Rais Magufuli ni Dikteta anayetoa Ruzuku kwa vyama vya siasa!

Sasa dikiteta si anaweza kuheshimu hizo sheria ulizoelezea hapa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona unatoa unabii Sasa!
 
Hilo nakuachia wewe ung'amue. Nisije kuropoka kama Dr.Rutengwe/Kabudi (alipotumbuliwa/alivyoteuliwa toka jalalani).
Unaniachia mimi niotee au, kwahiyo wewe mwenyewe hujijui Kama umesoma au sio? Sasa Kama ni hivo wewe na hao unao waita wa jalalani nani nafuu sasa hapo.
 
Ok, Sasa naomba ujibu hoja husika iliyopo kwenye mada Kama umeisoma.
 
Kwani kutoa ruzuku ndio kunaondoa ukweli.
Ukweli gani unao utaka wewe?, mbona hoja hapo iko wazi mkuu jibu hoja nasi tutaelewa mkuu.
 
Kujiita tu yeye ni rais ni kufata katiba maana nje ya katiba hakuna rais
Asee Kama ni hivo mkuu, udikteta wake umekujaje sasa wakati anafata katiba Kama unavyosema mwenyewe
 
Wewe una akili mkuu?? Akili ni nini?
 
Ruzuku ipo kwa mjibu wa katiba na sio matakwa ya Magufuli alivyo na roho mbaya kama yangekuwa matakwa yake angekuwa ameshasitisha!
Aliwahi kumshangaa shein eti kwanini anaidhinisha stahiki za maalim seif wakati alikataa kumpa mkono.
 
Hoja Tope tupu...magufuli hatoi ruzuku ni sheria ndio inatoa na kaikuta


Sent from my iPad using JamiiForums
Nadhani tope lipo kichwani mwako wewe, unajua Kama utawala wa kidikteta haufati sheria?
 
Dam55,
Ni ujinga kutokuelewa kwamba ruzuku kwa vyama vya siasa sio zawadi kutoka kwa raisi bali ni maelekezo ya kisheria yaliyowekwa kuimarisha mfumo wa vyama vingi vya siasa na demokrasia. Ni ujinga kutokujua kwamba kodi zetu ndizo zinazotumika katika kutekeleza sheria ya vyama vingi nchini. Ni ujinga kutokujua kwamba kama kunamatumizi mabaya ya ruzuku hizo yathibitishwe na wahusika wachukuliwe hatua kwa mujibu wa sheria. Ni ujinga kuona ruzuku kama ni nyenzo ya kukandamiza uhuru wa vyama pinzani vya kisiasa. Mshahara wa ujinga ni maradhi na umasikini unaouona machoni mwako.
 
Na wewe naona ni wale wale tu mnajisifu hapa kuwa ma GT bure tu.
 
Ok, Sasa naomba ujibu hoja husika iliyopo kwenye mada Kama umeisoma.

Magufuli hatoi wala hana uwezo wa kutoa ruzuku kwa chama chochote. Ni mburula tu anaweza kuamini kuwa kodi anayotoa ni mali ya Magufuli.
 
Ruzuku ipo kwa mjibu wa katiba na sio matakwa ya Magufuli alivyo na roho mbaya kama yangekuwa matakwa yake angekuwa ameshasitisha!

Kama ruzuku ipo kwa mujibu wa sheria ina maana kila anachofanya kipo kwa mujibu wa sheria kwa hiyo udikiteta mnaosema ni porojo tu,
kwa sababu kama ni dikteta ina maana anavunja sheria, sasa inamshinda nni kuvunja hiyo sheria ya ruzuku ambayo ipo kwa mujibu wa sheria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…