Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Chochote kinawezekana wampe na kabila kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo sahau first priorities wanaomuabudu mungu wa Lumumba fcKama uraia mimi ningependekeza apewe Mkulima maarufu Mzee Stayin
Ushujaa aliounyesha katika kudai chake umetufunza mengi haswa kwenye kukomaa mpaka kieleweke hata kama waziri anakukodolea mimacho kama chura
LOMOMBA au Lumumba!?Halo wana JF.
Kuna tetesi nimepata kutoka chanzo nyeti serikalini, kuwa Professor Patrick Lomomba maarufu PLO wa nchini Kenya, atapewa uraia wa Tanzania siku yoyote ndani ya mwezi march 2020.
Lomomba ni msemaji hodari yaani kwa kingereza good orator. Amekuwa mshambuliaji mkuu wa mabeberu kwa kutetea raslimali za Africa na pia mfuasi mkubwa wa Rais Magufuli. Anaandaa kitabu cha The Magufulication of Africa.
Inadaiwa ktk tetesi hizo atakabidhiwa idara nyeti ya kupambana na ufisadi humu nchini Tanzania lakini inadaiwa wahafidhina serikalini ambao hawaamini watani wetu wa Kenya, wanapendekeza kama serikali imempenda gwiji hili la sayansi ya siasa, wampe chuo kikuu kimoja wapo nchini awe Vice Chancellor.
Naendelea kutafuta ukweli wa tetesi hii kabla muda haujaongea mwezi march 2020.
Apewe eti eehWampe tu hata na uwaziri pia wampe maana hata nikipinga sitapewa mm so apewe tu hakuna namna
Sent using Jamii Forums mobile app
Lofindo
Kwa kikwetu ni mengine ujue.Lofindo
Halo wana JF.
Kuna tetesi nimepata kutoka chanzo nyeti serikalini, kuwa Professor Patrick Lomomba maarufu PLO wa nchini Kenya, atapewa uraia wa Tanzania siku yoyote ndani ya mwezi march 2020.
Lomomba ni msemaji hodari yaani kwa kingereza good orator. Amekuwa mshambuliaji mkuu wa mabeberu kwa kutetea raslimali za Africa na pia mfuasi mkubwa wa Rais Magufuli. Anaandaa kitabu cha The Magufulication of Africa.
Inadaiwa ktk tetesi hizo atakabidhiwa idara nyeti ya kupambana na ufisadi humu nchini Tanzania lakini inadaiwa wahafidhina serikalini ambao hawaamini watani wetu wa Kenya, wanapendekeza kama serikali imempenda gwiji hili la sayansi ya siasa, wampe chuo kikuu kimoja wapo nchini awe Vice Chancellor.
Naendelea kutafuta ukweli wa tetesi hii kabla muda haujaongea mwezi march 2020.
Kikwetu kanda ya Ziwa Nyanza linamaanisha wanalumumbaKwa kikwetu ni mengine ujue.
Ficha upumbavu wakoHalo wana JF.
Kuna tetesi nimepata kutoka chanzo nyeti serikalini, kuwa Professor Patrick Lomomba maarufu PLO wa nchini Kenya, atapewa uraia wa Tanzania siku yoyote ndani ya mwezi march 2020.
Lomomba ni msemaji hodari yaani kwa kingereza good orator. Amekuwa mshambuliaji mkuu wa mabeberu kwa kutetea raslimali za Africa na pia mfuasi mkubwa wa Rais Magufuli. Anaandaa kitabu cha The Magufulication of Africa.
Inadaiwa ktk tetesi hizo atakabidhiwa idara nyeti ya kupambana na ufisadi humu nchini Tanzania lakini inadaiwa wahafidhina serikalini ambao hawaamini watani wetu wa Kenya, wanapendekeza kama serikali imempenda gwiji hili la sayansi ya siasa, wampe chuo kikuu kimoja wapo nchini awe Vice Chancellor.
Naendelea kutafuta ukweli wa tetesi hii kabla muda haujaongea mwezi march 2020.
Wewe ni limbukeni sana.Jina la Rais wako tu ni la umombo...
Kwa hiyo kwa lugha nyingine unamuita naye ni.......
[emoji23] [emoji23]Maongezi yao yalikuwa kwa Kiswahili au Kimombo?
Halo wana JF.
Kuna tetesi nimepata kutoka chanzo nyeti serikalini, kuwa Professor Patrick Lomomba maarufu PLO wa nchini Kenya, atapewa uraia wa Tanzania siku yoyote ndani ya mwezi march 2020.
Lomomba ni msemaji hodari yaani kwa kingereza good orator. Amekuwa mshambuliaji mkuu wa mabeberu kwa kutetea raslimali za Africa na pia mfuasi mkubwa wa Rais Magufuli. Anaandaa kitabu cha The Magufulication of Africa.
Inadaiwa ktk tetesi hizo atakabidhiwa idara nyeti ya kupambana na ufisadi humu nchini Tanzania lakini inadaiwa wahafidhina serikalini ambao hawaamini watani wetu wa Kenya, wanapendekeza kama serikali imempenda gwiji hili la sayansi ya siasa, wampe chuo kikuu kimoja wapo nchini awe Vice Chancellor.
Naendelea kutafuta ukweli wa tetesi hii kabla muda haujaongea mwezi march 2020.
Wewe mzee wewe.Kikwetu kanda ya Ziwa Nyanza linamaanisha wanalumumba
Nani kakuambia nina wivu! Nimeleta taarifaKenya na Tanzania ni ndugu kuna shida gani akipewa
Wewe Mbona umetoka somalia na umekuwa Mtanzania acha wivu