Raha ya mwanamke awe na akili za kitoto sio unakuwa na mwanamke akili nyingi mpaka anafatilia mpaka vita vya Ukraine

Raha ya mwanamke awe na akili za kitoto sio unakuwa na mwanamke akili nyingi mpaka anafatilia mpaka vita vya Ukraine

Nina wangu aliniuliza hizo bomu zinazo pigwa Hamas kuna siku hazitafika Dar es salaam?.....nika mjibu usijali mke wangu ziko mbali sana, kauliza ubali kutoka hapa mpaka kupita Morogoro nika muambia ndiyo, akaendelea na kazi zake za ku pika simple like that. [emoji1787][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Safi sana 🤣
 
Tofauti Yako na Mwanamke ni jinsia tu but the rest mnalingana tu.. Women are not that weak and inferior my friend hii dogma ndo imesababisha wanaume kuteseka tangu Dunia imewekwa misingi yake. Women should be treated equally and act so
We huoni nchi zinazopractice equal right wanaume wanavyoishi Kwa Raha Mkuu??
Ifikie mahala wote tule Kwa jasho bila kujali jinsia ya mtu
Ukija mtaani kwetu majority ni women ndo bread winner wa familia and they are doing a great job at it... Open your eyes and see
 
Mwanamke anatakiwa ajue vitu, hata siku ukisafiri unajua watoto watalishwa madini, sio mwanamke hata vitu basics tu hajui, hadi watoto wanajua kuwa mama yao hamna kitu.

Kuna angles za maisha wangu anajua tena anajua sana, kuna angles kweli hamna kitu(mf. tech) ila haiathiri familia.
 
Uko sahihi, mwanamke anatakiwa awe best friend.

Best friend ni mtu ambae mnaendana kwny mambo mengi, mkitaka kuidis stoicism mnaidis tu.

Mwanamke ambae hamuwezi kubishana kwa hoja anaboa.

Anakuwa na kazi ya kufanya usafi tu na kupanua mapaja. Ukimaliza hapo unaanza kutafuta watu wa kujadili nao ligi ya uingereza!
Huu ni ukweli wote 100%
 
Kwa level ya maisha yako, ni sawa, ka mishahara, au, ka ajira, kanyumba ka moja, kashamba, ka ist, basi, nothing more nothing less, Ila kina sie, tunataka mke awe na akili za Eron musk, au Bill Gates, maana maisha yetu hayaishii kujenga majumba, kuwa na mavogue,na kusomesha watoto English medium kwa 4+M, tunawaza kizazi, chetu cha tano kutoka sasa hv, kitaishije!
Sasa kama wewe ni kama Baba levo, mke mwenye akili kubwa Sana wa nini? We pata yule anayetafuta story za Balthazar endonga kuanzia asubuh mpaka jioni
Mbona jazba kaka mkubwa 😅 uko sawa kweli?
 
Nina wangu aliniuliza hizo bomu zinazo pigwa Hamas kuna siku hazitafika Dar es salaam?.....nika mjibu usijali mke wangu ziko mbali sana, kauliza ubali kutoka hapa mpaka kupita Morogoro nika muambia ndiyo, akaendelea na kazi zake za ku pika simple like that. [emoji1787][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Huo ni mzigo, liability.
Watoto wana akili kweli??
 
Back
Top Bottom