Rais Samia aagiza askari wenye vitambi kurejeshwa mafunzoni

Tena kawadhalilisha sana. Nina jamaa yangu ana maisha magumu kuliko yangu ila ana bonge LA kitambi. Wengine wana unene wa asili hasa WANYAKYUSA. ASEME TU ANA BIFU NA WANYAKYUSA!
 
Watajitetea kwamba wana vitambi vya ukoo kama mvi tu.Hawakosi utetezi.😂😂😂😂
 
Jeshini unaenda kwa amri.Ukiambiwa ..."koplo konda ndani ya dakika tano"...!Unatakiwa uwe umekonda.Ni amri muraa!😂😂😂😂😂
 
Pole katoe hicho kitambi
Kauli ishatoka sasa huna namna

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mi siyo askari na wala sina kitambi. Hoja yangu ni kutaka nchi iongozwe na viongozi wenye maono na siyo watoa matamko yasiyoleta ufanisi wowote. Siku zote tunapiga kelele kuwa jeshi la polisi linatakiwa kufumulia ili wabakie polisi wenye sifa na weledi hawa viongozi inawashinda nini kuelewa? Kwa akili zako unaona kabisa rais wa nchi ku-attack vitambi vya polisi badala ya ku deal na issue kubwa kubwa ni akili?
 
Kuna watu hata kama wana hali mbaya wanakuwa na vitambi. Na isitoshe askari mwenye miaka eg 40 mpaka 50 kuwa na kitambi siyo lazima kumaanishe hafanyi mazoezi. Kama umewahi kuwa majuu utajua namaanisha nini.
 
Aisee. Kwa hiyo na wewe uliamini na bado unaamini kabisa hiyo kauli ya baba yako kwamba ukimwona mtu ana kitambi ujue huo ni mzigo wa dhambi za watu na mwenye nacho anakuwa kaadhibiwa na Mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…