ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 7,719
- 14,506
Huoni huyo wetu,inaonyesha katingwa kweli na hicho kitambi,kwakweli wavitoe.Hao wasio na vitambi watuombe Vita vya kirafiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huoni huyo wetu,inaonyesha katingwa kweli na hicho kitambi,kwakweli wavitoe.Hao wasio na vitambi watuombe Vita vya kirafiki
Mbona reference unafanya kwa polisi tu?Hii ingefanywa kuwa Sheria kama ambavyo wanaelekezwa namna ya kunyoa pia hawa paswi kuwa na vitambi hata kwa bahati mbaya,
lingine ni hawa askari wa kike waambiwe lile ni jeshi sio maonyesho ya mitindo ya nywele, yani kuna mmoja nilimuona aliinama tuu kofia ikaanguka, kama wakiwa mafunzoni wote wanapigwa vipara kwa nini kwenye kazi wakiume wabanwe na maelekezo ya namna ya kunyoa alafu wao waachwe ?
Jeshi letu la polisi linapaswa kutazama upya muonekano wa askari wake
Kama humaanishi jeshi limekua dhaifu/Hali mbaya then mjadala ulikua wa nini!?Umesoma wapi hayo maneno ya "jeshi limekuwa dhaifu/Hali mbaya", kumbe hata hujui kusoma na kuelewa yaliyoandikwa?
Kiujumla ni kwamba, watu kama wewe ni washangiliaji tu wa kila jambo bila ya kuwa na uhakika mnachokishangilia au kusifu. Yale yale ya ushabiki wa Yanga na Simba.
Kiufupi, watu kama wewe ni mashabiki tu, hata mkijua mlisemalo hamna uhakika nalo.
Mbaya zaidi ni hapo mnapoweka ushabiki katika mambo yasiyohitaji ushabiki, kama unavyofanya hapa.
Nyama na mambo yake havijawahi kusababisha unene , shida kubwa iko kwenye WangaSupu ya vitu gani mkuu 'Erythro."! Ya makongoro?
Inategemea na kiasi cha mafuta yaliyomo kwenye supu yenyewe.
Yes.Wakaka wazuri. Bila shaka ni weusi. "chimbuko la trafic Wakaka Wazuri" umeiweka kitaalamu sana hii
Kitambi kinakuja kutokana na mtindo wa maisha na hakitoki kwa kufanya kwata. Hata akifanyishwa 'Extra drill' maisha yote ya skari utatokea uasi............kupenda maisha ya fahari, kula vitu vitamu bila uwiano, kujipatia kipato bila kuitolea jasho halali na kupotoshwa na pesa zinazoingia mfukoni kila siku hivyo kuacha kufikiri kesho haina rangi sawia na ya leo ndio chanzo.Kauli hii kabambe imetolewa na Mh Rais Samia Suluhu Hassan huko Tanga, wakati akifunga mafunzo ya awali ya askari wa Uhamiaji kwenye Chuo cha Boma Kichaka Miba Mkoani humo .
Mh Rais amesema kwamba ili kurejesha Ukakamavu kwa Askari wa Uhamiaji inapaswa wote wenye vitambi kurejeshwa kuhenya ili kupukutisha Vitambi na kurejesha Ukakamavu.
Chanzo: SwahilTimes
Toa Maoni yako
Unaonyesha ujinga ulionao.Kama humaanishi jeshi limekua dhaifu/Hali mbaya then mjadala ulikua wa nini!?
Yale mafuta yake hatari sana.Nyama na mambo yake havijawahi kusababisha unene , shida kubwa iko kwenye Wanga
Kuna traffic ana kitambi Hadi anashindwa kugeuka..
Ok,usiku mwemaUnaonyesha ujinga ulionao.
Sisi weupe sasa itakuaje.Yes.
Warefu weusi.
Hawa wakaendeshe tu mwendokasi.
Jeshini hakuna kitu kinaitwa haki za binadamu. Askari anatakiw akuwa fit 24hrs..Hapo ndiyo umuhimu wa Sheria Je,ni sheria gani inayokataza mtu Kuwa na kitambi?
Hata ikitungwa Leo bado haitawahusu Wale ambao walikuwa na vitambi kabla ya kutungwa Kwa sheria.
Kwa upande mwingine inanifurahisha kwasababu Mimi sina Kitambi lakini Nina Shaka kama Hapo Haki za Binadamu zimezingatiwa hasa katika eneo Ubaguzi au ndiyo maana wote wanaungana ili kuwe na katiba Bora?
Embu weka picha yake..kuna KOMANDO ana bonge la KITAMBI nilimuona akifanya show mbele ya Raisi na Amiri Jeshi Mkuu.
Toa Maoni yako
"Nilikuwa naangalia gwaride, waliokuwa wakiongoza vikosi ni maafisa wazoefu, kati yao kuna wenye vitambi, nimeviona vitambi hapa. Nadhani hatutakiwi kuwa na maafisa wa vitambi, warudi tena hapa (Chuoni) waje watoe vitambi ili wawe wepesi zaidi kutimiza kazi zao." Ameeleza Rais Samia
Angeaza na mawaziri wenye vitambi then afuate wabunge wake na wakurugenzi kabla hajaenda kwa dc na rcsKauli hii kabambe imetolewa na Mh Rais Samia Suluhu Hassan huko Tanga, wakati akifunga mafunzo ya awali ya askari wa Uhamiaji kwenye Chuo cha Boma Kichaka Miba Mkoani humo .
Mh Rais amesema kwamba ili kurejesha Ukakamavu kwa Askari wa Uhamiaji inapaswa wote wenye vitambi kurejeshwa kuhenya ili kupukutisha Vitambi na kurejesha Ukakamavu.
Chanzo: SwahilTimes
Toa Maoni yako