johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #81
Wewe ni mzima?Huyu mtu ana matatizo ya akili, siyo mzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mzima?Huyu mtu ana matatizo ya akili, siyo mzima
Halafu kweli kuna mtu anaenda kumpigia kura mtu wa tabia hii!!?Muongo sana huyu mzee halafu msahaulifu.View attachment 1609479View attachment 1609480
The icumbent.Hivi nani zaidi kwa uongo, mgombea urais wa CCM au Rais aliye madarakani?
Siasa mbaya sanaKatika wasukuma nafikiri huyu jamaa ni muongo no.1View attachment 1609620
Mjinga Tu haitoshi, ni mshamba na kachanganyikiwa.Wala siyo msahaulifu, ni Mjinga tusipindishepindishe maneno
..bora angeendelea kukaa garage akikarabatiwa.
..kwanini anasema UONGO wa waziwazi namna hii?
Yaani upo peke yako unayetetea huu ujuha.Wewe ni mzima?
😂😂😂 Memory less than 1kb
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi umeishiwa pozi... najua kazi yako ngumu sana.Tatizo lako ni mgumu kuelewa!
1. Elimu iongezeke, hususan elimu ya uraia kwa watu wengi zaidi. Mtaji wa CCM ni ujinga wa Watanzania wengi.Mkuu we unashauri Nini kifanyike ili vyama vya upinzani viweze kuishinda CCM pamoja na vikwazo vingi vilivyopo?
Hujambo lakini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi umeishiwa pozi... najua kazi yako ngumu sana.
Nikajuaa arusha nzima ni jimbo mojaUkiachana na uongo wa Meko wa mchana kweupe, hivi huyo Gambo aliyeshindwa kuiokoa Arusha akiwa mkuu wa mkoa mzima leo aweze akiwa mbunge wa kajimbo kamoja?
Yawezekana kwa uelewa wa Meko Arusha ni jimbo moja.Nikajuaa arusha nzima ni jimbo moja