Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,754
- 4,746
Wakaka wazuri. Bila shaka ni weusi. "chimbuko la trafic Wakaka Wazuri" umeiweka kitaalamu sana hiiIla kuna chimbuko la traffic wakaka wazuri sana.
Hawa ndambi wangepumzishwa kwanza au wakapangiwa majukumu kwenye mwendokasi.
Mkuu achana na hao watu wa JWTZ ni wepesi mno. Kuna askari mmja alikua ni luteni ana kitambi kikubwa tu ila tulikua tunashindana nae mbio anatuacha mbali na mpira tunacheza nae ni mwepesi ajabu ila hao wengine kama trafiki na uhamiaji hamna kitu ni wazembe Sana.Hadi jwtz wapo wenye vitambi😂😂 Sasa ikitokea vurugu mechi sijua atakimbiaje!
Safi Mheshimiwa Rais warudishwe tu.
Shida itakua ilianzia hapa
Iwe kwa majeshi yote mpk polisiKauli hii kabambe imetolewa na Mh Rais Samia Suluhu Hassan huko Tanga, wakati akifunga mafunzo ya awali ya askari wa Uhamiaji kwenye Chuo cha Boma Kichaka Miba Mkoani humo .
Mh Rais amesema kwamba ili kurejesha Ukakamavu kwa Askari wa Uhamiaji inapaswa wote wenye vitambi kurejeshwa kuhenya ili kupukutisha Vitambi na kurejesha Ukakamavu.
Chanzo: SwahilTimes
Toa Maoni yako
Nchi imelaani kabisaHii Nchi imejaaliwa Viongozi wenye vitimbwi na Askari wenye Vitambi.
Nchi imekamatwa na waswahili tutaona mengi sn..Ni kauli ya kujitafutia umaarufu tu.
..kuna mpaka MAJENERALI wenye vitambi na amewateua juzi.
Nchi imekamatwa na waswahili tutaona mengi sn..Ni kauli ya kujitafutia umaarufu tu.
..kuna mpaka MAJENERALI wenye vitambi na amewateua juzi.
Huyu nae inatakiwa Rais akifika kambini,aseme akapige tizi tena,au yeye anaona uhamiaji tu?
Vitambi vitaisha vipi,wakati watu Wana deals za kupiga viza fake mpaka za billions of Tsh!!?wacha wanenepe ndio kula kwa urefu wa kambaKauli hii kabambe imetolewa na Mh Rais Samia Suluhu Hassan huko Tanga, wakati akifunga mafunzo ya awali ya askari wa Uhamiaji kwenye Chuo cha Boma Kichaka Miba Mkoani humo .
Mh Rais amesema kwamba ili kurejesha Ukakamavu kwa Askari wa Uhamiaji inapaswa wote wenye vitambi kurejeshwa kuhenya ili kupukutisha Vitambi na kurejesha Ukakamavu.
Chanzo: SwahilTimes
Toa Maoni yako
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kuna yule Assey wa kituo cha Stakishari ajabu hatoshi kwenye IST...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inasikitisha sana. Huyu ni private, mtumbo huo!
Nankatika vitu hatar kwa vitamb ni supu na chapatAibuuuu sanaaaaa
Wanakuwa ovyooo ovyooo
Wanakula kama wanahama dunian
Wanaomba rushwa sanaaaa ili wajaze hizo tumbo na supu asbhu na chapati nane hadi kumi kweliiii???
Huu ni ulafi hatariiii Sana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
labda chapati , supu siyo hatariNankatika vitu hatar kwa vitamb ni supu na chapat
Umesoma wapi hayo maneno ya "jeshi limekuwa dhaifu/Hali mbaya", kumbe hata hujui kusoma na kuelewa yaliyoandikwa?Then wewe huoni Kama unang'ang'ana na yaleyale ya siku za nyuma!!!..nimekuuliza wewe ni military analyst,trainer?..Kama siyo umejuaje kwamba jeshi limekua dhaifu/Hali mbaya?..limepigana wapi ukajua?
Supu ya vitu gani mkuu 'Erythro."! Ya makongoro?labda chapati , supu siyo hatari