Ukiwa na mkeo relax na uchukulie kuwa ni jambo la kawaida. Fukuza wasiwasi wo wote, jiamini halafu toa dozi kwa kadri unavyoweza. Siku moja utakuja kujishangaa. Wakati mwingine kupaparika na kutaka njia za mkato pamoja na woga ndiyo huleta matatizo. Good luck in your recovery from the bondage of masturbation. Mungu Akusaidie!
 
shukrani mkuu kwa maoni yako chanya
 
Duh nyeto ni brain related addiction... Sizani kama unaweza acha. Kuna jamaa yuko na mke na watoto na huwa ananiambia bado anapiga puli
 
Duh nyeto ni brain related addiction... Sizani kama unaweza acha. Kuna jamaa yuko na mke na watoto na huwa ananiambia bado anapiga puli
Kuacha inawezekana na wengi tumeshafanikiwa kuacha. Wewe una mke na watoto wawili bado tu unapiga? Unahitaji msaada wa kitabibu na kisaikolojia mkuu. Pia waone wataalamu wa mambo ya kiroho watakusaidia.
 
Hilo dozi kama waraka cc waumini wa kameze 3*1 hatuwezi maelezo hayo.
 
mkuu umenizungumzia aisee
 
Huku nje mkuu huwezi kuangalia porn kwa simu wana block, ukihitaji kuangalia lazima uwasiliane na customer service wakufungulie, hii ni safety kwa vijana under18.
Hata broadband pia una block, any website ambazo zinahusuana na sexual burn.
Sijui Tanzania hii system
 


POINT TUPU BROOOOOOOOO,NIMEKUELEWA SANA
 
Habari wana JF,

Nimeona niandike tu hata sasa maana nimeshindwa kabisa kulala, nina miaka 26 now. Niliwahi kuwa mpiga punyeto mashuhuri hadi juzi kati tu nilipoamua kuacha lakini toka nimeacha na kuhamia kwa viumbe aliotuandalia Mungu hali sio shwari, uume wangu husimama legelege na nikitaka kuanza mchezo uume huzima kabisa.

Nashindwa kujua nifanye nini maana nimemaliza visingizio vyote kwa wasichana niliowahi kuwa nao.

Naombeni masaada wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…