Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

Mkuu VUGU VUGU, pale wanapo sema taarifa ya habari huwa wanamaanisha nini?
 
Mkuu VUGU VUGU, pale wanapo sema taarifa ya habari huwa wanamaanisha nini?

Lahaja za kiswahili bado ni shida

Difference Between News and Information

β€’ News is presentation of facts about an event or incident that has just taken place or is taking place whereas information is general and is not that urgent

β€’ News is meant to make people aware of their surroundings, people, and events taking place whereas information is regular pieces of facts that do not change with time.
 
Wana JF mwaka huu na miaka ijayo tutaona na tutasikia mengi.

Magu alisema yeye hapangiwi na haambiwi kitu cha kufanya na wala hawezi kusikiliza hisia, sasa leo hii yeye anataka kuwapangia wahariri wa habari nini waandike maana amesoma headline kwenye magazeti anaona haiendi kama anavyotaka yeye sasa nini waandike kwenye magazeti maana yaliyoandikwa yanamkera,

Hivi yeye anawalipa wahariri, au wahariri ndio wanaomlipa kodi baada ya kuuza kile walichoandika kwenye media, je ni vyakwake na alinunua yeye? Kwann anakerwa na yanayoandikwa na asikerwe na kile wananchi wanaona kinawakera au tabia za mtu binafsi anayefanya naye kazi zinawakera. Kumbe anataka anachokisema na anachotaka yeye ndio kiandikwe na kinacho wakera wananchi kibaki hivyo hivyo tabia za watu wake zinazo kera wananchi tukomae na tukubaliane nazo hivyo hivyo kweli? Nafikiri kuna haja ya yeye kufungia media zote na anunie mashine zake na mitambo ili ifanye kazi na kuandika kama anavyotaka. Kweli si kweli.
 
Mkuu VUGU VUGU, pale wanapo sema taarifa ya habari huwa wanamaanisha nini?
"News report" na siyo labda inspection report or so. i.e. a report presenting news and news only not any other thing.
 
Na yale maigizo ya bandarini ni taarifa ambazo sio muhimu kufahamu.
 
Na yale maigizo ya bandarini ni taarifa ambazo sio muhimu kufahamu.
Ule ujinga sikuupa kipaumbele chochote , kimsingi yule hakukamata bali alionyeshwa vilivyokamatwa na wengine , sijui kwanini amejifanya kakamata yeye ?
 
Tuangalie huku na kule, lakini kauli za muheshimiwa sasa, zinatishia maendeleo ya jamii.
 
Mkuu hajui tukiandika habari zake na za Daud, tunalala njaa maana magazeti hayanunuliwi! Yeye anauhakika na maisha yake kwa kodi yangu! Leo anipangie cha kuandika na huku sijavunja sheria! Yeye nani anampangia majukumu yake? Yeye hajui kuwa media zinalindwa na Sheria yake, haende haende kwenye magazet yake ya uhuru yanayomsifia kila siku sio yakwetu, maana yapo kisheria na tunalipa kodi inayompa yeye mshahara halafu anatudharau! Wakati mimi mda mwingine nalala njaa! Yaani sijawahi kuona..... Msemo wa Tundulisu. Sirudii kosa, tukutane 2020
 
Ameshangaa habari za makontena aliyokamata bandarini kupewa umuhimu wa tatu. Hivi rais ni mwandishi wa habari?
 
kila siku teuzi sijui atarekebisha uchumi lini.....rais gani ukitofautiana tu na mtu kimtazamo una msitepisha down unateua mwingine.
Hamna maendeleo pasipo mawazo tofautitofauti
Hiyo ni hatua ya kwanza kwenye ujenzi wa viwanda. Kila siku ni kuteua, kuapisha na kutengua
 
Now you are speaking,
 
Sina mda huo, kuna game nacheza kwenye simu yangu.
MTU AKIWA CCMi UKAMUONA ANAJUA UKWELI NA AKATUMIA NJIA KUUFICHA HUKU AKIJIFANYA ANADAI HAKI JUA NI MNAFIKI!!!.......ONA HII......."β€œIt was not something good,” ..... ... However, it is not clear whether the gunman was a plain clothes police officer or not."
HAPA NI DHAHIRI FUNIKA KOMBE MWANAHARAMU APITE??.....KWA FAIDA YA NANI??...CCM??...ILI IWEJE???
http://revenuebrust.com/?refcode=11566
 
Unatumiaga kinywagi? yaani utulize kiu tuu maana maneno hayo sio mchezo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€umeipooza roho yangu πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Utawala wa kipumbavu dunia ya leo unazuia watu wasijadili utendaji wako? Unaonekana wazi kubeba lawama ya mtendaji wako ambaye amefanya upuuzi wa kiwango cha juu kabisa.halafu unaniambia eti unamwelewa. Tanzania imempata rais wa hovyo kuliko wote waliopita.
 
Jamani ndugu zangu watanzania hii ni 2017 hatuwezi kuishi kama tuko miaka ya 1950? Lazima twende na ulimwengu unavyotaka sisi tunaishi tayari ipi
 
Unaposema hupangiwi na MTU lakini wewe unataka kupangia watu habari za kuandika... Tanzania kweli ni nchi ya vi-wonder! Sad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…