Nimeshangaa sana huyu Mzee leo.

Yani amejificha wee, mwisho wa siku amekuja mbele mwenyewe.
 
Waliua Magufuli wakajua wameshaichukua nchi..wakaanza kuitafuna wao na familia zao na rafiki zao.

Mara wanajiongezea madau kwenye dili za serikali, mara wanajipa maeneo..wakajua hakuna wa kusema maana waliwapa wapinzani asali..kina mbowe, kina zitto na wenzao.

Kuibuka kwa kanisa na kuamua kutetea mali za watanzania kindakindaki kumewashtua. Wameshaona safari yao sasa inaanza kuwa ngumu maana kuna uwezekano huu mnyororo wa kanisa ukaibua na masuala mengine ambayo wao walishaona hayataibuliwa hasirani.

Wanaona wazi safari yao ya kutawala nchi imeanza kuzongwa na miiba.

Kuna wengine wanaweza ona kanisa ni threat ila kwa mtawala wa haki inaweza kuwa mahali bora pa kushikilia.
 
Kuna MWAKA wa huyu Mzee kugombea urais alisikika askari mmoja alisema hadharani Kikwete ni chaguo la Mungu mheshimiwa alifurahi sana Leo hao waliomsifu wametoa tamko juu ya ULINZI WA mali za taifa analalamika maaskof wasilete udini ila kwenye kampeini watumike

Sent from my TECNO KH6 using JamiiForums mobile app
 
Aanza na kina Prof Asad na amshauri Sa100 arudishe hiyo bandari na haya hatoyaona. Wanayaset weyewe kisha wanainuka kujifanya hawayajui
 
Ajiuluze kwanini makanisa katoliki pale DRC yanaweza kuishauri serikali jambo na likatekekezwa
 
Huku anawafuata kila uchao lakini kwenye DP-WORLD anajitenga nao!
[emoji116][emoji419]
 
Binafsi sina shida na huu mkataba ila kwanini zanzibar hawapo katika hii agreement wakati sisi wote ni tanzania!! Hapo ndio ninapopatwa na wasiwasi.
 
Kwa hiyo TEC wajiandae kukatwa kichwa.....πŸ™‚
 
Naungana na Kikwete

Wapinzani na TEC ni wahuni
 
Waraka wa TEC ni Zaid ya Tamko la USA πŸ˜…πŸ˜… vibaraka wote wa DP world watatoka shimoni mana wameshaona taa nyekundu chezea Wakatoliki wewe ...wasabato wenyewe wanawajua Wakatoliki vyemaaa
Wasengerema tu hakuna watakachofanya na muarabu anachukua bandari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…