Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sure! kijana aongeze maombi.Mrudie Muumba wako! Miaka 19 bado mdogo sana wewe epuka pepo la ngono
si tiyari una gf?sasa hayo madudu ya nini?yana madhara hata km sio sasa!
Kujichua ndugu wana JF hakuna madhara ya moja kwa moja.madhara yepi
Hakuna madhara kijana, kitu normal na natural hicho, endelea tu, ili mradi usijiumize na kujifungia chumbani siku nzima. Masturbation is sex with someone you love!!
Habari yako! Swala hilo limezungumziwa sana. Na hauko peke yako, nakuhakikishia kwamba wapo wengi tu wanao kumbwa na jambo kama hilo.
Ni imani yangu kwamba huwezi kuacha punyeto bila kuwa na mbadala wake(hii ndio imani yangu) niki ongea kutokana na uzoefu WANGU MWENYEWE! kwani miaka flani ya balehe huko nyuma niliwahi kujihusisha na hiyo kitu. Na nilitamani kuacha kama ww unavyo tamani sasa. Lakini iliniwia vigumu. Ndipo kwa nia ya dhati nikajichimbia kwenye mitandao mbalimbali kwa lengo la kujua yapi madhara ya punyeto.
Kusema ukweli nilipata hofu ambayo ingenikuta hasa baada ya kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi. Moja ya madhara niliyo yaona ni kuwahi kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa. Na ilifikia hatua ngono ikawa kama adhabu kwangu coz kila nilipokuwa nikikutana na msichana lilikuwa GOLI MOJA TENA NDANI YA DAKIKA MOJA. Kuendelea sikuweza tena. Swala hilo lili niumiza. Ndipo nikakutana na Dr mmoja anaitwa Dr Nelson Paul alikuwa anafanya kipindi kwenye radio moja jijini Mwanza kinacho itwa Usiku wa mahaba(kwa sasa sina habari zake) alinijenga kisaikolojia.
Usipende kuangalia picha za x kama ni moja ya vitu unavyo penda
Jaribu kuepuka mazingira yanayo kushawishi kufanya hivyo
Uwe mtu wa mazoezi ji keep busy na vitu anuai
Wazo lako la kusubiri mpaka uwe na mke ni zuri(lakini ninge recomend utafute msichana japo ujue perfomance yako ikoje mpaka sasa) naamini unaweza kupata mwafaka. Mimi nilipo shindwa kumfikisha binti wa watu kileleni ndipo nilipata hasira na chuki dhidi ya punyeto. Na ilinisaidia kuacha. Kwa sababu sikupenda kupata aibu tena au kuja kumuumiza mke wangu. THE CHOICE IS YOURS. Asante kwa kuchukua muda wako kusoma andiko langu.
TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD][/TD]![]()
[/TR]
[TR]
[TD]PILIPILI[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Punyeto ( kwa wanaume ) ni kitendo cha mwanaume, kujifikisha mwenyewe kileleni kwa kujichua uume hadi kumwaga mbegu za kiume.
Uchunguzi unaonyesha katika watu wa jinsia ya kiume kumi wenye umri wa kuanzia miaka 16 hadi 45, angalau wanne kati yao wamewahi kupiga punyeto katika kipindi fulani cha maisha yao, na wawili kati yao wanajihusisha na upigaji punyeto.
Uzoefu unaonyesha, asilimia kubwa ya wanaume wanao piga punyeto huanza katika umri wa kubalehe ( miaka 14-16 ), wengine huachana na tabia hiyo mara baada ya kupata wapenzi wa kike ama kuoa na wengine huendelea na tabia hiyo hata baada ya kuoa .
Zipo sababu mbalimbali zinazo wapelekea wanaume kupiga punyeto, ila kubwa kati ya hizo ni pamoja na kutokuwa na wapenzi, kutokuwa na wapenzi wanao kidhi vigezo vyao, kuwa katika mazingira yasiyokuwa na wanawake ( mfano katika shule za sekondari za bweni za wavulana tu ), kujiepusha na hatari ya kupata maambukizi ya v.v.u na kadhalika.
ATHARI ZA PUNYETO KWA WAVULANA
Punyeto ina athari nyingi na kubwa sana kwa wanaume wanaojihusisha nayo, lakini kwa leo, tutaangalia athari moja kubwa kati ya nyingi. Athari hii si nyingine bali ni:
KUUA NGUVU ZA KIUME
Mwanaume anayepiga punyeto hutumia nguvu nyingi kuibana mishipa inayofanya uume usimame. Mwisho wa siku uume hulegea na kusinyaa, na kukosa nguvu kabisa na hatimaye mhusika kuwa khanithi. Uchunguzi unaoonyesha, kuna idadi kubwa sana ya wanaume wanaosumbuliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kama matokeo ya kupiga punyeto kwa muda mrefu.
Athari za mwanaume kutokuwa na nguvu za kiume, nadhani zinajulikana, ila kwa faida ya wote tutazizungumzia kwa kina siku za mbele, lakini kwa ufupi ni aibu kubwa sana kwa mwanaume kukubali kuua ufanisi wa uume wake kwa sababu ya kupiga punyeto.
MUNGU HAPENDI PUNYETO : ( MIONGONI MWA WANANZUONI WA MASOMO YA BIBLIA DHAMBI YA KUPIGA PUNYETO HUJULIKANA KAMA ONANISM )
Kwa mujibu wa maandiko matakatifu, upigaji punyeto ni moja kati ya matendo yanayomuudhi Mwenyezi Mungu, kwa sababu yanapigana na utaratibu aliouweka.
Kwenye kitabu cha MWANZO 38:9, Onan mwana wa Yuda aliagizwa na baba yake ( Yuda ) kwenda kumjua mke wa kaka yake ( Onan ) ili aweze kumzalia watoto. ( Kwa mujibu wa mila na desturi za kiyahudi wakati huo, kaka anapofariki bila kuacha mtoto, ndugu wa kiume wa
marehemu hutakiwa kwenda kumuoa mjane aliye achwa na kaka yake, na watoto watakao zaliwa watabeba jina la marehemu kaka yake..., aina hii ya ndoa hujulikana kama LEVIRATE MARRIAGE ).
Biblia inasema, Onan hakutaka kumpa mimba mjane wa kaka yake ilihali akijua watoto watakao zaliwa hawatakuwa warithi wake, hivyo basi kila mara alipokutana kimwili na mjane wa kaka yake, alimwaga mbegu zake pembeni.
Biblia inasema katika kitabu kile cha Mwanzo 38: 10
" Alichokifanya kilikuwa ni chukizo kubwa mbele za Mwenyezi Mungu hivyo Mwenyezi Mungu akampa adhabu ya kifo! "
Umeona! Kumbe basi adhabu ya kiroho ya tendo la masturbation ni "umauti!". Umauti huo unaweza usiwe kama uliompata Onan, ila unaweza kuja katika sura tofauti. Mfano kufa kwa nguvu za kiume, ni adhabu tosha sana kwa mwanaume yoyote yule duniani na inaweza kuwa kali kuliko hata ile aliyopewa Onan.
DAWA YA ASILI NA YA UHAKIKA YA KUKUFANYA UACHE KUFANYA PUNYETO
Uzoefu unaonyesha, mtu anayepiga punyeto, hata kama ameathiriwa na tatizo la punyeto kwa kiwango gani, endapo atafanikiwa kutopiga punyeto kwa muda wa siku arobaini mfululizo, mtu huyo hatopiga tena punyeto katika siku zote za maisha yake kwani tayari mtu huyo atakuwa amerudia katika hali yake ya kutokuwa addicted tena na upigaji punyeto, na atalichukia kabisa hata jina la tendo hilo, achilia mbali tendo lenyewe.
UFANYE NINI ILI USIPIGE PUNYETO KWA MUDA WA SIKU AROBAINI MFULULIZO?
Sio rahisi kwa mtu aliyekuwa addicted na punyeto kustahimili kujizuia kupiga punyeto kwa muda wa siku arobaini mfululizo. Anaweza kujizuia kupiga punyeto kwa siku mbili lakini baada ya hapo ataendelea tena na mchezo wako.
ATUMIE DAWA IPI?
PILIPILI
Pilipili inayo hitajika hapa ni yoyote ile ili mradi iwe kali sana, ( Ila inayopendekezwa ni pilipili mbuzi ama pilipili kichaa, pilipili hoho haihusiki hapa ).
MATUMIZI
Kwanza kabla ya kujua matumizi ni vyema ukatambua muda ambao huwa unapiga punyeto ( Mara nyingi huwa ni asubuhi baada ya kuamka, wakati wa kuoga ama usiku kabla ya kulala ).
Chukua pilipili zako, zipasulie kwenye viganja vya vidole vyako na kujipakaza katika viganja vya vidole vyako. Unaweza kutumia pili moja kwa kila kiganja, na kwa kila muda ambao huwa unapiga punyeto lakini unaruhusiwa kujipakaza zaidi ya pilipili moja.
Ukishajipaka pilipili kwenye viganja vya vidole vyako, moja kwa moja unakuwa umekwisha jilazimisha kutokufanya punyeto, kwa sababu ukipiga punyeto kwa viganja ambavyo vina pilipili utawashwa sana wala hautaweza kufurahia tendo hilo.
JAMBO LA KUZINGATIA : Hakikisha unakuwa na walau pilipili mbili mpaka nne kila unapokuwa katika maeneo ambayo yanaweza kukuchochea kufanya punyeto.
UFANISI WA DAWA HII : Dawa hii inawafaa wale tu ambao wamedhamiria kutoka mioyoni mwao kuacha kufanya punyeto. Kwa wale ambao hawajadhamiria haitaweza kuwasaidia.
Epuka kukaa mazingira ya upweke, soma vitabu fanya mazoezi. Jiulize ukipiga unapata faida gani? Acha kuangalia picha za ngono, unajiharibu ndugu, haina faida, jenga pia hofu ya Mungu..
Hilo ni pepo kali sana linakuandama..
Unatumia sabuni? Wanasema zinasababisha cancer kwani unapojichua povu linaingia ndani kwenye mirija. Kama hii ni kweli au sio kweli chukua challenge hii ikupe hofu, unapowaza kupiga nyeto utaogopa utaacha.
When to say when How much is too much masturbation (and sex for that matter)? That depends but it's suggested men keep their ejaculation frequency down to 2-3 times a week.
However, sexual activity can be experienced more often if men learn how to orgasm without ejaculation. Doing so can actually store bioenergy into your system and make your penis firmer, your erections last longer, and your ejaculate volume bigger.
Over masturbation participants experience problems with concentration and memory. This is a dangerous side effect of over masturbation and signals that the brain is being over drained of acetycholine. Overmasturbation drains motor neurons and neuro-muscular endings of acetycholine, which is eventually replaced.
Overmasturbation can lead to absentmindedness, memory loss, lack of concentration, and eye floaters. To fight these symptoms, the chemical levels in your body needs to be balanced.
Hii balaaaa blueee,mwambie aachane na vitu ambavyo hajazoea...aendelee na alivyozoea kuliko kujiaibisha kwa wasichana.
huyo sasa naona kaishakuwa Nyetophilic (nyeto loving specie) na hii itampelekea kuwa na ugonjwa unaoitwa girls-ophobia (girls fearing disease).