PreGE2025 Rais Samia: 4R zisitumike kama kisingizo cha kuvunja sheria

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwani kuna tatizo gentleman kupata salamu za rais kuelekea maadhimisho siku kuu ya Muungano kesho ?πŸ’
Kweli ati ! πŸ‘
Itakuwa ni Salam za Muungano 🀣🀣
Lakini na pia kutakuwa na matone matone ya masuala mengineyo ya kujaziliza Salam za Muungano no doubt abt that Gentleman πŸ™ŒπŸ‘πŸ™ !!
 
Si bora angesubiri tu akazungumza wiki ijayo Mei mosi!
 
Nimeona Yule Dada wamemempiga Sana na kumdhalilisha mapaja yote hadi karibia na eneo hatari .

Je serikali itakaa kimya
 
Si angehutubia taifa lake la Tanzania na watu wake wa CCM kesho siku ya kuchanganyikiwa udongo? 😒
 
Watakaomsikiliza wana muda wa kupoteza.

Ajuza amekosa kazi ameona aje apige porojo zake live kwenye TV.

Mabango yote yale na machawa kila kona bado hauziki.
 
Tunatarajia mkuu wetu wa nchi atagusia pia:
1.Utekaji na mauaji ya raia yenye mlengo wa kisiasa.
2. Tume huru ya uchaguzi
3.Ripoti ya CAG 2024/2025
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Nipo zangu naangalia mpira .
Mamelodi kashapigwa moja dk ya 28.
Ikiisha hii naunganisha game ya pyramids na orlando.
Siwezi poteza muda kumsikiliza
 
Anakula kichwa cha mtu leo
 
Anataka kuongea vi nini naye? Kusumbua raia tu!
 
Hotuba za rais hutakiwa kuwa katika ratiba rasmi.

Hotuba za kustukiza za rais yoyote wa nchi huwa kama kuna janga, maafa au changamoto kubwa taifa ikiwa inapitia kiasi cha kuhitaji kutangazwa atahutubia ghafla ndani ya muda mchache.

Lakini ikiwa ni hotuba ya mkesha wa kuelekea shamrashamra za maadhimisho ya siku ya Muungano wa mataifa mawili ya Jamhuri ya Watu wa Zanzibar na Jamhuri ya Tanganyika, hili siyo kutio la kuitisha hotuba ya ghafla bin vuu.
 
Vip hotuba za Nyerere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…