Punyeto ni nini na nini madhara yake?
si tiyari una gf?sasa hayo madudu ya nini?yana madhara hata km sio sasa!
 
Kwa kweli kijana anahitaji msaada wa kiroho! mbona umeanza mapema namna hiyo?
 
madhara yepi
Kujichua ndugu wana JF hakuna madhara ya moja kwa moja.

Tafiti zinaonyesha kwamba hakuna madhara physical ambayo mtu anaweza kuwa anayapata, labda pale ambapo utafanya tendo hilo vigorously au bila kutumia lubricants unaweza kupata michubuko.

Tatizo kubwa la kujichubua ni emotional au psychological ambalo hutokana na mtu kuji-feel guilty baada ya kufanya tendo lenyewe kwa sababu tendo hili linaonekana baya katika jamii. Kitu kingine ambacho mimi ndio naona kibaya zaidi ni kwamba unapojichua huwa unafikiria kupata raha peke yako hivyo hata wakati wa kufanya mapenzi na mwenzi wako hutawaza kumpa raha na mpenzio utakuwa unataka wewe upate raha peke yako na hii inaweza kuathiri uhusiano wenu.

Sina uhakika sana kama tendo la kujichua limekatazwa moja kwa moja kwenye biblia au quran lakini katika biblia kuna mtu aliuawa kwa kumwaga shahawa zake nje, kwa hiyo nadhani hata kiimani tendo hili halikubaliki.

Utafiti pia unaonyesha kwamba kufanya tendo hili kwa zaidi ya mara tatu kwa wiki kunaleta addiction, kwa hiyo utakuwa wewe ni mtu wa kujichua tu na hasa kama ukiwa peke yako na kuacha kufanya au kufikiria mambo mengine, na pia hutakuwa unamfikiria sana mpenzi wako na hivyo waweza kuharibu uhusiano wako kwa kuwa utapenda zaidi kujichua kuliko kufanya mapenzi na mpenzi wako.

Nakushauri jitahidi sana uache, hutaona madhara yoyote physical, nguvu za kiume zitakuwepo kama kawaida lakini in a long run, guilty feelings na addiction vitakuathiri ndugu yangu.

Kuacha ni rahisi, acha kuwaza sana ngono, epuka kukaa peke yako muda mwingi, epuka vitu ambavyo vitakufanya ufikirie ngono kama kuangalia pornographic movie au picha za uchi, na pia omba sana Mungu atakusaidia utaacha, zinapokuja tu fikra za kufanya tendo hilo mwambie Mungu apitishie mbali hayo mawazo utaacha.
 
Duu! Ama kweli ths iz so called kizazi cha computer a.k. Kizazi cha nyoka.
19 yrs tayari umeanza kuchakachua? Kwa vyovyote vile utakuwa ume "do" na mtoto mwenzako ambae yuko under 19.
Watu wa zamani umri huo tulikuwa hatujui hata vitendea kazi ni vipi,hadi siku unafungishwa ndoa ndio unaambiwa kazi ya kila kifaa wakati huo upo above 25 yrs.
Ongeza maobi dogo utapotea mapema sana ukiendekeza ngono kwa dunia ya leo.
 
Ili ujue side effect google "musturbation" utapata kila kitu.
 
Mwelewa,
Wewe kijana wewe!
Unajichubua halafu unakuja hapa unatangaza kwa loud speaker!!
Endela kujichua ila iwe siri yako...endelea tu baada ya muda utagundua kuwa kama kunaleta matatizo au hakuna matata...
Fanya kwa kiasi, jikisie kulingana na mlo unaokula pia... Halafu kama una GF inachotafuta ni nini katika kujichubua?
 
Hakuna madhara kijana, kitu normal na natural hicho, endelea tu, ili mradi usijiumize na kujifungia chumbani siku nzima. Masturbation is sex with someone you love!!
 
Hakuna madhara kijana, kitu normal na natural hicho, endelea tu, ili mradi usijiumize na kujifungia chumbani siku nzima. Masturbation is sex with someone you love!!

ha ha ha haaaaaaa..very funny!
kijana anabadilisha tu wapenzi kila siku sio?leo j lo,kesho beyonce, keshokutwa yule dada wa jirani anayemtizama na kushindwa kumwambia n.k...
but bottom line masturbation ina psychological effects jamani..itafika wakati husimami mpaka ujichue..shauri yako.!!
 
Hilo ni tatizo la kisaikolojia. Zingatia ushauri wa Kapotolo. Acha kabisa. Kuna mtaalam alisema ukizoea hiyo kitu utakuwa unawahi ku piz sec. 3. kwa vile punyeto hutumia nguvu nyingi kuliko ukikutana na mwanamke, umeona wajamaa wanavyolalamika kuhusu kuwahi ku piz??? yatakukuta hayo kama hutaacha.
 
Inakuwajee?

Kuna rafiki yangu ni mpiga nyeto ballah.

Sasa kapata mpenzi, so anaogopa kushiriki nae tendo kwa sababu kwa muda mrefu kawa addicted wa punyeto, since miaka 17 mpaka now ana 22.

He told me alipokuwa faragha na mpenzi wake hakupata stimu mpaka alipopata blowjob.

Lakini wakati anaingiza ndani ya Vutu, goma hapo hapo ikalala bila ya kupump.
Mnamshauri nini huyuu?:decision:

Habari yako! Swala hilo limezungumziwa sana. Na hauko peke yako, nakuhakikishia kwamba wapo wengi tu wanao kumbwa na jambo kama hilo.

Ni imani yangu kwamba huwezi kuacha punyeto bila kuwa na mbadala wake(hii ndio imani yangu) niki ongea kutokana na uzoefu WANGU MWENYEWE! kwani miaka flani ya balehe huko nyuma niliwahi kujihusisha na hiyo kitu. Na nilitamani kuacha kama ww unavyo tamani sasa. Lakini iliniwia vigumu. Ndipo kwa nia ya dhati nikajichimbia kwenye mitandao mbalimbali kwa lengo la kujua yapi madhara ya punyeto.

Kusema ukweli nilipata hofu ambayo ingenikuta hasa baada ya kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi. Moja ya madhara niliyo yaona ni kuwahi kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa. Na ilifikia hatua ngono ikawa kama adhabu kwangu coz kila nilipokuwa nikikutana na msichana lilikuwa GOLI MOJA TENA NDANI YA DAKIKA MOJA. Kuendelea sikuweza tena. Swala hilo lili niumiza. Ndipo nikakutana na Dr mmoja anaitwa Dr Nelson Paul alikuwa anafanya kipindi kwenye radio moja jijini Mwanza kinacho itwa Usiku wa mahaba(kwa sasa sina habari zake) alinijenga kisaikolojia.

Usipende kuangalia picha za x kama ni moja ya vitu unavyo penda

Jaribu kuepuka mazingira yanayo kushawishi kufanya hivyo

Uwe mtu wa mazoezi ji keep busy na vitu anuai

Wazo lako la kusubiri mpaka uwe na mke ni zuri(lakini ninge recomend utafute msichana japo ujue perfomance yako ikoje mpaka sasa) naamini unaweza kupata mwafaka. Mimi nilipo shindwa kumfikisha binti wa watu kileleni ndipo nilipata hasira na chuki dhidi ya punyeto. Na ilinisaidia kuacha. Kwa sababu sikupenda kupata aibu tena au kuja kumuumiza mke wangu. THE CHOICE IS YOURS. Asante kwa kuchukua muda wako kusoma andiko langu.

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]
attachment.php
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]PILIPILI[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Punyeto ( kwa wanaume ) ni kitendo cha mwanaume, kujifikisha mwenyewe kileleni kwa kujichua uume hadi kumwaga mbegu za kiume.

Uchunguzi unaonyesha katika watu wa jinsia ya kiume kumi wenye umri wa kuanzia miaka 16 hadi 45, angalau wanne kati yao wamewahi kupiga punyeto katika kipindi fulani cha maisha yao, na wawili kati yao wanajihusisha na upigaji punyeto.

Uzoefu unaonyesha, asilimia kubwa ya wanaume wanao piga punyeto huanza katika umri wa kubalehe ( miaka 14-16 ), wengine huachana na tabia hiyo mara baada ya kupata wapenzi wa kike ama kuoa na wengine huendelea na tabia hiyo hata baada ya kuoa .

Zipo sababu mbalimbali zinazo wapelekea wanaume kupiga punyeto, ila kubwa kati ya hizo ni pamoja na kutokuwa na wapenzi, kutokuwa na wapenzi wanao kidhi vigezo vyao, kuwa katika mazingira yasiyokuwa na wanawake ( mfano katika shule za sekondari za bweni za wavulana tu ), kujiepusha na hatari ya kupata maambukizi ya v.v.u na kadhalika.

ATHARI ZA PUNYETO KWA WAVULANA

Punyeto ina athari nyingi na kubwa sana kwa wanaume wanaojihusisha nayo, lakini kwa leo, tutaangalia athari moja kubwa kati ya nyingi. Athari hii si nyingine bali ni:

KUUA NGUVU ZA KIUME

Mwanaume anayepiga punyeto hutumia nguvu nyingi kuibana mishipa inayofanya uume usimame. Mwisho wa siku uume hulegea na kusinyaa, na kukosa nguvu kabisa na hatimaye mhusika kuwa khanithi. Uchunguzi unaoonyesha, kuna idadi kubwa sana ya wanaume wanaosumbuliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kama matokeo ya kupiga punyeto kwa muda mrefu.

Athari za mwanaume kutokuwa na nguvu za kiume, nadhani zinajulikana, ila kwa faida ya wote tutazizungumzia kwa kina siku za mbele, lakini kwa ufupi ni aibu kubwa sana kwa mwanaume kukubali kuua ufanisi wa uume wake kwa sababu ya kupiga punyeto.

MUNGU HAPENDI PUNYETO : ( MIONGONI MWA WANANZUONI WA MASOMO YA BIBLIA DHAMBI YA KUPIGA PUNYETO HUJULIKANA KAMA ONANISM )

Kwa mujibu wa maandiko matakatifu, upigaji punyeto ni moja kati ya matendo yanayomuudhi Mwenyezi Mungu, kwa sababu yanapigana na utaratibu aliouweka.

Kwenye kitabu cha MWANZO 38:9, Onan mwana wa Yuda aliagizwa na baba yake ( Yuda ) kwenda kumjua mke wa kaka yake ( Onan ) ili aweze kumzalia watoto. ( Kwa mujibu wa mila na desturi za kiyahudi wakati huo, kaka anapofariki bila kuacha mtoto, ndugu wa kiume wa
marehemu hutakiwa kwenda kumuoa mjane aliye achwa na kaka yake, na watoto watakao zaliwa watabeba jina la marehemu kaka yake..., aina hii ya ndoa hujulikana kama LEVIRATE MARRIAGE ).

Biblia inasema, Onan hakutaka kumpa mimba mjane wa kaka yake ilihali akijua watoto watakao zaliwa hawatakuwa warithi wake, hivyo basi kila mara alipokutana kimwili na mjane wa kaka yake, alimwaga mbegu zake pembeni.

Biblia inasema katika kitabu kile cha Mwanzo 38: 10

" Alichokifanya kilikuwa ni chukizo kubwa mbele za Mwenyezi Mungu hivyo Mwenyezi Mungu akampa adhabu ya kifo! "

Umeona! Kumbe basi adhabu ya kiroho ya tendo la masturbation ni "umauti!". Umauti huo unaweza usiwe kama uliompata Onan, ila unaweza kuja katika sura tofauti. Mfano kufa kwa nguvu za kiume, ni adhabu tosha sana kwa mwanaume yoyote yule duniani na inaweza kuwa kali kuliko hata ile aliyopewa Onan.

DAWA YA ASILI NA YA UHAKIKA YA KUKUFANYA UACHE KUFANYA PUNYETO

Uzoefu unaonyesha, mtu anayepiga punyeto, hata kama ameathiriwa na tatizo la punyeto kwa kiwango gani, endapo atafanikiwa kutopiga punyeto kwa muda wa siku arobaini mfululizo, mtu huyo hatopiga tena punyeto katika siku zote za maisha yake kwani tayari mtu huyo atakuwa amerudia katika hali yake ya kutokuwa addicted tena na upigaji punyeto, na atalichukia kabisa hata jina la tendo hilo, achilia mbali tendo lenyewe.

UFANYE NINI ILI USIPIGE PUNYETO KWA MUDA WA SIKU AROBAINI MFULULIZO?

Sio rahisi kwa mtu aliyekuwa addicted na punyeto kustahimili kujizuia kupiga punyeto kwa muda wa siku arobaini mfululizo. Anaweza kujizuia kupiga punyeto kwa siku mbili lakini baada ya hapo ataendelea tena na mchezo wako.

ATUMIE DAWA IPI?

PILIPILI

Pilipili inayo hitajika hapa ni yoyote ile ili mradi iwe kali sana, ( Ila inayopendekezwa ni pilipili mbuzi ama pilipili kichaa, pilipili hoho haihusiki hapa ).

MATUMIZI
Kwanza kabla ya kujua matumizi ni vyema ukatambua muda ambao huwa unapiga punyeto ( Mara nyingi huwa ni asubuhi baada ya kuamka, wakati wa kuoga ama usiku kabla ya kulala ).

Chukua pilipili zako, zipasulie kwenye viganja vya vidole vyako na kujipakaza katika viganja vya vidole vyako. Unaweza kutumia pili moja kwa kila kiganja, na kwa kila muda ambao huwa unapiga punyeto lakini unaruhusiwa kujipakaza zaidi ya pilipili moja.

Ukishajipaka pilipili kwenye viganja vya vidole vyako, moja kwa moja unakuwa umekwisha jilazimisha kutokufanya punyeto, kwa sababu ukipiga punyeto kwa viganja ambavyo vina pilipili utawashwa sana wala hautaweza kufurahia tendo hilo.

JAMBO LA KUZINGATIA : Hakikisha unakuwa na walau pilipili mbili mpaka nne kila unapokuwa katika maeneo ambayo yanaweza kukuchochea kufanya punyeto.

UFANISI WA DAWA HII : Dawa hii inawafaa wale tu ambao wamedhamiria kutoka mioyoni mwao kuacha kufanya punyeto. Kwa wale ambao hawajadhamiria haitaweza kuwasaidia.

Epuka kukaa mazingira ya upweke, soma vitabu fanya mazoezi. Jiulize ukipiga unapata faida gani? Acha kuangalia picha za ngono, unajiharibu ndugu, haina faida, jenga pia hofu ya Mungu..

Hilo ni pepo kali sana linakuandama..

Unatumia sabuni? Wanasema zinasababisha cancer kwani unapojichua povu linaingia ndani kwenye mirija. Kama hii ni kweli au sio kweli chukua challenge hii ikupe hofu, unapowaza kupiga nyeto utaogopa utaacha.

When to say when How much is too much masturbation (and sex for that matter)? That depends but it's suggested men keep their ejaculation frequency down to 2-3 times a week.

However, sexual activity can be experienced more often if men learn how to orgasm without ejaculation. Doing so can actually store bioenergy into your system and make your penis firmer, your erections last longer, and your ejaculate volume bigger.

Over masturbation participants experience problems with concentration and memory. This is a dangerous side effect of over masturbation and signals that the brain is being over drained of acetycholine. Overmasturbation drains motor neurons and neuro-muscular endings of acetycholine, which is eventually replaced.

Overmasturbation can lead to absentmindedness, memory loss, lack of concentration, and eye floaters. To fight these symptoms, the chemical levels in your body needs to be balanced.
 
Hii balaaaa blueee,mwambie aachane na vitu ambavyo hajazoea...aendelee na alivyozoea kuliko kujiaibisha kwa wasichana.
 
Hii balaaaa blueee,mwambie aachane na vitu ambavyo hajazoea...aendelee na alivyozoea kuliko kujiaibisha kwa wasichana.

mzeee sasa itatakiwa awe na family yake one day,!!!
hii nyeto ni ujana 2 unampeleka
 
huyo sasa naona kaishakuwa Nyetophilic (nyeto loving specie) na hii itampelekea kuwa na ugonjwa unaoitwa girls-ophobia (girls fearing disease).
 
Tatizo la wana JF hum wengi ni wababaishaji halafu wanataka kuchangia kila kitu hata kama hawakiele!!mwenzenu kaomba ushauri nyie mnatoa majungu! Kama hauna la kushauri si ucul 2!!....by the way inaonekana jamaa kafika hatua mbaya ila yawezekana pia hofu ilichangia kwa cku hiyo hasa kama hapendi tendo hilo la nyeto! Chakufanya ni kuonana na watalaam(aende hospital) huko watampa dawa na ushauri vitakavyo mfanya ajiskie huru na kuona anaweza!! Ni hayo tu mkuu!!
 
hayo ndio madhara ya nyeto nenda kwa dr ndodi akupe dawa zakuimarisha misuli na ngoma itarudi kama awali na utachelewa kukojo...
 
Hebu sahihisha kauli zako kwanza, inaonekana ni story ya kutunga! ina maana huyo bwana alianza kupiga nyeto akiwa just five years!!!???
 
Back
Top Bottom