Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
- Thread starter
-
- #61
Sawa Madam, ingekuwa zamani ningali tajiri ningewaita ndugu zangu waone hii comment ili waandae mipango haraka, lakini sasa nimebaki mwenyewe tu. Mungu atie heri ili nimpate huyu mrembo.umeshampata tayari, usisahau kutualika kula ubweche
ndugu ndo sisi,tutakuchangia hujui jf matajiri kibaoSawa Madam, ingekuwa zamani ningali tajiri ningewaita ndugu zangu waone hii comment ili waandae mipango haraka, lakini sasa nimebaki mwenyewe tu. Mungu atie heri ili nimpate huyu mrembo.
๐๐Asante nimefurahi kusikia hivyondugu ndo sisi,tutakuchangia hujui jf matajiri kibao
Utampata tu ndugu yangu Inshaallah, ๐๐Mungu atie heri ili nimpate huyu mrembo.
Na iwe hivyo kwa inshaallah.Utampata tu ndugu yangu Inshaallah, ๐๐
Woooow nimefurahi sana, leo nataka tuchat hadi wale wanaosema sisi ni mtu mmoja presha ziwapande.Abeeh Baba,
Nipo hapa sijaingia mtandaoni kutwa nzima ya leo,nashukuru Kwa upendo wako.
Majukumu kaka,siunajua tena kufanya kazi Kwa mtuWoooow nimefurahi sana, leo nataka tuchat hadi wale wanaosema sisi ni mtu mmoja presha ziwapande.
Vipi baby mbona ulikuwa bize sana?
Kaka!! Kaka kivipi tena? Ila pole na kazi vipi familia umeikuta ipo good?Majukumu kaka,siunajua tena kufanya kazi Kwa mtu
Kwanini umeshangaa ,Majukumu kaka,siunajua tena kufanya kazi Kwa mtu
Nipo salamaKaka!! Kaka kivipi tena? Ila pole na kazi vipi familia umeikuta ipo good?
Mwanzo umeniita vizuri tu Baba.. sasa unaniita kaka tena?Kwanini umeshangaa ,
Tuchat Bana hata hatujaonana unaniita babeMwanzo umeniita vizuri tu Baba.. sasa unaniita kaka tena?
Sawa nadhani umelielewa ombi langu, kama upo single nahitaji kukuoa.Nipo salama
Sawa.Tuchat Bana hata hatujaonana unajiita babe
Marry mbona unamuita mwenzio kaka tena?!! ๐น๐นMajukumu kaka,siunajua tena kufanya kazi Kwa mtu
Unaacha kumuomba akufungulie pm ukajimalize unataka mchat ili umchoresha Marry wangu tu hapa..!! ๐น๐น๐นWoooow nimefurahi sana, leo nataka tuchat hadi wale wanaosema sisi ni mtu mmoja presha ziwapande.
Vipi baby mbona ulikuwa bize sana?
Tit for tat ๐๐๐
๐คฃ๐คฃyumo