Raha ya mwanamke awe na akili za kitoto sio unakuwa na mwanamke akili nyingi mpaka anafatilia mpaka vita vya Ukraine

Safi sana 🤣
 
Tofauti Yako na Mwanamke ni jinsia tu but the rest mnalingana tu.. Women are not that weak and inferior my friend hii dogma ndo imesababisha wanaume kuteseka tangu Dunia imewekwa misingi yake. Women should be treated equally and act so
We huoni nchi zinazopractice equal right wanaume wanavyoishi Kwa Raha Mkuu??
Ifikie mahala wote tule Kwa jasho bila kujali jinsia ya mtu
Ukija mtaani kwetu majority ni women ndo bread winner wa familia and they are doing a great job at it... Open your eyes and see
 
Mwanamke anatakiwa ajue vitu, hata siku ukisafiri unajua watoto watalishwa madini, sio mwanamke hata vitu basics tu hajui, hadi watoto wanajua kuwa mama yao hamna kitu.

Kuna angles za maisha wangu anajua tena anajua sana, kuna angles kweli hamna kitu(mf. tech) ila haiathiri familia.
 
Huu ni ukweli wote 100%
 
Mbona jazba kaka mkubwa 😅 uko sawa kweli?
 
Huo ni mzigo, liability.
Watoto wana akili kweli??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…