Quran inadai Mussa alitabiri kuwa Mtume ataandikwa kwenye Injili

Nyi watoto huwa empty sana kichwani,mnauliza vitu vya kijinga, yaani fikra zenu nyepesi nyepesi tu,na ndiyo mtakaoachiwa nchi miaka 20-30 ijayo,inasikitisha
Haya maneno ndo aya unabii ya MWENYEZI MUNGU akimpa unabii musaa na selueiman kutoka kwenye Quran
 
Sasa ndio umefunguka vizuri kumbe shida yako ni kwamba Ishmael Hana uhusiano wowote na waarabu wa Saudi Arabia ambako ndiko alikotoka Mtume Muhammad

Jibu haya maswali

1)Ishmael aliishi nchi gani Kwa Sasa?

2)Vizazi vya Ishmael viliishi nchi gani Kwa Sasa
 
Tumia akili hata kidogo basi ndugu yangu!
Misri ni nyumbani kwa waarabu,Tunisia ni nchi ya asili ya waarabu?, Algeria je?
Unajua rules za immigration na emigration?
Vizazi vya Ishmael kuishi uarabuni hakumpi Ishmael uarabu!Ni kama waarabu wa Misri, si waafrika.
Simulizi za kihistoria hazimuoneshi Ibrahim,Yakobo, Isaka na Ishmael kama waarabu!
Ishmael hajawahi kuwa mwarabu kama ambavyo Adam hajawahi kuwa muisilam!
Muislam wa kwanza Duniani ni Muhammad na nabii wa kwanza mwarabu ni Muhammad.
Muhammad haqualify kwenye prophetic lineage kwa sababu si Myahudi Wala wa ukoo wa Ibrahim.
Ibn Ishaq ndo alimtengenezea biography fake ili a fit kwenye prophetic lineage!
Msenegali anayeishi Tanzania ni Mtanzania?
Mzungu anayeishi Tanzania ni Mtanzania?
Iweje uforce mhebrania anayeishi Ur ambayo ni modern Iraq awe mwarabu?
 
🀣🀣🀣Eti wakataka kujua kama ni Elia karudi kwa mwili mwingine,ulikataa wewe yesu hakuulizwa Hilo swali,na ukajitia kujua sana,kenge
 
Zakariya alikuwa ni nabii pamoja na mtoto wake Yahya (mnamuita Yohana mbatizaji)

Mariam alikuwa ni mwanamke mwema na mchamungu hakuwa nabii. Bali mwanawe alikuwa ni mtume na nabii kwa wana wa israel
Zakaria alikuwa Kuhani full stop.
Nabii gani bubu?
 
Hapo maana yake kuna nabii wanamsubiri,wayahudi mpaka leo wanamsubiri
 
Hiyo injili kamili ya Issa iko wapi? Kama haipo iliharibiwa na nani?

Quran 47:57

inataka wayahudi na wakristo wahukumu kwa kutumia vitabu vyao ,na wasipofanya hivyo watakuwa ni wakosefu kabisa.

Quran 10:94 Mohamed anaambiwa kama ana mashaka kuhusu ufunuo wake (Quran) basi awaulize walioshushiwa ufunuo kabla yake (wakristo na wayahudi).

Quran 15:9 Allah atalinda ufunuo wake,kama torati na injili pia ilitoka kwa Allah basi haviwezi kuharibiwa.
 
NINA SWALI MUHAMMAD ALISEMA YEYE NI MUISLAMU WA KWANZA KUSILIMU JE NI WAKWANZA KIVIPI
 
Aliokua anawafikishia ujumbe walikua wamesilimu kabla yake?
Kwa hiyo muhammad alisilimu ? Unajua kuwa kusilimu ni kutoka kwenye ukafiri je muhamadi alikuwa kwenye ukafiri ksbla ya kusilimu ?
 
Kwa hiyo muhammad alisilimu ? Unajua kuwa kusilimu ni kutoka kwenye ukafiri je muhamadi alikuwa kwenye ukafiri ksbla ya kusilimu ?
Kusilimu(kujisalimisha kwa Mungu) si lazima uwe unatoka kwenye ukafiri
Unaweza usiwe muislam na usiwe kafiri,kafiri ni mtu anayekanusha/Pinga,yaani unahubiriwa imani ya Mungu mmoja asiye mshirika wewe unapinga
Hata kabla ya utume, Muhammad hakuabudu masanamu kama wenzie
 
Wewe bwege ninakuvuta tu bila ya wewe kutambua 😁😁 unajaa kama mweu ...muhammad alisema watoto uzaliwa hali ni waislamu sasa muhamadi alifanya nini hadi atakiwe asilimu ...
 
Wewe bwege ninskuvuta tu bila ya wewd kutambua 😁😁 unajaa kama mweu ...muhammad alisema watoto uzaliwa hali ni waislamu sasa muhamadi alifanya nini hadi atakiwe asilimu ...
Alisema wapi?unajua kauli za kinabii za Muhammad zinakopatikana?
 
Chai, lete ushahidi Muhammad hakuabudu miungu Uzi na manati ile miungu ya WaQuraish pale kaaba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…