Punyeto ni nini na nini madhara yake?
WOTE MLIOKUJA KWENYE HUU UZI WAPIGA PUNYETO


mkuu usiwaze sana acha soda na chipsi mayai utakuwa kama hawa wanajazana kwenye vibanda vya supu ya pweza

fanya haya
kula vyakula vya kuongeza nguvu za kiume kama Tangawizi,kitunguu swaumu,karanga,tikiti maji,ndizi mbivu,mayai(kienyeji)
mdalasini na asali
na kuzitoa sumu zote kuuweka mwili sawa kunywa Juisi ya ukwaju


na ukiziwa sana fanya hiki chukua tende na uchanganye na maziwa na vikoroge kwa pamoja kunywa saa mbili kabla ya kwenda kula mzigo


mazoezi ya kergel kutunisha uume na kusinyaaa husaidia pia lakini haya yafanye baada ya kuboresha ulaji wako juu ACHA KABISA
SODA NA VINYWAJI VINGINE VYOTE KASORO MAJI NA JUISI ZA MATUNDA
 
Mume wangu alikuwa na tatizo kama hilo, alinioa halafu akawa hawezi, yaani dushe kubwa halafu kama tu.


Ilibidi nimhoji kwa kina, akanambia alianza punye akiwa at 15yrs mpaka ananioa alikuwa at 30, nilimfariji sana nikaamua kumsaidia.


Kwanza jiamini kwamba wewe ni mwanaume mwenye uwezo wa kupiga show.

Ondoa mashaka kuwa mwenza wako anakudharau au atakuacha.


Anza mazoezi, piga mazoezi hasa yale ya kutoa jasho jingi sana mfano kukimbia umbali wa km moja.


Kula mboga za majani, epuka utumiaji wa nyama, kula dona, mbogamboga hasa matembele nk.


Vaa pensi bila chupi, au boxer zinazobana, make sure that hubani sehemu zako za siri, yaani kuvaa suruali na boxer zako zibazobana sana.

Endelea kupiga mazoezi kila jioni, huku ukijozua kupiga punye kwa miezi sita mfululizo.


Wakati wa kufanya mambo yenu na mkeo chakwanza vaa ndomu, maliza fasta then tulia kwa muda kidogo huku mkipiga story ikiamka piga mambo.


Baada ya miezi mitatu utakuwa poa uje hapa ulete mrejesho.

Kumbuka lazima uwe mwanandoa sio ukafanyie umalaya, ukimwi upo, unaua

mke jasiri wewe ndo uzuri wa kuoa mke aliyeanza kwich kwich mapema maana kwa huo ujasiri hakukuta na Bk ila upo vizuri mpo wachache ndio maana kimbilio letu wanaume ni BIKRA TU ukioa aliyeanzishwa kukuvumilia kwa lolote ngumu bila hivyo ushindane kwenye vibanda vya supu ya pweza au Mundende ,vumbi la congo KUJIUMIZA KUSIKO NA MAANA

HONGERA ZAKO
 
Itachukua miaka mingi sana mpaka nije kuamini punyeto ina madhara.
Nimepiga puli kwa muda wa miaka 13,nimekuja kuacha baada ya kuoa na sijapata tatzo lolote mpaka hivi sasa.
Wewe itakuwa una matatizo yako ya kiafya wala usisingizie punyeto
Bro umetisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mi naona hii punyeto ni janga la kitaifa na wengi wanaanza sanasana shule za boys tupu hub mchezo ndo kwao mpaka kunakipindi wanashindana kupiga punyeto kumbe ndo wanajimaliza bila kujua.pole sana pussy ilivotamu iko uchi kabisa miguu kakuwekea 360 degree halafu dushe haisimami inauma kinyama
 
Kwa niaba ya chaputa wote kijana aliyepost Uzi huu tunampokonya kadi ya uanachama. Sisi chaputa tunasema, umetudhalilisha.. Hivyo ni lazima tukuchukulie hatua za kisheria.
Kifungu namba 77b cha mwaka 2006 kipengele cha nne kinasema yoyote atakayekidhalilisha chama na kuyaanika mapungufu yake hadharani atafutwa uanachama. Mwisho wa kunukuu
 
Pole sana mkuu nlikuepo huko kwa kitambo kirefu kidogo kuanzia mwaka 2003 mpka 2014… sina uhakika kama nmeacha kweli au nmepumzka tu maana kuacha hyo kitu ni ngumu askwambie mtu...lkn nna mwaka wa pili sasa na zaid sijapiga nyeto nkupe njia nlizotumia mm...
1. Epuka kukaa peke yako na kukaa bila kaz yaan upoupo tu huna cha kufanya ndio hapohapo mawazo ya kupga puchu ndipo yatakapokujia kumbuka an empty mind is the devils workshop.

2. Acha kabisa kuangalia pornography zile image zinapostick kwny mind kila mda unakumbshia kujichua.

3. Acha kujishikashika nyeti.
Ukishaacha kkupga nyeto kama sku5 mfululzo utaanza kupiz kitandan usk usjali fanya kifuatacho hatua ya4.
4. Anza kupiga zoez hasa squats na kegeli ili kutumia nishat ya ziada ya mwili wako inayokufanya usisimke kila mara endelea hvyo mpka hzo wet dreams zitakapoisha then utaanza kuregain ur erection unaweza kugoogle ili kujua namna ya kufanya haya mazoez hata hom kwako.
5. Kula vyakula vnavyoongeza libido kama mihogo mibich nazi karanga mbich na maziwa fresh. Sio lazma upate vyote hata ukipata kimoja au viwili kat ya hvyo vyakula nakushaur maziwa ya moto na karanga. Kwa kipind hik zidisha mazoez hasa squats but avoid heavy load lifting tumia uzito mdogo lkn fanya repeatition nyng kadri uwezavyo.

5. Fanya mapenzi mara nying kadri uwezavyo practice makes perfect at the end uje utupe mrejesho.
Onyo: usijaribu kutumia dawa yoyte ya kuongeza maumbile au nguvu za kiume iwe ya kienyej au ya kizungu usitumie kabisa
Fafanua Kuhusu ONYO yako uloitoa.pliiiiiziiii
 
Unajiendekeza tu kwani umeoa?na kama huna make sio lazima u do.kaa kama mwaka mzima na usifanye chochote ila ukazane kula matunda ili kiungo chako kirudi katika Hali yake ,achana na tamaa yamapenzi
 
Habari wana JF,

Nimeona niandike tu hata sasa maana nimeshindwa kabisa kulala, nina miaka 26 now. Niliwahi kuwa mpiga punyeto mashuhuri hadi juzi kati tu nilipoamua kuacha lakini toka nimeacha na kuhamia kwa viumbe aliotuandalia Mungu hali sio shwari, uume wangu husimama legelege na nikitaka kuanza mchezo uume huzima kabisa.

Nashindwa kujua nifanye nini maana nimemaliza visingizio vyote kwa wasichana niliowahi kuwa nao.

Naombeni masaada wenu.
Umepiga kwa miaka mingapi?
 
Habari wana JF,

Nimeona niandike tu hata sasa maana nimeshindwa kabisa kulala, nina miaka 26 now. Niliwahi kuwa mpiga punyeto mashuhuri hadi juzi kati tu nilipoamua kuacha lakini toka nimeacha na kuhamia kwa viumbe aliotuandalia Mungu hali sio shwari, uume wangu husimama legelege na nikitaka kuanza mchezo uume huzima kabisa.

Nashindwa kujua nifanye nini maana nimemaliza visingizio vyote kwa wasichana niliowahi kuwa nao.

Naombeni masaada wenu.
Hiyo sio sababu ya punyeto.
Ulizoea kuangalia porn. Kwa kukusaidia mjulishe tu mwenzako kabla ya kuanza shughuli muangalie porn kidogo ili ipate kukubust
 
Unajiendekeza tu kwani umeoa?na kama huna make sio lazima u do.kaa kama mwaka mzima na usifanye chochote ila ukazane kula matunda ili kiungo chako kirudi katika Hali yake ,achana na tamaa yamapenzi
Nna mchumba na natarajia kumuoa
 
Fafanua Kuhusu ONYO yako uloitoa.pliiiiiziiii
Most ya hzo dawa zina act direct kwnye erection au/na ejaculation mechanism kitu ambacho sio kizuri sana coz by time kuna vitu viwili vitadevelop ktk hzo mechanism with respect kwa presence ya hzo dawa (1) substance dependent: mwili kushindwa kufanya kaz wenyew inabsence ya hzo dawa na (2) tolerance ambapo mwili kushindwa kurespond ktk kias kilekile cha dawa ambacho mtu amezoea kutumia hvyo kuahitaji kuongeza doz. Ukishaathirika na hiz mechanism ya hiz dawa my friend u r done coz haya madhara ni irreversible na ndio maana tunashauriwa kula vyakula vinavyoongeza libido kwa sababu vyenyew haviact direct kwny mechanism ya erection bali vinasisimua uzalishwaji wa vichocheo au homone ambazo ndizo zinazofanya kaz ya kurekebsha hzo kasoro naturally bila kutegemea exogeneous agents

Kama ulishaanza kutumia acha mara moja hata hizo wanazoita za asili wamechanganya na viagra wakasagia humo humo sijui wanaita mkuyati na mazingaombwe mengine yooote ni wizi mtupu watu wameshajua weakness za vijana wa siku hz na wanatumia hyo kama fursa ya kumake money beware usiwe miongon mwa wanaodanganyika
 
Usilazimishe machine yako kusimama kwani kufanya hivyo lazma inshu ifeli maana mwl unakuwa hauko tayari kwa wakati huo acha mashine isimame yenyewe hapo utafanya kaz mpaka utachoka mwenyewe
 
Back
Top Bottom