Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Ogopa sana coronaWacha tuone nyuma ya nondo kuna nini kupitia dirisha la chuma!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ogopa sana coronaWacha tuone nyuma ya nondo kuna nini kupitia dirisha la chuma!
Watu wanaishi na corona ipo hata brother wa chairman kaondoka nayo!Ogopa sana corona
Hata jiwe lina nyoosha mikono kwa coronaWatu wanaishi na corona ipo hata brother wa chairman kaondoka nayo!
Gaidi aliye hai mkufunzi wa al maruhumu Hamnza!Gaidi Hamza mwana ccm
Hamza ni mwana ccm na kada wa kuheshimikaGaidi aliye hai mkufunzi wa al maruhumu Hamnza!
Siyo kila mtu masikini kama weweAtueleze alipata wapi pesa ya kununua Range Rover sport ilhali mshahara wake unajulikana.
You have similar opinion as I see itKwa jinsi taarifa ilivyo inaonyesha sio Jamuhuri inayokusudia kumshtaki ni wakili binafsi....thus hamna muujiza wowote
Shida ni justification kama kweli aliuwa maana sheria nazo ni ngumu.Huyu siyo wa 30 years. Matumizi mabaya ya madaraka ni mlango wa kuingilia. Kosa lake kubwa na kuendesha operesheni za mauaji.
Wewe tengeza kesi tukutane mahakamani, dai tu kuwa imekutukana online halafu tukutane mahakani kama sitakutupa jela ukaacha familia yako.Hahahahaha kweli wew hamnazo kabisa ! ungekuwa ndugu yangu ningebadilishana na gunia la ufuta.Eti nimesoma hiki na kile so what???? ukiwa na elimu ya hapa na pale ni hopeless kabisa.So sad yaani
Wewe tengeza kesi tukutane mahakamani, dai tu kuwa imekutukana online halafu tukutane mahakani kama sitakutupa jela ukaacha familia yako.
Jamani naenjoyi 😂😂Jiji litazizima baada ya jambazi kupelekwa segerea
Sawa kwa kubaliana.Haya kichuguu !
Hilo lijambazi halikubaliki kubakia mitaaniJamani naenjoyi [emoji23][emoji23]
Mkufunzi wake anaitwa freeman aikael mbowe!Hamza ni mwana ccm na kada wa kuheshimika
Mbowe walishamfunga kitambo Sana. Wala hawahitaji makonda awe Chambo. Jaji tu unamuona anavyoegemea upande mmoja na BBC ulisikiliza. So swala la. Mbowe hauhitaji Chambo au akili ya Newton kujua mwisho wake.Kwa mtazamo wangu, hii kesi kama kweli itafunguliwa kipindi hiki,, inaweza kutumika kama justification ya kumfunga Mbowe na mwisho wa siku unaweza sikia Makonda hajakutwa na hatia yoyote wakati huo Mbowe tayari yuko jela.
Hivyo, taarifa hii sio ya kufurahia sana, bali tuichukue kwa tahadhari kubwa. Hoja hapa ki kuwa, mkilalamika Mbowe kufungwa, watawajibu mbona hata Makonda kashitakiwa?
Tuwe makini.
Nawewe ndiye msaidizi wa Hamza na kama ulikuwa unajificha basi ujue watu wanakujua kuwa wewe ndiye msaidizi wa Hamza gaidiMkufunzi wake anaitwa freeman aikael mbowe!
Hilo unalishangaa wewe mgeni wa mambo ya siasa za Afrika.Mbowe walishamfunga kitambo Sana. Wala hawahitaji makonda awe Chambo. Jaji tu unamuona anavyoegemea upande mmoja na BBC ulisikiliza. So swala la. Mbowe hauhitaji Chambo au akili ya Newton kujua mwisho wake.
Ujisahau Sana wakiwa madarakani udanganywa Sana na waganga kwa kupewa utabiri hewa Ili waliwe pesa zao,alifanya upumbavu bila kutazama kesho,akiamini boss wake atatawala milele au hadi 2045 then anapewa yeye hadi maisha, kutumainia ndumba mbaya sana upunguza Sana uwezo wa kufikiri thus watawala wengi ufanya mambo ya kipumbavu mengi Sana wakiwa madarakani kwa kudanganywa na waganga.Mganga ni mtu tu hana uwezo wa kuicomand au kuibadili au kuizua nature isifanye Kazi yake.Waiandalie makao yao makuu