Quran hii iliyoandikwa imetoka wapi wakati Muhammad hakujua kusoma wala kuandika?

Status
Not open for further replies.
Nani alivikusanya hivo vitabu 66 na kuvifanya kuwa kitu kimoja?

Ukileta majibu hapa basi tutapata uhalali wa kujudge ukusanywaji wa Aya za Quran ambazo zilikuwa kichwani Kwa maswahaba na kuwa kitabu kimoja
Mkuu,

Sijui?, umtaje wewe kama mimi ninavyokutajia kwa uhakika walioandika Quran.

Soma Biblical Canonization, halafu utakuja na jina la mtu mmoja au wawili kama utapata!

Ila mimi nimepata majina ya watu watatu waliohusika kutuandikia Quran, tunaanza na Abu Bakr, tunafuata Uthman, wote wawili waliandikiwa nakala na mtu mmoja(Zayd Ibn Thabit), na halafu maswahaba ambayo Muhamadi aliwaacha kama reference, waliikataa hiyo qurani ya Zayd, lakini ndiyo inayotumika Hadi leo.

Namkumbuka pia mtu mmoja aliyekuwa anamsaidia muhamadi kuandika qurani, Abdullah bin Sarh, unajua kwa nini Muhamadi alitaka kumuua huyo mwandishi?
 
Ndo maana nikakwambia mwamedi aliokoteleza stori kwenye vitabu tofauti vya musa akaviita taurat.
Kuna Genesisi,Exodus,deuteronomy,numbers na leviticus mkuu.kati ya hivyo kwa mujibu wa dini yako ipi ni taurat.
unafahamu kitu inaitwa Pentateuch mkuu?Ndo hii mnaita taurat?
Kuhusu Injili kuwa kitabu hata Yesu ameondoka duniani bila kuacha kitabu kinaitwa injili.tafadhali soma Luka 4:18 au isaya 61:1-4 ndo utajua maana ya injili.
 
Alikuwa anasimamia vipi biashara za Khadija kama hakuwa anajua kusoma??
 
Huu uzi ulitakiwa uishie Kwenye hii comment.
 
Umeulizwa swali dogo tu,unaanza kurukaruka Kama bisi....umeulizwa ilikuwepo wakati wa yesu,si Toa jibu Moja tu...ilikuwepo Au haikuwepo?
 
Quran iliandikwa na Wakatoliki kuwazuga watawala wa Dola ya Kirumi, period
 
Hapa unajitekenya mwenyewe alafu unacheka. Umrandika b
Siasa tupu. Lete kifungu kutoka kwenye quran kuwa Muhammad anajua kusoma na kuandika basi na sio hizi ngonjera.
 
Maneno ya Yesu ndo injili ambayo Kwenye biblia yapo chini ya asilimia 20 Kwenye biblia nzima tena hayo Maneno yameandikwa nawatu baada ya yeye kufa hapo baadae sana, yalibaki Kwa asilimia 80 ni masimulizi ya watu wengine
embu tuambie au tuorodheshee hapa maneno ambayo unaamini ni hakika yametoka kinywani kwake 100% si ya waandishi kama hayo 80% iliyobaki.
 
K

Mbulula mama yako hakukufundisha kushukuru mlikuwa mmezoe kujichambia maji namabunzi ya mahindi hata pembe za ukuta leo mjua kichambia maji sasa mnamtusi mjumbe wangu aliowaleteq ustaarabu huu wasasa
kwamba kabla mjumbe wako hajakufunza kuchamba ulikuwa hujui unasafishaje matacco???
 
Quran lazima isomwe Kwa kiarabu.
Kuswali tunaswali Kwa kiarabu.
huu nao ni utumwa.
" watu kujifunza lugha nyingine mpya, ambayo LAZIMA aelewe kwanza hiyo lugha ndiyo ataelewa yanayofundishwa kwenye hiyo dini. "
lazima kabisa,ndio maana mpaka leo kuna waislam wanadhani mtume alikuwa kiumbe bora na mfano wa kuigwa kweli,sababu lugha iliyiandika mambo yake hawaielewi.
Kwenye uislamu tu ndo linashida? Ila tukifundishwa physics Kwa kingereza ni sawa😂
ndio maana wewe ni shahidi mwnafunzi wa form one kabla hajaanza kuelewa lugha kwa mbaali huwa anabeba anachosoma kama kilovyo kujibia mitihani,sio kuelewa.
 
embu tuambie au tuorodheshee hapa maneno ambayo unaamini ni hakika yametoka kinywani kwake 100% si ya waandishi kama hayo 80% iliyobaki.
Tafuta red letter bibles acha kusumbua watu, Lakn pia yameandikwa na machawa wake kwahyo hatuna uhakika asilimia mia kuwa ni yake pia
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…