Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,833
- 6,890
Mpaka muda huu kwa tathmini ya haraka haraka waliolitendea haki hili kongamano ni watu wawili mmoja ni muwasilishaji wa mada Profesa Mukandala na mwingine mshiriki wa kongamano ambaye ni Padri wa kanisa katoliki
Mukandala anajielewa kwa sisi wanafunzi wake ambao tulifundishwa nae tunajivunia kile alichotupa...Naomba aliye karibu / jirani na Profesa Mkandala ( Mtani wangu wa Kihaya ) ampe mkono wa hongera kwa niaba yangu na amwambie kuwa GENTAMYCINE nimemkubali na namkubali sana kwani ' uwasilishaji ' wake umenifanya nione tofauti kubwa kati ya Msomi wa Chuo Kikuu na Mhitimu wa Chuo Kikuu.
Ni Mwerevu sana
Ni Mzungumzaji mzuri
Ni Mkweli na hana Unafiki
Ni Mwenye Kujiamini na anakiamini kile anachokiwasilisha
Ni Mchambuzi wa Masuala aliyetukuka
Ni Hazina ya kweli kwa Wasomi wajao
Ni Mwanafasihi mzuri sana huku akijua kucheza vyema na ' Diplomatic Language '
Sijawahi kuona Mhaya ' Popoma ' na sishangai kuona au kusikia kwamba hata hapa Tanzania Elimu ilianzia Kwao Mkoani Kagera ( Bukoba ) ikaja kuweka Makao Makuu yake Kwetu Mkoani Mara ( Musoma )
Shikamoo Profesa Mkandala.
Prof.Shivji pia KajitahidiMpaka muda huu kwa tathmini ya haraka haraka waliolitendea haki hili kongamano ni watu wawili mmoja ni muwasilishaji wa mada Profesa Mukandala na mwingine mshiriki wa kongamano ambaye ni Padri wa kanisa katoliki
Profesa hashauri kisomi!!, unafahamu kuwa hapo wamepewa dakika kumi na tano tu?.
Wazungu wa ulaya waliligawa bara letu mwaka 1884 kule Berlin, hii mipaka ya sasa ya nchi za afrika iliwekwa na wazungu. Ni kwa sababu tu ya maendeleo ya ustaarabu vinginevyo mpaka leo tungekuwa chini ya ukoloni.
Mzungu hapendi kuona nchi za kiafrika zikijenga reli, zikiimarisha miundo mbinu ya kila aina. Unaweza usiamini ninachosema lakini kwa maoni yangu huo ndio ukweli.
Mwezi uliopita uliandika kuhusu Usumbufu wa Daladala za Gongola Mboto kwenda Makumbusho, sasa hivi ushapaa hadi Puerto RicoUkiipata mpatie Mtu aniletee nami hadi hapa Kisiwani Puerto Rico nilipo sasa kama makazi yangu ya Siku zote.
Amemsifia kujumuika nao tu sio kwa kazi anazozifanya [emoji1] [emoji1]Shivji hajampongeza Rais anavyoendesha nchi.
safi kweli...ukijua kung'ata bila kuumiza.
Wewe fala mfupi kuliko betry urefu utoe wapiI will be counteracting & intelligently opposing you with vivid facts..!! Ukiona mtu mrefu strong & colored na in CCM uniform ndio mm..!! Plz usikae beside me anything painful and unethical can happen..!!😳
Huyu ameandaliwa kuja kuvuruga hoja makini..... yaani huyu kazi yake ni kueleza sifa za awamu ya tano.
Umenikumbusha tume ya Katiba mpya!Huyu Kabudi simweli kuliko wote, sijui anaongea nini....kwa nini asingemsifia ikulu huko huko.