Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,790
- 2,232
Una uhakika au ni mihemuko ya kukosa ajira endelea kucheza kamari kuna siku utapataMakonda siku akifikishwa mahakamani jiji la dar litazizima kwa furaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika au ni mihemuko ya kukosa ajira endelea kucheza kamari kuna siku utapataMakonda siku akifikishwa mahakamani jiji la dar litazizima kwa furaha
Unajua kafilisika kabisa sasa anatumia kika njia ili arudi relini but kachelewaJenerali Ulimwengu ameamua rasmi hili gazeti liwe tabloid sasa kama ya Shigongo. Hakuna tena zile makala za kiuchambuzi mtu unasoma unaridhika. Sad!
Ujipoze kwa maumivu ya Dj kushushiwa kitu kizitoHuyo ilikuwa ni suala la muda tu ili aionje radha na uzuri wa jela.
Aliwasingizia watu wasiyo na hatia na kuwaweka ndani kisa babake yupo ikulu.
Akushitakiwa nitakuwa wa kwanza kushehekea tena bila kificho.
Mkuu shukuru Jf unaongea tu uko free ila usizani uko free sana je una uhakika kuwa makonda kafanya hayo yote je GAIDI MBOWE KMA ALIFANYA JE UTAKUBALI NGOJA TUONE GAIDI ANAYEA LITA 20 NA UZEE WAKE ULE ATAIFA NDANIHapo ni pa kuanzia. Kuna yale ya kuwanyima watu haki ya kuishi - Ben Saanane, shambulip dhidi ya Lisu, kupotea kwa Gwanda, utekwaji wa Mo na Roma, n.k.
Mimi nimemsikiliza vizuri sana hajasema lolote linaloashiria makonda kushtakiwa bali alitoa ushauri kwa chuo cha jeshi kuwapa elimu ma rc na madcAlitoa kauli gani mkuu?
Acha hapo,mwanza anajenga pub pia amejenga huko igoma na ana miradi ya hatariHivi pale anapoishi makonda mfanyakazi wa serikali atachukua miaka mingapi kukusanya pesa ya kupanunua na kufanya ukarabati mkubwa kama ule?
Huyo ilikuwa ni suala la muda tu ili aionje radha na uzuri wa jela
Mbowe hausiki na hajawahi hata kugusa hayo madawa na kwa hili makonda atalipa. Mbowe alichafuliwa kwa makusudi kabisa.Nakumbuka sana jinsi alivyo wapakazia kina Mbowe na kina Majizo na Manji kesi za madawa ya kulevya.
Jamaa alikuwa anajioni ni Mungu mtu wakati Mungu hana tabia za kiuwaji kama huyu .
Nakumbuka sana jinsi alivyo wapakazia kina Mbowe na kina Majizo na Manji kesi za madawa ya kulevya
Kama ambavyo kichwa cha habari kinaeleza, ni mwendo wa kutafuta haki zilizocheleweshwa kwa muda mrefu. Sasa Bwanamdogo kumfuata jamaa yake Sabaya
Naona unajichanganya sana kama Majizo na Manji walikutwa nayo hayo madawa ilikuwaje wakaachiwa huru ?Mbowe hausiki na hajawahi hata kugusa hayo madawa na kwa hili makonda atalipa. Mbowe alichafuliwa kwa makusudi kabisa.
Ila kwa majay na manji, NI KWELI Wala hawajasingiziwa.
Mkuu shukuru Jf unaongea tu uko free ila usizani uko free sana je una uhakika kuwa makonda kafanya hayo yote je GAIDI MBOWE KMA ALIFANYA JE UTAKUBALI NGOJA TUONE GAIDI ANAYEA LITA 20 NA UZEE WAKE ULE ATAIFA NDANI
Kwakuwa mfadhili wenu ameshakufa ndiyo leo mnamuona Makonda hana faida tena kwenu?Nchi hivi sasa inatenda haki Mbowe Gaidi Jela,Sabaya Jambazi jela ,sasa DAB zamu yake
Hao ndiyo wafuasi wa kundi la watu wasiyo julikanaAcha kutisha watu.
Nakuunga mkono 100 kwa 100.Kwa vyovyoye iwavyo, hakuna namna Paul Makonda akaishi bila kushtakiwa, iwe kwenye utawala huu au mwingine.
Huyu ana uovu wa kupindukia, kuwanyima watu haki ya kuishi, haiwezekani ipite tu hivihivi. Atambue kama siyo leo au kesho, lakini ipo siku ambapo makazi yake lazima yawe jela.
Kasome uhuru maana nipashe siyo size yakoGaxeti la nipashe linasemaje kuhusu habari hii?
Kwan ulimwengu anahusikaje hapo wakati wajanja kina rostam walishanunua Hilo kampuni.Jenerali Ulimwengu ameamua rasmi hili gazeti liwe tabloid sasa kama ya Shigongo. Hakuna tena zile makala za kiuchambuzi mtu unasoma unaridhika. Sad!
Ulikunywa KVant ngapi janaKasome uhuru maana nipashe siyo size yako
Wacha nicheze kamali kuliko wewe unayeishi kwa kutegemea kuwaramba viatu sukuma gang wenzako.Una uhakika au ni mihemuko ya kukosa ajira endelea kucheza kamari kuna siku utapata
Hata nikinywa 100 ni uwezo wangu.Ulikunywa KVant ngapi jana