Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Yeah asante kwa kunirekebisha, and inashangaza sana maamuzi ya viongozi wetuWalipewa magati aliokuwa anaendesha ticts! Atayaendesha Kwa miaka 30! Tanzania ni ya hovyo sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah asante kwa kunirekebisha, and inashangaza sana maamuzi ya viongozi wetuWalipewa magati aliokuwa anaendesha ticts! Atayaendesha Kwa miaka 30! Tanzania ni ya hovyo sana!
Hapa Tanzania Kafulila keshatuingiza cha kikeRais wa Kenya, William Ruto siku ya leo kwamba ameagiza kufutwa kwa mkataba kati ya Serikali ya Kenya na kampuni ya Adani, mkataba uliokuwa umelenga kupanua uwanja mkuu wa ndege wa nchi hiyo, JKIA
Aidha Ruto pia ameagiza kufutwa kwa mkataba wenye thamani ya zaidi ya dola milioni 700 ambao wizara ya nishati ulikuwa imesaini na Adani Group kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya kusafirisha umeme nchini humo
View attachment 3157942
Source Citizen TV
Kweth Kafulila kesha vuta za wakubwa ana taka kuwapa kazi.Rais wa Kenya, William Ruto siku ya leo kwamba ameagiza kufutwa kwa mkataba kati ya Serikali ya Kenya na kampuni ya Adani, mkataba uliokuwa umelenga kupanua uwanja mkuu wa ndege wa nchi hiyo, JKIA
Aidha Ruto pia ameagiza kufutwa kwa mkataba wenye thamani ya zaidi ya dola milioni 700 ambao wizara ya nishati ulikuwa imesaini na Adani Group kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya kusafirisha umeme nchini humo
View attachment 3157942
Source Citizen TV
mr wash wash adani arrestedRais wa Kenya, William Ruto siku ya leo kwamba ameagiza kufutwa kwa mkataba kati ya Serikali ya Kenya na kampuni ya Adani, mkataba uliokuwa umelenga kupanua uwanja mkuu wa ndege wa nchi hiyo, JKIA
Aidha Ruto pia ameagiza kufutwa kwa mkataba wenye thamani ya zaidi ya dola milioni 700 ambao wizara ya nishati ulikuwa imesaini na Adani Group kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya kusafirisha umeme nchini humo
View attachment 3157942
Source Citizen TV
Ukiangalia sura ya yule Adani na Two2 ni kama Mtu na mdogo wake tofauti rangi tu 😂😂Hapa Tanzania Kafulila keshatuingiza cha kike
Kafanana sana na Kafu 😃mr wash wash adani arrestedView attachment 3157988
Lila..🤣Kafanana sana na Kafu 😃
tunasubiri kauli ya tumbiriRais wa Kenya, William Ruto siku ya leo kwamba ameagiza kufutwa kwa mkataba kati ya Serikali ya Kenya na kampuni ya Adani, mkataba uliokuwa umelenga kupanua uwanja mkuu wa ndege wa nchi hiyo, JKIA
Aidha Ruto pia ameagiza kufutwa kwa mkataba wenye thamani ya zaidi ya dola milioni 700 ambao wizara ya nishati ulikuwa imesaini na Adani Group kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya kusafirisha umeme nchini humo
View attachment 3157942
Source Citizen TV
Sikujua kama tumbili inaweza kuandikwa hiviTwo2
Hasla anakabwa koo kila kona.Rais wa Kenya, William Ruto siku ya leo kwamba ameagiza kufutwa kwa mkataba kati ya Serikali ya Kenya na kampuni ya Adani, mkataba uliokuwa umelenga kupanua uwanja mkuu wa ndege wa nchi hiyo, JKIA
Aidha Ruto pia ameagiza kufutwa kwa mkataba wenye thamani ya zaidi ya dola milioni 700 ambao wizara ya nishati ulikuwa imesaini na Adani Group kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya kusafirisha umeme nchini humo
View attachment 3157942
Source Citizen TV
Hii ya kutengeneza .AI imefanya kazi hapa.mr wash wash adani arrestedView attachment 3157988
Dr.William Ruto is genius and visionary politician of modern times 🐒Rais wa Kenya, William Ruto siku ya leo kwamba ameagiza kufutwa kwa mkataba kati ya Serikali ya Kenya na kampuni ya Adani, mkataba uliokuwa umelenga kupanua uwanja mkuu wa ndege wa nchi hiyo, JKIA
Aidha Ruto pia ameagiza kufutwa kwa mkataba wenye thamani ya zaidi ya dola milioni 700 ambao wizara ya nishati ulikuwa imesaini na Adani Group kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya kusafirisha umeme nchini humo
View attachment 3157942
Source Citizen TV
Jumapili ukatubu😀😀😀😅Ukiangalia sura ya yule Adani na Two2 ni kama Mtu na mdogo wake tofauti rangi tu 😂😂
Tena wabunge walewale walioshangilia huo mkataba ndio wabunge walewale waliosimama na kushangilia mkataba ulipovunjwa.Siasa ni shida sana, yaani mkataba unavunjwa kirahisiiiiii, halafu wanainchi wanaenda kubeba mzigo wa fidia huku wakishangiliaaaa,
Afanalek,
Huku kwetu watu walishavuta mpunga tayari😂 na pale wamegawana TICTS na DP World.Sasa kama Kampuni Ina scandal USA ambako wako macho sana na huu ujinga unafikiri huku kwetu itakuaje?
Zile vurugu za Msukuma kununua LC300 baada tu ya jambo kukamilika pamoja na Landrover new model na LC76 series kuna ashiria fuba lilitembea na inawezekana ndio zilipitia kwake awagawie na waheshimiwa wenzake pale Jumba la dhahabu.Inawezekana kabisa hawa jamaa wameweka mpunga kwa mafisadi ya CCM TZ