Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Hivi kufuatilia vita vya Ukraine ni ishara ya kuwa na akili nyingi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi, inashangaza wanaume wengi wanapenda zaidi wanawake vilaza!Mwanamke wa hivyo anaboa raha ya Mwanamke ajue vitu vingi mkae mbishane mcheke mfurahi , nakubadilishana mawazo🤔🤔🤔
Sio unakua na mwanamke yeye kama goigoi tu kila kitu😂
😅 anajua mpka kutumia jicho la tatuMke anfuatilia nyuzi za Robert Heriel Mtibeli na Mshana Jr na kuzielewa kindakindaki?
Huyo siyo mke bali FBI
Ila wanaume wengi wanapenda wanawake vilaza na wasio na ambitions zozote kubwa.Kila mtu ana chaguo lake
Unajua wengi wanapenda wapate wanawake wakuwaendesha na sio life partner 🤔Sahihi, inashangaza wanaume wengi wanapenda zaidi wanawake vilaza!
Safi sana 🤣Nina wangu aliniuliza hizo bomu zinazo pigwa Hamas kuna siku hazitafika Dar es salaam?.....nika mjibu usijali mke wangu ziko mbali sana, kauliza ubali kutoka hapa mpaka kupita Morogoro nika muambia ndiyo, akaendelea na kazi zake za ku pika simple like that. [emoji1787][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
La saba wa 2000 wanajua kukata mauno tu, kuvaa crocs na kuimba komasavaLa saba labda wale wa 1900's hiki kizazi cha 2000 utakidanganya kwenye nini😅
Anatakiwa awe kama ngara23 ajue tu Tanzania kuna Simba na Yanga kuhusu wachezaji na namba wanazocheza uwanjani aah!....Inatakiwa mke awe shabiki lialia wa popoma GENTAMYCINE
Huu ni ukweli wote 100%Uko sahihi, mwanamke anatakiwa awe best friend.
Best friend ni mtu ambae mnaendana kwny mambo mengi, mkitaka kuidis stoicism mnaidis tu.
Mwanamke ambae hamuwezi kubishana kwa hoja anaboa.
Anakuwa na kazi ya kufanya usafi tu na kupanua mapaja. Ukimaliza hapo unaanza kutafuta watu wa kujadili nao ligi ya uingereza!
Kabisa mkuu.😅 anajua mpka kutumia jicho la tatu
Mbona jazba kaka mkubwa 😅 uko sawa kweli?Kwa level ya maisha yako, ni sawa, ka mishahara, au, ka ajira, kanyumba ka moja, kashamba, ka ist, basi, nothing more nothing less, Ila kina sie, tunataka mke awe na akili za Eron musk, au Bill Gates, maana maisha yetu hayaishii kujenga majumba, kuwa na mavogue,na kusomesha watoto English medium kwa 4+M, tunawaza kizazi, chetu cha tano kutoka sasa hv, kitaishije!
Sasa kama wewe ni kama Baba levo, mke mwenye akili kubwa Sana wa nini? We pata yule anayetafuta story za Balthazar endonga kuanzia asubuh mpaka jioni
control ni kitu kizuriDogo kwa taarifa tu ni kwamba usipo m-control mwanamke basi ataku-control yeye na hakuna kitu kama kucontroliana.... Najua nyie vijana wa kisasa mko stupified na usawa wa kijinsia na wakati katika ulimwengu halisi hakuna usawa kwenye jambo lolote lile.
Huo ni mzigo, liability.Nina wangu aliniuliza hizo bomu zinazo pigwa Hamas kuna siku hazitafika Dar es salaam?.....nika mjibu usijali mke wangu ziko mbali sana, kauliza ubali kutoka hapa mpaka kupita Morogoro nika muambia ndiyo, akaendelea na kazi zake za ku pika simple like that. [emoji1787][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Vipi watoto wenu akili zimo au wamerithi kwa mama Yao?Mi wangu aliposema Hanang ni china ule wakati wa mafuriko ya matope nikajua kazi ipo
Ila yuko poa sana
Mwanangu upo kama mimi jembe langu Yan sipend demu wa "ndio " au yule wa ", niambie" afu unakuta amekuchek yeyeMwanamke wa hivyo anaboa raha ya Mwanamke ajue vitu vingi mkae mbishane mcheke mfurahi , nakubadilishana mawazo🤔🤔🤔
Sio unakua na mwanamke yeye kama goigoi tu kila kitu😂
Uko sahihi kiongoziCha msingi ni mtu sahihi kwako!!?
Kama sio sahihi hata awe goigoi vipi au mjuaji vipi utaisoma namba mbona!!