Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Za kuambiwa changanya na zako.....Rais Mwinyi ni rais tofauti na watangulizi wake, rais Mwinyi yeye amejikita sana kuendeleza uisilamu kwani hivi sasa amekuja na ajenda ya " mwaka wa kiisilamu" kuuingiza kwenye kalenda, huko nyuma aliwahi kuja na serikali kuanzisha mfuko wa mahujaji.
Je, ushauri wa Kikwete kuhusu kuchanganya siasa na dini unawezekana wakati viongozi wa CCM ndio wachanganyaji wakubwa?
Asante baba mtumishi. Tuoombee nchi yetu amani na utulivu.
Hayo unayohoji sina jibu labda tuwaulize wapalestina kwanini huwa wanasheherekea wakati wao ni waisilamu, shida sisi tulidandia gari kwa nyuma bila kujua liendako, wapalestina na waislaeri wanapigana lakini hawahusishi dini hata siku moja wakati huko ndiko zilikoanzia.Hii ya mwaka wa kiislamu tu? Vipi waliokuja na sikukuu ya mwaka mpya wa Kikristo kuwa siku ya mapumziko? Na vipi kuhusu siku ya kupeana zawadi ya mwezi wa kikristo (26 Disembal) kuwa siku ya mapumziko? Haya hayakuwa ni kuchanganya dini na siasa? Jee uliwahi kuyasemea?
Usiwarushie watu mawe ukiwa kwenye nyumba ya vioo; ni hatari kwako.
Shida yako ni elimu, darasa halipo hapo kichwa chako unafugia nywele tu.Kumbe wewe ni hopeless kabisa
Unawaambiaje watu wasichanganye siasa na dini wakati wewe uko kwenye jukwaa la dini.Rais Mwinyi ni rais tofauti na watangulizi wake, rais Mwinyi yeye amejikita sana kuendeleza uisilamu kwani hivi sasa amekuja na ajenda ya " mwaka wa kiisilamu" kuuingiza kwenye kalenda, huko nyuma aliwahi kuja na serikali kuanzisha mfuko wa mahujaji.
Je, ushauri wa Kikwete kuhusu kuchanganya siasa na dini unawezekana wakati viongozi wa CCM ndio wachanganyaji wakubwa?
Basi kama ndivyo upelekwe mswada wa kufuta nadheebu ya dini zote nchini, huwezi tenganisha hivi vitu , waumini ndo wanasiasa wenyewe, mpo na hoja nyepesi sana kwenye mambo seriousHuwezi kuwazuia Watu Kuchanganya Dini na Siasa iwapo hakuna sheria inayokataza jambo hilo
Labda upelekwe Muswada bungeni ikatungwe Sheria ya kuzuia Binadamu wa Tanzania wasichanganye Dini na Siasa
Nawasilisha π
Mwanri aliteuliwa kuwa balozi wa pamba.Unawaambiaje watu wasichanganye siasa na dini wakati wewe uko kwenye jukwaa la dini.
Ilipaswa abatizwe kwanza awe mwinjilisti wa dini iliyomwalika ndipo aseme hivyo.
Afuate nyayo za mzee Agrey Mwanri ambaye sasa ni mwinjilisti wa kkkt baada ya kustaafu siasa. Na hatumsikii tena.
Umeanza kunishambulia umeishiwa hojaShida yako ni elimu, darasa halipo hapo kichwa chako unafugia nywele tu.
Kwa hiyo Nyerere alikuwa anakemea matatizo ambayo hayakuwepo ?Ni Tanganyika ipi ilikuwa na udini wala ukabila! Toka kabla ya uhuru shule za misheni(Katoliki) wakati huo zilichukua watoto wote bila kujali dini zao wala kulazimisha kuingia kanisa lao.
angalau yuko kimya havurugi watu.Mwanri aliteuliwa kuwa balozi wa pamba.
Jemima mambo?Chagua jibu
a)Mwarabu
b)DPW
C)a na b yote ni majibu sahii.
Na ikiwa hivyo ujue hakuna kiongozi yeyote atakae apishwa kwa imani yoyote ile yaani akisha teuliwa ni ofisi moja kwa moja.Huwezi kuwazuia Watu Kuchanganya Dini na Siasa iwapo hakuna sheria inayokataza jambo hilo
Labda upelekwe Muswada bungeni ikatungwe Sheria ya kuzuia Binadamu wa Tanzania wasichanganye Dini na Siasa
Nawasilisha [emoji1]
Nafikiri Tukiruhusu hili ipo siku tutatunga sheria mtu asiwaze tofauti na kiongozi ππππHuwezi kuwazuia Watu Kuchanganya Dini na Siasa iwapo hakuna sheria inayokataza jambo hilo
Labda upelekwe Muswada bungeni ikatungwe Sheria ya kuzuia Binadamu wa Tanzania wasichanganye Dini na Siasa
Nawasilisha π
Zanzibar sio nchi ni koloni letu ndo mana rais tunawachaguliaMbona unazungumzia masuala ya nchi isiyokuhusu? Zanzibar ni nchi yenye katiba yake na sheria zake.
Sioππππ
Nilitarajia ujibu wewe kwani wewe ndo uloweka hoja ya Rais Mwinyi. Au ni kwasababu imekugusa wewe? Ndo pale nilipokuambia usirushie watu mawe ukiwa kwenye nyumba ya vioo. Nadhani sasa umeelewa.Hayo unayohoji sina jibu labda tuwaulize wapalestina kwanini huwa wanasheherekea wakati wao ni waisilamu, shida sisi tulidandia gari kwa nyuma bila kujua liendako, wapalestina na waislaeri wanapigana lakini hawahusishi dini hata siku moja wakati huko ndiko zilikoanzia.