Quran inawezaje kushindwa hesabu ndogo Kama hii?

Walau hakutunga kuwa Mungu ana korodani na maziwa,kama kile kitabu kinavyodai umbile la binadam ni umbile la Mungu (..na tumuumbe mtu kwa mfano wetu)..
Waislamu tujadili hili katika Qur'an na hadithi za mtume

Kwanini Qur'an 67:1 inasema Allah ana mkono; haisemi na mikono?

2: Bukhary na muslimu. Page 1970 hadithi 1809 kwanini inasema Allah ana mguu; isiseme ana miguu?

Je hauoni kusema Allah hafanani nikuto jua kwenu?

Tena kumbe Allah ana mkono mmoja na mguu mmoja kumbe ni kilema!!!!

Lakini hii siri mnaficha tu. Leo tuelezane ukweli

 
Sijaona wapi panasema lini makosa yaligundulika na lini marekebisho yalifanyika
 
Kama plate number 😃
 
Marekebisho haya hapa.
Aya iko hapo chini ya marekebisho
Google tu, Quran 4:11-12
Mtaalamu nimekwambia leta aya yenyewe, we una kazi ya kunionesha error, leta aya sasa ndio error tuipate..

Umesema watu ndio wamerwkwbisah.
Nimekwambia leta aya, tuone mapungufu yake na kisha ulete hayo masahihisho ya wanazuoni tuone kipi ni kipi
 
Wanamsaidia allah kuitetea quran?
Hicho ni kichaka kingine cha hii ngano ya kutunga kuihisu quran!
Kama wanazuoni walitambulika kuwa wasaidizi wa manabii iweje allah amtafute poyoyo mwamedi?
Wanazuoni wanajua kumzidi allah?
 
Wanamsaidia allah kuitetea quran?
Hicho ni kichaka kingine cha hii ngano ya kutunga kuihisu quran!
Kama wanazuoni walitambulika kuwa wasaidizi wa manabii iweje allah amtafute poyoyo mwamedi?
Wanazuoni wanajua kumzidi allah?
Unaonesha hautumii hikma wala busara katika matamshi yako naomba tuishie hapa 🙏🏽🙏🏽.
 
Mungu ana korodani!?..(na tumfanye mtu kwa umbo letu),ana govi au katahiriwa?..ngariba wake nani?.. alitumia ganzi au laa?.. alipiga yowe?..ana kinyeo?..ana six pack au kitambi?...swine!!
 
Endelea hadi 4:12 na 4:276
 
Endelea hadi 4:12 na 4:176
 
Mtaalamu nimekwambia leta aya yenyewe, we una kazi ya kunionesha error, leta aya sasa ndio error tuipate..

Umesema watu ndio wamerwkwbisah.
Nimekwambia leta aya, tuone mapungufu yake na kisha ulete hayo masahihisho ya wanazuoni tuone kipi ni kipi
Quran 4:11
Mwenyezi Mungu anakuusieni kuhusu watoto wenu: kwa mwanamume, ni sawa na fungu la wanawake wawili. Na ikiwa wapo watoto wa kike, wawili au zaidi, basi watapata thuluthi mbili ya mali ya mtu. Na ikiwa yuko mmoja tu basi ni nusu yake. Na wazazi wa mtu mmoja mmoja atapata thuluthi ya mali yake ikiwa ameacha watoto. Lakini ikiwa yeye ni mama yake mzazi, basi hana mtoto wa tatu. Akiwa ana ndugu, basi mama yake ni wa sita, baada ya wasia wowote aliousia, au deni la wazazi wenu au watoto wenu, hamjui ni yupi miongoni mwao aliye karibu zaidi nanyi kwa manufaa ya Mwenyezi Mungu.”

Quran 4:12
Mtarithi nusu ya waliyoacha wake zenu ikiwa hawana watoto. Lakini ikiwa wana watoto, basi fungu lako ni robo ya mali baada ya kutimiza wasia na deni. Na wake zenu watarithi robo ya mliyo yaacha ikiwa nyinyi hamzai. Lakini ikiwa nyinyi mna watoto, basi wake zenu watapata thuluthi ya mali yenu baada ya kutimiza wasia na deni. Na ikiwa mwanamume au mwanamke ameacha wazazi wala watoto, ila kaka au dada kutoka kwa mama yao, basi kila mmoja atarithi thuluthi moja, lakini ikiwa ni zaidi ya mmoja, basi wote watagawana thuluthi ya mali baada ya kutimiza wasia na deni bila ya madhara yoyote kwa warithi, hii ni amri ya Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi, Mpole.
 
Fuatilia kitu kinaitwa "AWL"
kwenye Dini yako

Mzee soma sana ,kama haujui basi ombe ufundishwe kuelewa ..Hiyo ni mada ya form 2 au 3 .Ni simple sana ..Soma Qur an uelewa hapo ukileta tafsiri tofauti utajichanganya.
a
 
Hiyo ni baada ya marekebisho ya wanazuoni
 

Attachments

  • inheritence.jpg
    181.2 KB · Views: 14
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…