Raia Mwema: Paul Makonda kushtakiwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka

Raia Mwema: Paul Makonda kushtakiwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka

Hahahahaha kweli wew hamnazo kabisa ! ungekuwa ndugu yangu ningebadilishana na gunia la ufuta.Eti nimesoma hiki na kile so what???? ukiwa na elimu ya hapa na pale ni hopeless kabisa.So sad yaani
Wewe tengeza kesi tukutane mahakamani, dai tu kuwa imekutukana online halafu tukutane mahakani kama sitakutupa jela ukaacha familia yako.
 
Kwa mtazamo wangu, hii kesi kama kweli itafunguliwa kipindi hiki,, inaweza kutumika kama justification ya kumfunga Mbowe na mwisho wa siku unaweza sikia Makonda hajakutwa na hatia yoyote wakati huo Mbowe tayari yuko jela.

Hivyo, taarifa hii sio ya kufurahia sana, bali tuichukue kwa tahadhari kubwa. Hoja hapa ki kuwa, mkilalamika Mbowe kufungwa, watawajibu mbona hata Makonda kashitakiwa?

Tuwe makini.
Mbowe walishamfunga kitambo Sana. Wala hawahitaji makonda awe Chambo. Jaji tu unamuona anavyoegemea upande mmoja na BBC ulisikiliza. So swala la. Mbowe hauhitaji Chambo au akili ya Newton kujua mwisho wake.
 
Mbowe walishamfunga kitambo Sana. Wala hawahitaji makonda awe Chambo. Jaji tu unamuona anavyoegemea upande mmoja na BBC ulisikiliza. So swala la. Mbowe hauhitaji Chambo au akili ya Newton kujua mwisho wake.
Hilo unalishangaa wewe mgeni wa mambo ya siasa za Afrika.
 
Waiandalie makao yao makuu
Ujisahau Sana wakiwa madarakani udanganywa Sana na waganga kwa kupewa utabiri hewa Ili waliwe pesa zao,alifanya upumbavu bila kutazama kesho,akiamini boss wake atatawala milele au hadi 2045 then anapewa yeye hadi maisha, kutumainia ndumba mbaya sana upunguza Sana uwezo wa kufikiri thus watawala wengi ufanya mambo ya kipumbavu mengi Sana wakiwa madarakani kwa kudanganywa na waganga.Mganga ni mtu tu hana uwezo wa kuicomand au kuibadili au kuizua nature isifanye Kazi yake.
 
Back
Top Bottom