Raia Mwema: Paul Makonda kushtakiwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka

Kumbe hata Rwanda wapo vizuri kwa washenzi kama hawa?
 
Siyo rahisi ni mshirikina balaa
Ndugu kuna Watu nawajua walikuwa ni Waandamizi Kiushirikina na ni Tishio pia nchini na Serikalini ila kuna Watatu walitangulizwa Kimafia Udongoni na Leo wamekuwa ni Historia.

Aliyawadanganyeni kuwa Makonda ni Mshirikina, Tishio na Anaogopwa si tu Kawadharau bali kawaona pia ni Mazuzu kwani kama kweli yuko hivyo sasa ni kwanini anaishi kama Digidigi kwa kuhamahama Mikoa na sasa akipenda sana Kujificha?

Tena hakuna Mtu ambaye ni mwepesi Kuondolewa Kimedani ili akayaanze Maisha yake mapya Udongoni kama huyu Mpuuzi wenu sema tu kwa sasa Kumuondoa itakuwa ni Timing mbaya labda aondolewe kwa Mbinu za Warusi zinazohitaji Akili Kubwa na Mkakati ulio makini.

Nawalaumu tu SSIT kwa Kumlea huyu.
 
Chadema msishangilie, hizi zote ni Chambo za kummaliza Mbowe.
 
Bibi ushungi mwenyewe anamtegemea sn kwa nguvu za giza
 
Wee bamdogo bashite Boy huyu huyu wa kwetu koromije [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]
 
Kumbe hata Rwanda wapo vizuri kwa washenzi kama hawa?
Tena mno tu mngewaomba msaada wangeshamalizana nae Kitambo sana na leo angekuwa ni Historia ila System yenu ya sasa Ina Ulokole + Uwoga mwingi ndiyo maana Washenzi kama huyu mpaka leo bado tunapishana nao tu Kigamboni Dar es Salaam, Mwanza, Dodoma na Shinyanga.
 
Kwa mtazamo wangu, hii kesi kama kweli itafunguliwa kipindi hiki,, inaweza kutumika kama justification ya kumfunga Mbowe na mwisho wa siku unaweza sikia Makonda hajakutwa na hatia yoyote wakati huo Mbowe tayari yuko jela.

Hivyo, taarifa hii sio ya kufurahia sana, bali tuichukue kwa tahadhari kubwa. Hoja hapa ki kuwa, mkilalamika Mbowe kufungwa, watawajibu mbona hata Makonda kashitakiwa?

Tuwe makini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…