Rafiki yangu Marry Diana, kama haupo kwenye ndoa naomba nikuoe

sasahivi kijana unajipigia mapande tu, ila mbona sioni Cc:
inasikitisha sana!
🀣🀣🀣 subiri mkuu mambo bado, yaani mimi na Marry tutabebisha hadi jf mtaifanyia nongwa.

Hapa nachat na watu wengi nikitulia nitafungua uzi kumwita Smart911 na Mahondaw waje watupe siri ya mafanikio ya kudumu kwa penzi Lao.
 
Kijana masikini huogopi kila uzi anajitetea "mimi sio malaya" au ndio mapenzi upofu!
Tatizo linaanza kwa wewe kuona anajitetea, badala ya kuona anasema.
Ni shemeji yako huyo mkuu huna budi kumheshimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…