Rais Ruto afutilia mbali mkataba wa kujenga njia za umeme na kupanua Uwanja wa Ndege wa JKIA kati ya Kenya na Adani Group

Hapa Tanzania Kafulila keshatuingiza cha kike
 
Kweth Kafulila kesha vuta za wakubwa ana taka kuwapa kazi.
 
mr wash wash adani arrested
 
tunasubiri kauli ya tumbiri
 
Hasla anakabwa koo kila kona.
 
Dr.William Ruto is genius and visionary politician of modern times ๐Ÿ’
 
Siasa ni shida sana, yaani mkataba unavunjwa kirahisiiiiii, halafu wanainchi wanaenda kubeba mzigo wa fidia huku wakishangiliaaaa,

Afanalek,
Tena wabunge walewale walioshangilia huo mkataba ndio wabunge walewale waliosimama na kushangilia mkataba ulipovunjwa.

Afanalek๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Inawezekana kabisa hawa jamaa wameweka mpunga kwa mafisadi ya CCM TZ
 
Sasa kama Kampuni Ina scandal USA ambako wako macho sana na huu ujinga unafikiri huku kwetu itakuaje?
Huku kwetu watu walishavuta mpunga tayari๐Ÿ˜‚ na pale wamegawana TICTS na DP World.

Jamii ya Papa wanakula na Adani huku jamii ya Islamabad wanakula na DP Weldi.
 
Inawezekana kabisa hawa jamaa wameweka mpunga kwa mafisadi ya CCM TZ
Zile vurugu za Msukuma kununua LC300 baada tu ya jambo kukamilika pamoja na Landrover new model na LC76 series kuna ashiria fuba lilitembea na inawezekana ndio zilipitia kwake awagawie na waheshimiwa wenzake pale Jumba la dhahabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ