Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Kwani mkataba wa bandari unahusu Zanzibar?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu umeongea ujingaZanzibar sio nchi ni koloni letu ndo mana rais tunawachagulia
Nadhani inaruhusiwa kuchanganya siasa na dini lakini hairuhusiwi na ni marufuku kuchanganya dini na siasa! Upo hapo?!!Rais Mwinyi ni rais tofauti na watangulizi wake, rais Mwinyi yeye amejikita sana kuendeleza uisilamu kwani hivi sasa amekuja na ajenda ya " mwaka wa kiisilamu" kuuingiza kwenye kalenda, huko nyuma aliwahi kuja na serikali kuanzisha mfuko wa mahujaji.
Je, ushauri wa Kikwete kuhusu kuchanganya siasa na dini unawezekana wakati viongozi wa CCM ndio wachanganyaji wakubwa?
Cha ajabu anatumia majukwaa ya dini kupinga kuchanganya dini na siasa,Jakaya Fundi sana wa Siasa
yeye hajamtaja mtu wala kikundi cha watu
katahadharisha tu tusichanganye Dini na Siasa
Wachanganyaji povu linawatoka
nayakumbuka sana maneno yake akiwa Mwenyekiti wa Ccm kupitia Katibu wake wa Uenezi Nape Nnauye
' Kazi yetu ya kisiasa sio kumtoa Nyoka kwny Mtungi …kazi yetu ni kuinamisha Mtungi na Nyoka atatoka mwenyeweee '
Mbona Wasabato Masalia au Washia hawajamaindi kuambiwa wasichanganye dini na Siasa? mbona sio mara ya kwanza Wanasiasa kusema hivyo? mbona safari hii kuna watu Povu linawatoka ?
kweli Hotuba za Jakaya huwa ni zaid ya Falsafa
mbona hushangai Polisi kutumia bunduki kupambana na matumizi haramu ya bunduki ?Cha ajabu anatumia majukwaa ya dini kupinga kuchanganya dini na siasa,
Tanganyika tumeipokea nchi kutoka kwa waingereza ambao wao dini yao kuu ni ukristo, hivyo wakristo wa nchi hii wamepata upendeleo wa kurithi kutoka kwa wakoloni waliyotutawala katika mambo mbalimbali, ndiyo maana hata siku za ibada za kikristo ni mapumziko ya mwisho wa juma, sikukuu nyingi za dini ya kikristo zimekuwa ni sikukuu za kitaifa na halikadhalika sikukuu za kislamu nazo zimekuwa ni za kitaifa pia baada ya uhuru kutokana na kuwa na idadi kubwa ya wafuasi wa imani hiyo katika nchi.Rais Mwinyi ni rais tofauti na watangulizi wake, rais Mwinyi yeye amejikita sana kuendeleza uisilamu kwani hivi sasa amekuja na ajenda ya " mwaka wa kiisilamu" kuuingiza kwenye kalenda, huko nyuma aliwahi kuja na serikali kuanzisha mfuko wa mahujaji.
Je, ushauri wa Kikwete kuhusu kuchanganya siasa na dini unawezekana wakati viongozi wa CCM ndio wachanganyaji wakubwa?
Rais Mwinyi ni rais tofauti na watangulizi wake, rais Mwinyi yeye amejikita sana kuendeleza uisilamu kwani hivi sasa amekuja na ajenda ya " mwaka wa kiisilamu" kuuingiza kwenye kalenda, huko nyuma aliwahi kuja na serikali kuanzisha mfuko wa mahujaji.
Je, ushauri wa Kikwete kuhusu kuchanganya siasa na dini unawezekana wakati viongozi wa CCM ndio wachanganyaji wakubwa?
Okay, imekaaje hii. Kwani kwa Sasa Mwaka wa Kiislaamu haupo kwenye kalenda?
Katiba ya Jamuhuri ya Muungano ina override Katiba ya ZanzibarMbona unazungumzia masuala ya nchi isiyokuhusu? Zanzibar ni nchi yenye katiba yake na sheria zake.
Nani kakudanganyaKatiba ya Jamuhuri ya Muungano ina override Katiba ya Zanzibar
Walutheri wameona wakatoliki ndio wanafaidika na keki ya serikali kwahio wame waachia wenyewe goma lao.Wakatoliki wamemuwasha bila woga. Walutheri wameamua kumvunga kujifanya wanamuunga mkono hasa kwa ukimya wao.
Kila la heri tunakingoja kwa hamu na ghamuKatika kitabu changu kipya kiitwacho 'Arm chair' nita explore juu ya 'utawala wa JK katika awamu ya sita'.