Rais Magufuli afanya mazungumzo na msomi Prof Patrick Loch Otieno Lumumba, msomi huyu ammwagia sifa lukuki Dr Magufuli

Kama uraia mimi ningependekeza apewe Mkulima maarufu Mzee Stayn
Ushujaa aliouonyesha katika kudai chake umetufunza mengi haswa kwenye kukomaa mpaka kieleweke hata kama waziri anakukodolea mimacho kama chura
 
PLO ni sawa na Walter Rodney ni waathirika wa elimu ya ujamaa sawa na Bashiru,Kwa ulimwengu wa sasa hasa hichi kizazi cha dotcom chenye awareness kubwa yaani global vision ni ngumu falsafa zao kueleweka.Hao walifaa zama za kuzifungia akili kwenye box,yaani utakiwi kuwaza zaidi ya anayekutawala utakiwi kutembea nje ya fikra za mwenyekiti
 
Kama uraia mimi ningependekeza apewe Mkulima maarufu Mzee Stayin
Ushujaa aliounyesha katika kudai chake umetufunza mengi haswa kwenye kukomaa mpaka kieleweke hata kama waziri anakukodolea mimacho kama chura
Hilo sahau first priorities wanaomuabudu mungu wa Lumumba fc
 
LOMOMBA au Lumumba!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshauri njia ulizotumia kupata uraia wa Tanzania
In God we Trust
 
Tanzania kuna Dual Citizenship au kwa maana nyingine unataka kusema atakana uraia wake wa sasa
 
Ficha upumbavu wako
 

kisa ni kimoja tu kuwa kamsifia sana mungu jiwe
 
Afrika inayo wasomi wazuri sana ila tatizo ni kuwa hawatumiki ipasavyo katika kuleta mageuzi ndani ya nchi husika na Bara la Afrika kwa ujumla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…