WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Mbona sasa anaishambulia Ukraine kwa makombora badala ya kuzishambulia nchi zote anazopigana nazo?Kwahiyo kwa akili yako unaona Putin anapigana na Nchi moja??? Kwa kifupi Putin anapambana na Nchi zote za Ulaya ndio maana imekuwa hivyo, ingekuwa Ukraine pekee sitaki kusema angetumia muda gani.
Akili ni nywele...
Naona bado mnaendelea kumpotosha jasusi😂😂Kwahiyo kwa akili yako unaona Putin anapigana na Nchi moja??? Kwa kifupi Putin anapambana na Nchi zote za Ulaya ndio maana imekuwa hivyo, ingekuwa Ukraine pekee sitaki kusema angetumia muda gani.
Akili ni nywele...
Putin.Tapeli yupi mkuu
Supapawa yupo hoi, vita sio mchezoAkina Ritz Webabu ChoiceVariable FaizaFoxy walikuwa wanampotosha sana Putin. Akajikuta yeye ni Mwaaaaaaamba. Akasema ana operation ya siku chache kumwondoa Rais wa Ukraine.
Mwaka wa pili sasa.... Nashindwa kuelewa. Putin ni Jasusi mbobevu alidanganywa vipi? Alichemka wapi? Anyway kuanza upya si Ujinga. Akae wayamalize na Ukraine. Vita si lelemama. Watu walitaka kupima nguvu yake. Ameji expose sana. Bora angebaki vile vile ambavyo tulikuwa tunamwogopea. Akina Yericko Nyerere siku hizi wamekata na tamaa kabisa. Nyie msidhani hata mataifa makubwa yanataka vita. Mwenye kujielewa anaepusha mapema.
View attachment 3087753
Nyie ndo mlipotosha kuwa yeye ni mwamba anaweza kupigana na dunia nzima naye akavimba kichwa😂😂, hakuna cha ulaya nzima, hapo anapigana na ukraine tu, zaidi ya hapo ukraine anasaidiwa na washirika wake, Russia naye anasaidiwa na washirika wake.Kwahiyo kwa akili yako unaona Putin anapigana na Nchi moja??? Kwa kifupi Putin anapambana na Nchi zote za Ulaya ndio maana imekuwa hivyo, ingekuwa Ukraine pekee sitaki kusema angetumia muda gani.
Akili ni nywele...
Wanaomjua Putin ni hawa siyo wewe! Hii ni leo!Putin ni Jasusi mbobevu alidanganywa vipi?
Kwani putin hana marafiki hakuna nchi inayo Ingia vitani peke yake. Kisingizio cha kusema ukirain inasaidiwa ni kisingizio cha wajinga. Maana yake alipaswa kujuwa kuwa akivamia nchi lazima kunanchi marafiki wataisaidia nchi iliyovamiwa. Hata tanzania ilipo vamia uganda kunanchi zilisaidia idamini. Na kunanchi zilisaidia nyerere..Kwahiyo kwa akili yako unaona Putin anapigana na Nchi moja??? Kwa kifupi Putin anapambana na Nchi zote za Ulaya ndio maana imekuwa hivyo, ingekuwa Ukraine pekee sitaki kusema angetumia muda gani.
Akili ni nywele...
Akina Ritz Webabu ChoiceVariable FaizaFoxy walikuwa wanampotosha sana Putin. Akajikuta yeye ni Mwaaaaaaamba. Akasema ana operation ya siku chache kumwondoa Rais wa Ukraine.
Mwaka wa pili sasa.... Nashindwa kuelewa. Putin ni Jasusi mbobevu alidanganywa vipi? Alichemka wapi? Anyway kuanza upya si Ujinga. Akae wayamalize na Ukraine. Vita si lelemama. Watu walitaka kupima nguvu yake. Ameji expose sana. Bora angebaki vile vile ambavyo tulikuwa tunamwogopea. Akina Yericko Nyerere siku hizi wamekata na tamaa kabisa. Nyie msidhani hata mataifa makubwa yanataka vita. Mwenye kujielewa anaepusha mapema.
View attachment 3087753
Mpango wa suluhu ulikuwepo muda, ndiyo ukraine wakaona wachukue eneo liwe turufu ya suluhuNikuulize wewe... kwa nini ametoka nje ya makamera kutaka suluhu!
Kwa akili ya mtu mwenye akili, hicho ni kiashiria cha nini?
Hata iwe kuepusha gharama zaidi nako ni kushindwatu
Ndio ujue hana akili. Yaani mtu mzima hajui kama kuna watu hawampendi kabisa. Tena akome.Kwahiyo kwa akili yako unaona Putin anapigana na Nchi moja??? Kwa kifupi Putin anapambana na Nchi zote za Ulaya ndio maana imekuwa hivyo, ingekuwa Ukraine pekee sitaki kusema angetumia muda gani.
Akili ni nywele...
Ww jamaa kilaza kweli yaani Ukraine imeteka km za mraba 1000 ambazo ni sawa na ukumbwa wa kata 2 hapa tz ndo uje kuzitumia kama turufu ya kukomboa mikoa minne?Ukraine waliona hilo, ndio maana wakachukua sehemu ya Urusi ya Kursk, ili kama watajadiliana, Warusi wakisema wanashikilia maeneo waliyoteka, na Ukraine watasema hivyo hivyo - mwaga mboga nimwage ugali, la sivyo wote turudishe mboga na ugali mezani tule!
Halafu wewe!Unafikiri Ukraine au Putin ndiyo wamechelewesha vita?
Kumbe hata kinachoendelea hukielewi.
Hilo tangazo la Putin ni bonge la strategy ya kisaikolojia.
Yaani eneo ambalo ukumbwa wake haufiki hata kata mbili ndo uje kulitumia kama turufu ya kukomboa mikoa minne? Kweli Zere hana akili.Mpango wa suluhu ulikuwepo muda, ndiyo ukraine wakaona wachukue eneo liwe turufu ya suluhu
Umesahau kipigo alicho kula huko Vietnam akakimbia na chupi mkononi?Marekani hajawahi kushindwa halafu huwa hajigambi kama Mrusi
Supapawa yupo hoi, vita sio mchezo
Sasa anapigana na nchi ngapi mbona hii kauli ya kiduanzi ya kumpaisha Putin imezidi yaani putin aivamie ukraine halafu mnamsifia eti putin anapigana nchi zote anapiganajeKwahiyo kwa akili yako unaona Putin anapigana na Nchi moja??? Kwa kifupi Putin anapambana na Nchi zote za Ulaya ndio maana imekuwa hivyo, ingekuwa Ukraine pekee sitaki kusema angetumia muda gani.
Akili ni nywele...
We huoni anapigana ukraine NATO wanakaa vikao vyanini?Sasa anapigana na nchi ngapi mbona hii kauli ya kiduanzi ya kumpaisha Putin imezidi yaani putin aivamie ukraine halafu mnamsifia eti putin anapigana nchi zote anapiganaje