Ruzuku ipo kwa mjibu wa katiba na sio matakwa ya Magufuli alivyo na roho mbaya kama yangekuwa matakwa yake angekuwa ameshasitisha!
Kama alivyositisha tasaf sio!!?Ruzuku ipo kwa mjibu wa katiba na sio matakwa ya Magufuli alivyo na roho mbaya kama yangekuwa matakwa yake angekuwa ameshasitisha!
Hivi watanzania tunataka nini maana siwaelewi ina maana hakuna lolote Rais anatenda jema kwa watanzania au kwa kuwa watu mnashinda mitandaoni mnalipwa kuja kuchafua taswira ya nchi?Dikteta anayependa sifa asizostahili
Ujione una kasoro, ona unavyoshambuliwa, meaning your post is Rubbish!Unaposema mnufaika unakuwa na maana gani, hebu tuanzie hapo kueleweshana mkuu.
anayebweka ni mama yako kama watu huwa wanabweka.Ndio maana mnaonekana ni kama vimbwa vinavyobweka hovyo!
Sasa kama ni kwa mujibu wa sheria, huyo unayemwita dikiteta si ndio anaesimamia hizo sheria?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dikiteta anaheshimu sheria? Kama hizo ulizoelezea hapa?Hili ndiyo tatizo kubwa la Watz wengi.Wanadhani "ruzuku na huduma" mbali mbali zitolewazo na serikali kwa raia ni hisani. Ni umbumbumbu wa waliosoma na wasio soma!
Kwa wenye kutambua haki,wajibu na Katiba rais ni raia aliyepewa jukumu la kusimamia na kuongoza shughuli za nchi na siyo kila kitu. Ruzuku kutolewa ni "takwa la Katiba" yetu ya sasa (licha ya mapungufu na kukanyagwa/kusiginwa) wakati mwingine. Tutambue HAKI NA WAJIBU kwa kila mmoja wetu kwa nafasi tulizonazo ktk jamii.