Raia Mwema: Paul Makonda kushtakiwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka

Raia Mwema: Paul Makonda kushtakiwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka

Huyo ilikuwa ni suala la muda tu ili aionje radha na uzuri wa jela.

Aliwasingizia watu wasiyo na hatia na kuwaweka ndani kisa babake yupo ikulu.

Akushitakiwa nitakuwa wa kwanza kushehekea tena bila kificho.
Ujipoze kwa maumivu ya Dj kushushiwa kitu kizito
 
Hapo ni pa kuanzia. Kuna yale ya kuwanyima watu haki ya kuishi - Ben Saanane, shambulip dhidi ya Lisu, kupotea kwa Gwanda, utekwaji wa Mo na Roma, n.k.
Mkuu shukuru Jf unaongea tu uko free ila usizani uko free sana je una uhakika kuwa makonda kafanya hayo yote je GAIDI MBOWE KMA ALIFANYA JE UTAKUBALI NGOJA TUONE GAIDI ANAYEA LITA 20 NA UZEE WAKE ULE ATAIFA NDANI
 
Hivi pale anapoishi makonda mfanyakazi wa serikali atachukua miaka mingapi kukusanya pesa ya kupanunua na kufanya ukarabati mkubwa kama ule?
Acha hapo,mwanza anajenga pub pia amejenga huko igoma na ana miradi ya hatari
 
Huyo ilikuwa ni suala la muda tu ili aionje radha na uzuri wa jela

Huko nyuma niliwahi kutoa angalizo kama hili lako kuwa iko siku Bashite atasimama mbele ya PILATO!! Siamini kuwa siku hiyo ni sasa na kuwa polisi wa leo ndio watasimamia uchunguzi. Hili linawezekana pale tu Jeshi la polisi la leo litakapoongozwa na IGP mwingine na sio SIRO!!

Nasema Kuwa polisi chini ya IGP siro hawawezi kumfanyia uchunguzi Makonda kwasababu kama mtakumbuka huyu Siro alikuwa RPC wa Dar wakati Makonda akiwa Mkuu wa mkoa; na kutokana na ukaribu wake yeye Makonda alivyokuwa na mwendazake ndio akamrecommend Siro kuwa IGP na mwendazake akamteua!!! Na Siro anafahamu kuwa bila Makonda asingeupata huo wadhifa. Under those circumstances mnadhani kweli polisi hawa wa Siro watamchunguza Makonda?
 
Nakumbuka sana jinsi alivyo wapakazia kina Mbowe na kina Majizo na Manji kesi za madawa ya kulevya.

Jamaa alikuwa anajioni ni Mungu mtu wakati Mungu hana tabia za kiuwaji kama huyu .
Mbowe hausiki na hajawahi hata kugusa hayo madawa na kwa hili makonda atalipa. Mbowe alichafuliwa kwa makusudi kabisa.
Ila kwa majay na manji, NI KWELI Wala hawajasingiziwa.
 
Nakumbuka sana jinsi alivyo wapakazia kina Mbowe na kina Majizo na Manji kesi za madawa ya kulevya

Huyu MAJIZO wa EFM rafiki Mkuu wa RIDHWANI mbunge wa Chalinze?

"SHOW ME YOUR FRIEND AND I WILL TELL YOU YOUR CHARACTER"
 
Nchi hivi sasa inatenda haki Mbowe Gaidi Jela,Sabaya Jambazi jela ,sasa DAB zamu yake
Kama ambavyo kichwa cha habari kinaeleza, ni mwendo wa kutafuta haki zilizocheleweshwa kwa muda mrefu. Sasa Bwanamdogo kumfuata jamaa yake Sabaya
 
Mbowe hausiki na hajawahi hata kugusa hayo madawa na kwa hili makonda atalipa. Mbowe alichafuliwa kwa makusudi kabisa.
Ila kwa majay na manji, NI KWELI Wala hawajasingiziwa.
Naona unajichanganya sana kama Majizo na Manji walikutwa nayo hayo madawa ilikuwaje wakaachiwa huru ?
 
Mkuu shukuru Jf unaongea tu uko free ila usizani uko free sana je una uhakika kuwa makonda kafanya hayo yote je GAIDI MBOWE KMA ALIFANYA JE UTAKUBALI NGOJA TUONE GAIDI ANAYEA LITA 20 NA UZEE WAKE ULE ATAIFA NDANI

Acha kutisha watu.
 
Nchi hivi sasa inatenda haki Mbowe Gaidi Jela,Sabaya Jambazi jela ,sasa DAB zamu yake
Kwakuwa mfadhili wenu ameshakufa ndiyo leo mnamuona Makonda hana faida tena kwenu?

Ama kweli uvccm ni watu wale wa aina ya KULA KWENDA.
 
Kwa vyovyoye iwavyo, hakuna namna Paul Makonda akaishi bila kushtakiwa, iwe kwenye utawala huu au mwingine.

Huyu ana uovu wa kupindukia, kuwanyima watu haki ya kuishi, haiwezekani ipite tu hivihivi. Atambue kama siyo leo au kesho, lakini ipo siku ambapo makazi yake lazima yawe jela.
Nakuunga mkono 100 kwa 100.
 
Una uhakika au ni mihemuko ya kukosa ajira endelea kucheza kamari kuna siku utapata
Wacha nicheze kamali kuliko wewe unayeishi kwa kutegemea kuwaramba viatu sukuma gang wenzako.
1224563225.jpg
 
Back
Top Bottom