mtoto wa mjin
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 589
- 566
Hati ya dharura...umetisha brotherPole sana ndugu..inaonekana n tatzo sugu hadi umelileta kwa hati ya dharula..hebu ondoa wazo la kuwa huwez kama tayar ulishaijenga hvyo kwan nahsi hilo ndo tatzo kubwa linalokusumbua na sio madhara ya punyeto
Mpaka ukiwa na umri gani?Tangu nna miaka 15
Nikuulize swali,punyeto na mwanamke,kipi kitamu zaidi?Habarin wakuu.......msaada jaman hii kitu mm inanisumbua sana, najaribu kuacha kupiga nyeto ila naacha tu kwa weeks kazaa najikuta narud tena.
Nataman kuacha mazima msaada jaman.
Thanks
Mpaka sasa nna miaka 26 nimeacha kama mwezi mmoja uliopitaMpaka ukiwa na umri gani?
Nataka nikusaidie.
Tehe tehe tehe kabisaAll jf members are doctors by professional
Ndo nn mkuu.... KamagraKula kamagra
Kegel ni niniAcha punyere kisha Anza mazoezi ya kegel na kukimbia, kunywa maji mengi, pumzika (usingizi) vya kutosha, acha vileo. Wk mbili za mwanzo utaona mabadiliko.
Umenena mdesi[emoji23] [emoji120] [emoji120]Pole mkuu hii kitu kuiacha huwa ni vigumu kwa kuwa hormones zinakuwa involved na ubongo pia. Kuna namna mbili unaweza chagua moja hata watu humu wameacha au kupunguza kwa njia hizi:-
1. Upate mpenzi wa kufanya nae mapenzi kila upatapo hamu. Ni vizuri ukaoa kama umefikia umri wa kufanya hivyo. Hii njia unaweza kumaliza tatizo lakini ina madhara mengi kwani ni dhambi ya uzinzi na waweza pata magonjwa.
2. Ni kuelewa kuwa kitendo cha kupiga punyeto ni dhambi na ni aibu mbele za Mungu na ni chukizo. Unajitenga na Mungu na Roho mtakatifu anatoweka ndani yako na kukuacha na uchafu unaoufanya. Unachotakiwa kufanya ni kutubu dhambi na kuweka kusudi la kuto kirudia tena na jiweke karibu na Mungu. Utajikuta kila unapotaka kupiga puli kumbuka kuwa unatenda dhambi utajikuta unakosa hamu na huwezi fanya tena. Wakati unataka kufanya assume kuna mtu anakuona ujikuta una ahirisha kutenda. Ukifanya hivyo Mara nyingi utazoea ( controlled reflex action)
Fanya moja wapo kati ya hayo. Hii ya pili ni ngumu lakini ina faida nyingi.
Mdesi kakushauri vyema[emoji120]Habarin wakuu.......msaada jaman hii kitu mm inanisumbua sana, najaribu kuacha kupiga nyeto ila naacha tu kwa weeks kazaa najikuta narud tena.
Nataman kuacha mazima msaada jaman.
Thanks